NDO Limited was an Internet service provider (ISP) in the United Kingdom. Originally established in 1995, originating from NetDirect which was one of the first ISPs in the UK.
Is it because kwa sababu mmeishi pamoja, so mnachukuliana fresh tu, ama huwa kuna wivu kuwa ndugu yako akifanikiwa wewe utaonekana boya?
Kati ya watu walaghai, watu wanao ku backstab kwenye maisha ni ndugu. Na sometimes the people you call fresh and blood will be the ones to sketch your...
Duniani kote, takwimu zinaonesha kuwa ukataji miti na uvuvi wa baharini ndizo kazi hatari zaidi. Lakini hapa kwetu Tanzania, moja ya kazi zenye hatari kubwa zaidi ya kupoteza maisha ipo ardhini kwenye uchimbaji mdogo wa madini.
Kuanzia machimbo ya dhahabu kule Geita, Kahama na Mara, hadi...
Wakuu hii concept ya mungu sio poa!. Simdhihaki wapa sikosoi imani ya mtu lakini....
Haiwezekani mabalaa anakushushia tu hata kama hujamuomba. Imagine umetoka kutimuliwa kazi mwezi uliopita, umejiajiri wiki 3 now, jana umepigwa tukio na mfanyakaz wako kakimbia na Milion 4. Hujakaa vizuri...
Kuna member kanitaja kule kwamba nina IQ ndogo na anaamini kwa kufanya hivyo ananikera na kuna ambao wamemsupport
Paroco
Watanzania ni watu ambao wanapenda sana sifa hata ambazo ni wazi hastahili kwa hiyo ukitaka kumuudhi mtanzania hata kama yeye hana fedha mwambie huna fedha atakukasirikia...
Kuna member mmoja alifungua uzi wa kuonesha appreciation kwa kuwatambua(appreciate) watu wenye IQ kubwa hapa Jamiiforums. Ila cha ajabu kuna member kama watano wameanzisha nyuzi kuonesha hawakubaliani na baadhi ya members kwenye hiyo IQ list. Ninachotaka kusema ni kwamba humu kumejaa wivu na...
Yaani nimeona list ya watu wanaosemwa wamekwenda kwenye kikao cha maridhiano, yaani wote ni wale ambao kimsingi wanakubaliana kwa hoja nyingi na kutofautiana kwa mambo machache au kutokutofautiana kabisa
Sasa kinachoitwa maridhiano unaweza kumaliza matatizo kwa kukaa na mtu ambaye hamtofatiani...
Kwamba kupotea kwao si jambo la kushtusha.
Kwamba watu washasahau au labda hawajali kabisa.
Nawazungumzia Humphrey Polepole na Emmanuel Nchimbi na by extension, wengineo ambao nao wamepotea bila maelezo.
Kama hao waliokuwa viongozi wanapotea tu pasipo na maelezo na jamii wala haistuki, vyombo...
Wakati Tanganyika tukiuana sisi kwa sisi 29.10.2025, wakati Tanganyika tukitekana, Wakati Tanganyika tuukipeana kesi za Uhujumu uchumi na uhaini.
Wakati Tanganyika tukiwaletea figisu watu wetu wenye akili nyingi kma Mzee Warioba, Nchimbi, Tundu Lissu, Polepole na wengine wengi.
Wakati taarifa...
1. Bakhresa group of companies
2.taifa group of companies
3.oilcom group of companies
4.lake energies group
5.amsons group of companies
6.metl group of companies
7.azania group of companies
8.motisun group of companies
9.mac group of companies
10.murzah group of companies
11.gsm group...
Ile ana walk along white carpet to the altar , au Kuna nini Nyuma , au wazazi wote hawapo ?
ITS A PROOF REMINDER THAT IF YOU ARE BORN A MAN , YOU NEED TO LIVE AS A MAN , NO MATTER WHAT HAPPEN.....
Philbert Paschal ndo nabii peke alitabiri kesi ya Tundu Lissu kwa Usahihi. Wengine walikuwa wanabahatisha na kwenda na upepo.
Huu ni utabiri wa tatatu nimeona kwake.
Nasubiri aseme kuna kiongozi aliiba kura akijua atafika 2030 kumbe hatafika.
Kuna mtabiri mwingine kasema atarogwa afe kabla ya...
Yaani hata wabunge wameingia hiyo trap ya kudiscuss ushoga. Wenzetu wazungu wanajadili issue kubwa kubwa kama uwekezaji eti sisi tunadiscuss ushoga siku nzima. Au uwezo wetu wa mambo ni mdogo kiasi hatuelewi tuanzie wapi tuoshoe wapi.
Hivi mashoga mkiwaacha wanazuia vipi mikataba mikubwa...
Wakina Baba ni wema sana, wakina mama ndo wanasababisha Baba atafute mchepuko ili kupoza moyo wake sehemu yenye utulivu.
Unakuta mama anáongea sana káma chiriku
Anamyima Baba utulivu na wakina Baba walivyoumbwa hawajazoea kusikia makelele" Mkaguzi WA Jeshi la Polisi kutoka Dawati la jinsia na...
Kwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni
Britanicca
Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm?
Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika.
Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.