Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud amewasilisha taarifa za utendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Chuo cha Zimamoto na Uokoaji cha Chogo, Handeni, mkoani Tanga, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU).
Akiwasilisha...
LILIKUWA ni suala la muda tu kuwa utafika lini ili Pambalu afike hapa alipofika sasa kwenye hatua za maisha yake hapa duniani. Amepata alichokuwa anahangaika kukipata kwa muda mrefu sana kwenye huu ujinga wao wanaofanya na kuuita ni siasa na hatakati.
VIJANA wengi wa BAVICHA huwa...
Sekta ya umwagiliaji Tanzania imeendelea kukua kwa kasi, huku eneo linalohudumiwa na kilimo cha umwagiliaji likiongezeka kutoka hekta 561,383 mwaka 2020 hadi hekta 727,281 mwaka 2022, na kufikia hekta 983,466 mwaka 2025 ongezeko la takriban asilimia 75 ndani ya miaka mitano. Serikali inalenga...
Kumetokea vurugu kubwa nchini ufaransa yaliyosababishwa na waandamanaji maarufu wanajiita Gen Z
Watu wanavamilia maduka nakuchukua vitu wamechoma majengo
Lakini pamoja na yote hayo hakuna raia hata mmoja akiepigwa risasi inaonyesha jinsi gani wenzetu wa france wanajari utu wa raia wake...
Wanabodi,
Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS.
Nime C& P
TAARIFA KWA UMMA
Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
baraza
haki
heshima
imara
katika
kudai
kudai haki
kusimama
kusimamia
mawakili
mwabukusi
na rais
nchini
rais
rais wa tls
tls
tuendelee
uongozi
utu
wakili
wito
wote
Balozi William Trachman amekabidhi rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake kama Balozi wa 21 wa Marekani nchini Tanzania.
Katika kipindi cha zaidi ya miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
Ukikusanya maujinga ujinga yote yaliopo ndani ya serikali hii ya huyu mama kwa sasa ukajumlisha na ujinga wa hawa wakina makonda na machawa wenzao wanao pita pita huko kujisafisha kwa wananchi wajinga wenye uelewa mdogo, ilikuwa ngumu sana kwa mtu smart kama Dr.Nchimbi kuendelea kufanya kazi...
Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
Ngoja nikwambie kitu kimoja kuhusu kesi hii.
Ukiisikiliza kwa juu juu, unaweza kudhani mjadala mkubwa ni kwamba Lissu alisema maneno gani na aliyamaanisha nini.
Lakini ukiingia ndani ya sheria, utaona kwamba swali la msingi ni kwamba..
Je, Jamhuri imethibitisha kwamba maneno hayo yanatimiza...
Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
Takwimu mpya kutoka NBS zinaonyesha kuwepo kwa mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya unyanyasaji mtandaoni, ambapo matukio yaliyoripotiliwa yameshuka kwa asilimia 41.3 kati ya mwaka 2022 na 2025.
Kwa mujibu wa takwimu hizo kuhusu "Uonevu wa Mtandaoni: Mwenendo wa 2022–2025", wastani wa...
Ninashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja.
Dereva anapowasha indicator ili ku overtake, kifaa kitambue kama kuna gari linalokuja kutoka upande wa pili, kwa mfano...
Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa.
Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa...
Wakenya wamechukizwa wakisema alikuwa anaangalia video za ngono na kuwa na hamu ya mdushelele
Wamemtaka kuolewa sasa maana yeye ni kiongozi na analipwa pesa kutumika sio kuwaza ngono muda wote inadaiwa hana mme .
Je kunyonya dole gumbe kule chini panakuwa pamelowa
USSR
Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026.
Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo...
Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee kunufaika na fursa za mikutano mbalimbali ya kimataifa.
Aidha, uwepo wa amani nchini umetajwa kuwa...
Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara.
Sasa basi suluhisho ni nini?
Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
ajali
bandari
bandari kavu
barabarani
basi
chanzo
chanzo cha ajali
iko
kutatua
malori
mfumo
mikoani
msongamano
muendelezo
nchini
nyingi
reli
serikali
serious
suluhisho
uwepo
wazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.