Mara nyingi ukimchukia mtu unaweza kujikuta umeingia kwenye makosa na utata mwingi.
Kwa jinsi nilivyofuatilia kesi ya Lissu ni kuwa kumteka Makamu wa Rais, kumtishia n.k ndio ugaidi halisi.
Mzee warioba ameonyesha kuwa Nchimbi hakupokea simu yake huku ikidaiwa kuwa amenyang'anywa simu na...