Habari za wakati huu, sasa ndoa za kileo ni za hatari sana,
Tukiachana na zamani:
1. Ndoa za leo ni misukosuko. Wanaume wanaoa kitu kwa mtu badala ya yeye mwenyewe.
2. Mtu anaolewa na mtu kwa sababu fulani sio huyo mtu.
Sasa tuanze, wanaume wengi wanaoa mke kisa umbo, wadhifa, anajua...