nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Uwekezaji wa Teknolojia Nchini Unapaswa Kuendana na Uhalisia wa Sekta ikiwemo kwenye AI

    Wakuu kwema ? Serikali imetenga shilingi bilioni 5 kupitia mpango wa mikopo kwa teknolojia japo mimi sio mmoja wa hao watakao kopa. Huu ni mwanzo wa juhudi za kuwezesha ukuaji wa teknolojia nchini, lakini ni muhimu kutofautisha kati ya upatikanaji wa mikopo na uwekezaji wa kimkakati unaolenga...
  2. C

    Wakili Addo November: Hukumu ya Tundu lissu imeonesha uhuru wa mahakama

    Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria. Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
  3. Kosa la uchochezi halina faini hapa nchini?

    Tunashangaa sana . Kwa nini mtu afungwe miaka minne bila hata faini? Majaji hawa hawatumii busara kabaisa.
  4. F

    Tuseme kweli tupu, hivi leo 5-6 November 2026, mtu maarufu kisiasa nchini ni nani?

    Karibuni
  5. Vita dhidi ya jamii ya LGBTQ+ nchini, ugumu uko wapi? Tukumbushane....

    Inaonekana ni ruksa kulingana na hotuba ya boss kipindi fulani huko nyuma. Lakini kwa nini? Labda mikataba inayosainiwa na viongozi wetu huko juu? Ila wanakaa kama hawajui chanzo kiko wapi🤔. Wanasema ustaharabu mpya, wafanyane wakubwa kwa wakubwa. #Haki za binadamu
  6. Orodha ya Bidhaa za Nyumbani Zenye Mauzo Makubwa Zaidi (Fast-Moving Goods) Nchini Tanzania

    List ya bidhaa za nyumbani zenye mauzo makubwa sana hapa nchini kwetu. 1.Unga wa sembe na dona. 2. Michele 3. Nyanya(Tomatoes) 4. Vitunguu(Maji na swaumu) 5. Mafuta ya kupikia 6. Sukari 7. Maharage 8. Chumvi 9. Dagaa 10. Unga wa ngano 11. Mkate(Bread) na skonzi 12. Mayai 13. Maziwa 14. Viazi...
  7. SERIKALI YAENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA MAKALI YA BEI ZA MAFUTA NCHINI

    Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua za kupunguza makali ya ongezeko la bei za mafuta nchini, ikiwemo kutoa ruzuku ili kulinda watumiaji na kupunguza athari za gharama za mafuta kwa shughuli za kiuchumi. Hatua hizo zinalenga kuhakikisha kuwa, pamoja na changamoto zinazoendelea katika soko...
  8. K

    Wafanyabiashara Nchini Kunufaika na Biashara na Malipo ya Kimataifa

    Wafanyabiashara na wajasiriamali wa Kitanzania wanatarajiwa kunufaika na biashara na malipo ya kimataifa kutoka mataifa zaidi ya 200 yenye uwezo wa fedha za kigeni zaidi ya 25 hatua ambayo inafungua fursa za biashara kimataifa . Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa...
  9. L

    Hotuba Ya Lema Itafsiriwe kwa Kiingereza Ili Wazungu Wajue wazi kabisa Namna wanaharakati uchwara wamekuwa wakichochea Vurugu na machafuko hapa Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Lema ameongea ukweli Mchungu sana siku ya leo kwa kuonyesha namna wanaharakati uchwara akina Mange Kimambi na akina Maria Sarungi wamekuwa wakifanya uchochezi kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini huku wao wakijificha huko waliko ambako wanalishwa kama Makinda ya...
  10. Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  11. TAIFA LINAPOANZA KUOGOPA;RAIS ANAJUA NINI ,BARAZARA MAWAZIRI LINASHAULI NINI NA BARAZARA LA USALAMA LA TAIFA LINALINDA NANI?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda. Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
  12. Ningelipata nafasi ya urais,ningekaeibisha wazungu kuhamia nchini.

    Binafsi huwa siiamini mentality ya mtu mweusi,iliyojaa uroho na ulafi mkali,namaanisha hata umuone mtu msomi kiasi gani na smart kiasi gani,ni lazima awe mwizi,mpiga deal mroho wa mali asiyetosheka,akili ya mtu mweusi haimtumi katika kuona basics nne za mwalimu nyerere, Mtu mweusi na tabia zake...
  13. K

    Amri ya Habeas Corpus Nchini Kenya na Fundisho la Mihimili Yetu: Je, Mihimili Yetu ni Ngome ya Haki au Vikaragosi vya Dola?

    Picha: Alama ya utawala wa sheria na kimbilio la mwisho la raia pale haki inapominywa Hatua ya Mahakama Kuu ya Kenya kutoa amri ya Habeas Corpus dhidi ya Serikali na Mkuu wa Jeshi la Polisi, ikitaka mwanaharakati Twaha Mwaipaya afikishwe mahakamani tarehe 2 Novemba 2026 akiwa hai au mauti, ni...
  14. Q

    PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

    Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation...
  15. Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania

    # Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania ## Je, taasisi ya kiroho inapovuka mipaka yake, nani anapaswa kuwajibika? Dini ni nguzo muhimu katika kujenga maadili, kuimarisha amani na...
  16. D

    KERO Baadhi ya Vyuo vya Afya vinachelewesha matokeo ya Special na Supplementary

    Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo. Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
  17. Waziri Masauni ashiriki mkutano wa mawaziri wa Mazingira wa Afrika nchini Armenia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) ameshiriki Mkutano wa Mawaziri kutoka Barani Afrika waliokutana kujadili msimamo wa Afrika na vipaumbele vyake ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa 17 wa Nchi...
  18. M

    Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili. "Hayo ameyaeleza...
  19. waziri mkuu Mwigulu Nchemba arejea nchini akitokea marekani

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amerejea nchini baada ya kuhitimisha ziara ya kikazi nchini Marekani, ambako alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), jijini Des Moines, Jimbo la...
  20. Wachoma Nguruwe na Kula Nje ya Msikiti Kupinga Uislamu Nchini Korea

    Raia wa eneo la Daehyeon-dong, Buk District, Daegu huko Korea Kusini wameamua kuchoma Kitimoto na kula nje ya eneo ambalo kuna Ujenzi wa Msikiti ambao Waislam watautumia kwenye Ibada ikiwa ni sehemu ya kupinga Uislam na ujenzi wa nyumba hiyo ya Ibada. Uislam sio haram kwa mujibu wa sheria za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…