Salaam jamiiforum.
Siyo lazima kuwa kwenye ndoa ndipo ufanye hivyo,japo Kwa mujibu wa maandiko kwenye vitabu vya dini,kufanya tendo hilo bila ndoa au mwenzi anayetambulika kisheria,huhesabika ni zinaa.
Yaani ni chukizo mbele za Mungu.
Ila ukweli ni kwamba hili jambo ni tulizo Kwa wanaume...