nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marekani ni nchi tajiri sana. Kwa nini hawatatui tatizo la homelessness na drug addiction nchini kwao?

    Huwa nikiangalia matatizo ya huku kwetu Africa, ni kwamba nchi za Kiafrika ni masikini na kuna matatizo kama makazi nk ni ngumu kusolve kwa sababu nchi za Kiafrika hazina hela Lakini Marekani wamerithishwa nchi tajiri na hadi leo inaendelea kuwa nchi tajiri kwa nini wanashindwa kupata solution...
  2. O

    Wakenya Nchini Saudi Arabia Waonywa Kuepuka Maeneo Matakatifu Yaliyowekewa Vizuizi

    Ubalozi wa Kenya mjini Riyadh umetoa tahadhari kwa Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nchini Saudi Arabia, hasa wasiokuwa Waislamu, kuwa waepuke kuingia au kuvuka mipaka ya maeneo matakatifu yaliyowekewa vizuizi na mamlaka za nchi hiyo. Katika taarifa iliyotolewa Novemba 25, ubalozi huo ulisema...
  3. S

    Unafikiri kwa nini TAKUKURU, TISS na Polisi hawaoni tena haja ya kutoa taarifa kwa mamlaka ya juu kuhusu watu wanaofanya ufisadi na wizi nchini?

    Hili limethibitishwa, kwamba TAKUKURU, TISS na hata Polisi hawatilii maanani tena kufuatilia au kutoa taarifa kwa mamlaka ya juu nchini kuhusu wizi na ufisadi mkubwa unaofanyika nchini, iwe na watu wa ndani au wa nje. Kuna mtu nilipogusia kwake jambo hili kupata maoni yake aliniangalia usoni...
  4. L

    Tiba ya jadi ya Kichina yapanua huduma za kuishi maisha ya kawaida nchini Sudan Kusini

    William Deng, mwajiriwa mwenye umri wa miaka 52 katika Mamlaka ya Mapato nchini Sudan Kusini, alitegemea kutumia kiti cha magurudumu baada ya kupata kiharusi mwezi Agosti, lakini baada ya kuanza matibabu katika Hospitali ya Mafunzo ya Juba, anasema kwa sasa anaweza kutembea bila kutumia kiti...
  5. Zaidi ya misikiti 10,000 yaharibiwa nchini China; Kwanini?

    TAARIFA MPYA: China sasa imebomoa misikiti mingi kiasi kwamba idadi ya misikiti nchini humo imefikia kiwango cha chini kabisa tangu kipindi cha cultural revolution. China inasema kuwa ubomoaji wa misikiti ni sehemu ya kampeni dhidi ya kile inachokiita “msimamo mkali wa kidini,” ugaidi na...
  6. N

    Wadau wa tasnia ya teknolojia na viongozi nchini mnapaswa kutambua tunataka teknolojia zaidi sio mikutano zaidi ya kuzungumzia teknolojia

    Wakuu kwema, Nilikuwa LinkedIn huku na marafiki zangu kutoka india wa teknolojia, india ni nchi yenye talent wengi sana ila nilisikia billionaire wengi wanawekeza kwenye biskuti, na pipi badala ya teknolojia ikilinganishwa na china wao ni robotics ukija marekani wao ni Ai chips na artificial...
  7. Ifike hatua kipimo cha "VIDOLE VIWILI UKENI" kipigwe marufuku nchini Tanzania

    Kwanini madaktari waruhusiwe kuwaingiza vidole ukeni wanawake eti wanawapima? Hivi hatuna vipimo vingine vya kisasa zaidi ya hii "Two fingers test"?. Unakuta binti amebakwa unampeleka hospitali naye Daktari anamuingiza vidole ukeni eti anampima kama ameingiliwa. Sasa najiuliza huyu binti atakuwa...
  8. Tani 13 za dhahabu toka Tanzania ziliingia Dubai mwaka 2024 bila kurekodiwa nchini. Zilipitaje?

    Mwaka 2024, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulirekodi kupokea kilo 19,171 za dhahabu kutoka Tanzania. Takwimu za Tanzania zinaonyesha kilo 6,103 tu zilizouzwa UAE mwaka huo. Kilo 13,068 hazionekani kwenye kumbukumbu zetu za mauzo nje. Takwimu hizi zimo kwenye ripoti mpya ya shirika la Uswisi la...
  9. Ni kweli, ICC wako nchini

    Kuna jambo ambalo nchi za ulimwengu wa tatu linasahau Hawa ICC wanaweza wasitusaidie chochote Nowadays imekuwa jokes Ukiangalia mauaji yaliyofanyika 29/10/2025 kama alivyo comment Nyani Ngabu sehemu kwamba kwa Ushahidi uliowazi vile wao wanachelewa nini kufanya maamuzi Tunajua ICC uchukua...
  10. Kama vikao vya Samia vya safari ya maridhiano ni kwa ajili ya manufaa ya taifa lote na sio wajanja wachache, virushwe live na TV zote nchini

