nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. Mambo 5 muhimu ya kuishi nayo duniani ukiwa hai

  2. Marekani nayo yazindua kombola lake la Hypersonic( Dark Eagle )

    Jeshi la Marekani limethibitisha kwamba betri yake ya kwanza ya kombora la Eagle Mweusi yenye uwezo wa kushambulia kwa kasi kubwa ina vifaa kamili na iko tayari kwa matumizi ya kawaida, ikiashiria hatua muhimu baada ya kuchelewa kwa karibu miaka 3. Silaha ya Hypersonic ya Masafa Marefu (LRHW)...
  3. Matarajio yetu kwa wengine yanaposhindwa kutimia: Tunakabiliana nayo vipi?

    Nini hutokea pale matarajio yetu kwa watu wengine yanaposhindwa kutimia? Wewe mdau una uzoefu ? Share nasi tupate kujifunza Nitaanza mimi mtazamo wangu kuhusu hilo na ninavyolielewa jambo hili 👇 Tunapoweka matarajio kwa mtu,watu kwa namna fulani tunakuwa tumejenga picha fulani kuhusu nafasi...
  4. ASAS ifikirie kujenga kiwanda cha maziwa Tukuyu, Rungwe – wizara ya mifugo nayo ina jambo la kujifunza!

    Nina ushauri wa kiuchumi kwa kampuni ya ASAS Dairies. Badala ya kuendelea kukusanya maziwa kutoka kwa wafugaji wa maeneo ya Tukuyu na Rungwe, kuyapakia kwenye maboza na kuyasafirisha hadi Iringa kwa ajili ya uchakataji, kwa nini kampuni isifikirie kuwekeza katika kiwanda cha kuchakata maziwa...
  5. 2026-2027 Kutakuwa na mambo makubwa ambayo watu wanabidi wajitahadharishe nayo

    Mambo Matatu Makubwa Yanayoweza Kuikumba Dunia Kutokana na maendeleo ya teknolojia, mabadiliko ya mifumo ya kifedha duniani, na mvutano unaozidi kuongezeka kati ya mataifa yenye nguvu, kuna mambo matatu makubwa ambayo yanaweza kutokea kati ya Desemba 2026 na Machi 2027. 1. MSHITUKO MKUBWA...
  6. U

    Mhubiri 12:7 Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, Nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa

    Naomba mwenye uelewa wa hilo funguo hapo juu atupe elimu
  7. Mnaotuuzia gesi ya kupikia kwenye mitungi kwanini mnatuuzia na mitungi wakati sisi hatuna matumizi nayo?

    Mimi ninahitaji gesi kwa ajili ya matumizi yangu, wewe unaniuzia gesi na mtungi ambao ni mali yako! Una jina lako na siwezi kuutumia nisipokupata wewe! Na hata nikiacha matumizi ya gesi yako eti mtungi unabaki kuwa wangu kwa jina lako! Hii ni dhuluma hanna tofauti na anayekuuzia leo king'amuzi...
  8. Kwanini Mahakama kuu imetoa hukumu juu kwa juu kwa kesi aliyokutwa nayo Mh. Lissu wakati kesi kama hiyo ya Ucho alifunguliwa Kisutu na kupata dhamana?

    Mh. Lissu baada ya kukamatwa alifunguliwa kesi 2 ya Uchochezi ambayo alipata dhamana na ya Uhaini. Uhaini ikaendelea. Uhaini imeonekana imeshindwa ila kuna uchochezi ambayo sawa na ile iliyopaki Kisutu. Sasa inakuwaje Mahakama kuu imalize mchezo juu kwa juu? Yaani baada ya mahakama kuu kumkuta...
  9. M

    Wajue maswahaba waliosimamia msimamo licha ya mateso waliokumbana nayo

    Katika historia ya Uislamu, kuna Maswahaba wengi walioteswa sana na makafiri wa Makka kwa sababu ya kusilimu kwao. Walipigwa, kuchomwa moto, kufungwa minyororo na kunyimwa chakula, lakini waliendelea kushikamana na imani yao. 1. Abu Fukayha (رضي الله عنه) Alikuwa mtumwa wa Safwan bin Umayyah...
  10. K

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho. Hukumu kwa wananchi kesi ya Lissu imekuwa wazi na watanzania wengi walikuwa wanaifuatilia. Kutokana na ushahidi dhaifu ulitolewa kwa Watanzania wengi Lissu hata kosa lolote la uhaini na ameonewa kukaa ndani kwa zaidi ya...
  11. Matukio hatari aliyokabiliana nayo mlinzi shujaa

    Tarehe ( 30 / 12 / 2024 ) majira ya saa nne asubuhi katika eneo la majohe relini jijini dar es salaam tanzania, mlinzi shujaa alivamiwa na wauaji wawili ambao walikuwa na bajaji hawakuitaji chochote kutoka kwake, bali walishuka katika bajaji nakuanza kumshambulia na magongo makubwa ambayo...
  12. M

    Kama Kenya nayo imepoteza sifa ya safe haven, wanaharakati wa kisiasa Afrika Mashariki wakimbilie wapi ? Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC ?

    Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
  13. A

    KERO Responded Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka

    Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli? Hadi hivi leo maji hatuna tunateseka sana wengine kazi zimesimama tumefunga ofisi zetu sababu ya maji, nipo maeneo ya...
  14. NSSF wanatoa riba ya kiasi au asilimia ngapi wanaporudisha pesa yangu baada ya kukaa nayo?

    Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
  15. Nategemea pia majengo ya zama.ni ya Zanzibar nayo yavunjwe kama kariakoo.

    Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa. Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu. Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........
  16. Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

    Ushuru tu Mil 400+ na Bado ulifanyie customization liwe unique, plus CIF. Kwa muziki gani? Tupogo? Note: Picha ni za Mfano tu.
  17. Biashara ya mabasi kama sio mbunge au waziri basi achana nayo.

    Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii. Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika. Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu...
  18. Sijui kwa nini ila lucas mwashambwa akikaa kimya , ID ya haszu nayo inapotea🤨

    Coincedence? Or correlation?
  19. Henry Kilewo: CHADEMA ya sasa sio ile iliyopita, hii achaneni nayo

    Kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho. Kupitia chapisho aliloliweka katika...
  20. N

    OMBI LANGU: Nikikaribia kufa mwaka wowote ule, ninaomba sana mnitelee bendera ya Tanzanaia nikae nayo pembeni yangu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…