nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoyo Zhou

    Umeme wa jua wazidi umeme wa makaa ya mawe nchini China

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Mamlaka ya Nishati ya Kitaifa ya China zinaonesha kuwa, uwezo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua nchini China umefikia kilowati bilioni 1.286, ukizidi uwezo wa kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe kwa mara ya kwanza, na kuwa chanzo kikubwa zaidi cha umeme...
  2. Dalton Elijah

    POTOSHI Polisi wamwagiwa maji nchini Afrika kusini

    Kumekuwepo na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuonyesha raia wakimwagia maji magari ya polisi. Hata hivyo, kichwa cha habari kilichoambatanishwa na video hiyo kinapotosha uhalisia wa tukio. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza kuwa video hiyo ilirekodiwa...
  3. S

    UBER Yasitisha huduma nchini Nigeria na Uganda

    Kampuni ya Uber inayohusika na huduma za taksi mtandao,imetangaza kusimamisha shughuli zake nchini Nigeria na Uganda kuanzia tarehe 2 Septemba 2026. Wataalam wa biashara na uchumi tunaomba mtusaidie, je nini kinaweza kuwa chanzo cha Uber kusitisha huduma zake katika nchi hizo ikiwa ni baada ya...
  4. H

    Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura kukabiliana na El Nino nchini

    Mkutano na Waandishi wa Habari Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura wa kukabiliana na madhara ya El Nino, nchini. 📆 02 Septemba, 2026. 🕰️ 05:00 Asubuhi. 📍Ukumbi wa mikutano Ngome/Relini Dodoma.
  5. M

    Mhariri Msaidizi wa Standard Group nchini Kenya, Alex Kiprotich adaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo Septemba 2, 2026. Apatikana salama

    Mhariri Msaidizi wa Chombo cha habari cha Standard Group cha nchini Kenya, Alex Kiprotich ametekwa usiku wa kuamkia leo na watu wenye silaha wasiojulikana.Taarifa iliyochapishwa na ukurasa wa chombo hicho cha nchini Kenya imesema kuwa Mhariri huyo ametekwa akiwa kwenye gari lake katika barabara...
  6. Nyani Ngabu

    Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake. Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika. Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost. https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
  7. britanicca

    Agizo la Siri kwa Uhamiaji, wapewa amri kila MTANZANIA anayeingia nchini achunguzwe historia yake ya machapisho mtandaoni

    Kwanza ni upotezaji wa Muda, Pili Magufuli alijaribu akafeli, tatu Tanzania si wajinga wako anonymous! Wanaweza sumbua watu maarufu na wamiliki wa Platform kadhaa lakin si mtu simple Hii wanasema ianze September 4/ 2026 Britanicca
  8. M

    Rais Samia kuhudhuria Uapisho wa Hakainde Hichilema Nchini Zambia

    TAARIFA KWA UMMA RAIS SAMIA KUSHIRIKI SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS HICHILEMA WA ZAMBIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 01 Septemba, 2026, anaondoka nchini kuelekea Lusaka, Zambia kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya...
  9. youngkato

    Jinsi ya kuanzisha na kufanikiwa katika biashara ya Vifungashio Tanzania

    Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji, vipodozi na bidhaa za matumizi ya nyumbani, umeongeza kwa kiasi kikubwa mahitaji ya vifungashio bora...
  10. Carlos The Jackal

    Ushindi wa LISSU 22/1/2025 kua Mwenyekiti CDM, mpaka sasa umetuletea Mapinduzi Chanya Kisiasa, Tumuombee sana !Udalali wa Mbowe Ulituchelewesha

    Jaribu kuwaza Mbowe ndo angekua Mwenyekiti 2025. Chadema wangepewa Wabunge 20 , alafu business as usual!!. Mbowe Mafanikio yake sio kua Kua Kiongozi, Mafanikio yake yalijengwa kwenye Kumiliki Mali, Kua na Connections na Serikali !!. Lissu kauthibitishia UMMA wa Watanzania kua, Yeye anawapenda...
  11. M

    Lakini pamoja na hayo pale nchini Malawi kiongozi mkuu nae anashida haiwezekani

    Yule rais wao Toka aapishwe kuongoza lile taifa la Malawi na kuendelea mpaka sasa anaenda kumaliza mwaka wa kwanza wa awamu ya pili madarakani. Kashafanya kazi na manaibu prezida watatu japokua pia yule mpya haijulikani kama atamaliza nae muhula. Kashafanya kazi na makatibu wakuu wa chama...
  12. O

    YouTube yaweka kodi ya 5% kwa Wabunifu wa maudhui Kenya, mapato kupungua kuanzia Septemba, 2026

    Wabunifu wa maudhui nchini Kenya wanaweza kuanza kupokea mapato ya chini kutoka YouTube baada ya Google kutangaza kuwa itakata asilimia 5 ya mapato ya YouTube kama kodi ya zuio kwa akaunti za AdSense za YouTube zilizosajiliwa nchini Kenya. Google iliwajulisha wabunifu wa maudhui mnamo Ijumaa...
  13. Jannatul Firdaus

    Watanzania 173 waliokuwa Afrika Kusini warejea nchini

    Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo. Zoezi la kuwarejesha raia hao limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania...
  14. msuyaeric

    Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  15. M

    Kundi ndani ya CCM linalopinga yanayoendekea nchini hivi sasa lazima lisimame kuhesabiwa ili kuinusuru nchi

    Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane. Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
  16. Frank Wanjiru

    Vipimo vya DNA vyazua mjadala nchini Malawi.

    Matokeo kutoka kliniki binafsi na za umma nchini Malawi yanaonesha kuwa takribani 80% ya wanaume wanaofanya vipimo vya DNA kutokana na mashaka kuhusu uaminifu wa wenzi wao hubainika kuwa si baba wa kibiolojia wa watoto wanaowapima. Hata hivyo, wataalamu wa afya na sheria wameonya kuwa takwimu...
  17. Wakusoma 12

    Kwanini awamu ya sita imekuwa na migogoro mingi ya kiuongozi nafasi za juu kuanzia Ndugai, Majaliwa na sasa Nchimbi?

    Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
  18. secretarybird

    Tatizo la Pointi Sita: Jinsi Mfumo wa Mitihani hapa nchini Unavyopotosha Ufafanuzi wa Kihistoria.

    Sidhani kama Kila tukio la Kihistoria lilisababishwa (causes) na mambo sita na kuendelea au lilisababisa (effects ) mambo sita na kuendelea. Katika somo la history hapa nchini kumekuwa na tabia kutaka kuwaaminisha wanafunzi kuwa kila tukio la Kihistoria limesababishwa na mambo mengi sana. Ni...
  19. Tlaatlaah

    CHADEMA kuandamwa na mikosi ya kisiasa na kiuchumi isiyokoma ni ishara ya wazi kua huenda kuna laana ndani ya chama hicho cha siasa nchini

    Kwa mfano we cheki, mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana yake mwenyekiti huyo ataendelea kusota korokoroni. Huenda mkosi huu unatokana na utamaduni wa kiburi...
  20. Jannatul Firdaus

    Kisarawe yaja na suluhu ya vilipuzi baruti nchini

    Wilaya ya Kisarawe inaendelea kujijenga kuwa kitovu cha uzalishaji wa baruti na vilipuzi nchini, kufuatia kuanzishwa kwa viwanda viwili vinavyolenga kuongeza uzalishaji wa bidhaa hizo ndani ya nchi na kupunguza utegemezi wa uagizaji kutoka nje. Viwanda hivyo ni Ideal Detonators Tanzania...
Back
Top Bottom