    Kama haya maridhiano yana nia ya kuliponya taifa, kwanini hayahusishi waliijeruhiwa kwa mrisasi, waliopoteza ndugu zao, na hayawashirikishi Chadema? Kwanini hayarushwi live na radio na tv zote nchini ili nchi nzima tujue kinachoendelea? Je kama mnapanga kutupiga tena risasi? Kwa kweli hatuna...
  11. Mnatumia nguvu kubwa sana kujiaminisha kuwa Kuna chama cha CHADEMA nchini huko ni kujidanganya CDM ilishakufa kitambo sana

    Kilichowamaliza CHADEMA ni siasa zisizoheshimu katiba ya Nchi na Maadili yanayolinda vyama vya siasa, ndugu zangu siasa za kihuni nchini Tanzania hazipo, siasa za kuamini mtatetewa na bunge la Ulaya Tanzania hazipo. Ukizingua unazinguliwa kwa Mujibu wa katiba ya Tanzania. Ni muda sasa wa...
  12. Hivi ndivyo itakavyokuwa ikiwa Rais wa Urusi atafanya ziara nchini Tanzania

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin, hapandi tu ndege na kufikia hotelini. Kila safari yake ni operesheni ya kijeshi na kiintelijensia. Endapo angetua Dar es Salaam, hivi ndivyo itifaki ya ulinzi wake ingetekelezwa nyuma ya pazia: Miezi kadhaa kabla, Moscow na Dodoma zinakamilisha itifaki za...
  13. Wanafunzi wa darasa la saba waliopata wastani wa "A" wasambazeni wote kwenye shule za Sekondari za kitaifa nchini

    Asilimia kubwa ya wanafunzi wanaopata wastani wa "A" kwenye mitihani Yao ya darasa la saba au division one kwenye mitihani yao ya kidato cha IV-VI huwa wanakuwa na nidhamu sana. Tuanze kuandaa Taifa la watu wenye nidhamu kuanzia Leo. Hivyo basi ili kuandaa Taifa la badae lenye tija kwa Taifa...
  14. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan alipohutubia COP31 Nchini Uturuki 🇹🇷

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohutubia viongozi mbalimbali katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali (Antalya Leaders’ Summit) unaofanyika pembezoni mwa COP31, uliojadili masuala ya mabadiliko ya tabianchi, katika ukumbi wa ANFAŞ Antalya Expo Center nchini Uturuki, Novemba 11, 2026...
  15. F

    Ukame na kuadimika Kwa maji nchini kumeongezeka sana alipoingia Waziri Aweso, tatizo ni Nini?

    Hellow! Ndugu aweso, unapeleka wapi maji? Kuna Maeneo ambayo hayakuwahi kuwa na shida ya maji, lakini Leo tatizo ni Kila mahali. Tueleze tujue njia unayotumia kukausha vyanzo vya maji ili wananchi tuhangaike, Maji yangekuwa ni twiga wa Serengeti, tungesema yanasafirishwa nje ya nchi, Sasa...
  16. L

    Opera ya Wu ya China yajenga daraja la kitamaduni nchini Zimbabwe

    Wasanii wa Opera ya Wu, wakiwa wamevalia mavazi ya kuvutia na ya rangi angavu, walihuisha mila za kale za opera ya China mjini Harare, nchini Zimbabwe. Waliwavutia watazamaji kwa ishara, sauti za kuvutia, na kungfu. Onyesho hilo lilihusisha kazi maridadi za asili za Opera ya Wu, zikiwemo "Mungu...
  17. Mgombea wa Urais nchini Ukraine aliponusurika kuuawa kwa sumu mwaka 2004

    Huyu ni mgombea urais wa Ukraine, Viktor Yushchenko, ambaye sura yake ilibadilika sana baada ya kupewa sumu mwaka 2004, alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi. Yushchenko alipanga kukutana na Igor Smeshka na Volodymyr Satsyuk, ambao walikuwa mkuu na naibu mkuu wa Shirika la Usalama la Ukraine, ili...
  18. Tufanye amendment: Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akose sifa za kugombea nafasi yoyote ya kisiasa. hii itadhibiti tabia za wanasiasa Nchini

    Mtu yoyote akisha fungwa gerezani akili huwa haziko sawa utimamu wake hupungua kwa asilimia 70 (Qandt, K. R. & Jones, A.J, 2021). na sifa ya kiongozi ni kuwa na akili timamu. Hivyo basi: nashauri amendment ya katiba ifanywe na bunge letu tukufu ili kuzuia mtu yoyote ambaye alishawahi...
  19. N

    Uwekezaji wa Teknolojia Nchini Unapaswa Kuendana na Uhalisia wa Sekta ikiwemo kwenye AI

    Wakuu kwema ? Serikali imetenga shilingi bilioni 5 kupitia mpango wa mikopo kwa teknolojia japo mimi sio mmoja wa hao watakao kopa. Huu ni mwanzo wa juhudi za kuwezesha ukuaji wa teknolojia nchini, lakini ni muhimu kutofautisha kati ya upatikanaji wa mikopo na uwekezaji wa kimkakati unaolenga...
  20. C

    Wakili Addo November: Hukumu ya Tundu lissu imeonesha uhuru wa mahakama

    Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria. Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…