Jeshi la Marekani limethibitisha kwamba betri yake ya kwanza ya kombora la Eagle Mweusi yenye uwezo wa kushambulia kwa kasi kubwa ina vifaa kamili na iko tayari kwa matumizi ya kawaida, ikiashiria hatua muhimu baada ya kuchelewa kwa karibu miaka 3.
Silaha ya Hypersonic ya Masafa Marefu (LRHW)...
Nini hutokea pale matarajio yetu kwa watu wengine yanaposhindwa kutimia?
Wewe mdau una uzoefu ?
Share nasi tupate kujifunza
Nitaanza mimi mtazamo wangu kuhusu hilo na ninavyolielewa jambo hili 👇
Tunapoweka matarajio kwa mtu,watu kwa namna fulani tunakuwa tumejenga picha fulani kuhusu nafasi...
Nina ushauri wa kiuchumi kwa kampuni ya ASAS Dairies.
Badala ya kuendelea kukusanya maziwa kutoka kwa wafugaji wa maeneo ya Tukuyu na Rungwe, kuyapakia kwenye maboza na kuyasafirisha hadi Iringa kwa ajili ya uchakataji, kwa nini kampuni isifikirie kuwekeza katika kiwanda cha kuchakata maziwa...
Mambo Matatu Makubwa Yanayoweza Kuikumba Dunia
Kutokana na maendeleo ya teknolojia, mabadiliko ya mifumo ya kifedha duniani, na mvutano unaozidi kuongezeka kati ya mataifa yenye nguvu, kuna mambo matatu makubwa ambayo yanaweza kutokea kati ya Desemba 2026 na Machi 2027.
1. MSHITUKO MKUBWA...
Mimi ninahitaji gesi kwa ajili ya matumizi yangu, wewe unaniuzia gesi na mtungi ambao ni mali yako! Una jina lako na siwezi kuutumia nisipokupata wewe! Na hata nikiacha matumizi ya gesi yako eti mtungi unabaki kuwa wangu kwa jina lako! Hii ni dhuluma hanna tofauti na anayekuuzia leo king'amuzi...
Mh. Lissu baada ya kukamatwa alifunguliwa kesi 2 ya Uchochezi ambayo alipata dhamana na ya Uhaini. Uhaini ikaendelea. Uhaini imeonekana imeshindwa ila kuna uchochezi ambayo sawa na ile iliyopaki Kisutu. Sasa inakuwaje Mahakama kuu imalize mchezo juu kwa juu? Yaani baada ya mahakama kuu kumkuta...
Katika historia ya Uislamu, kuna Maswahaba wengi walioteswa sana na makafiri wa Makka kwa sababu ya kusilimu kwao. Walipigwa, kuchomwa moto, kufungwa minyororo na kunyimwa chakula, lakini waliendelea kushikamana na imani yao.
1. Abu Fukayha (رضي الله عنه)
Alikuwa mtumwa wa Safwan bin Umayyah...
Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho. Hukumu kwa wananchi kesi ya Lissu imekuwa wazi na watanzania wengi walikuwa wanaifuatilia. Kutokana na ushahidi dhaifu ulitolewa kwa Watanzania wengi Lissu hata kosa lolote la uhaini na ameonewa kukaa ndani kwa zaidi ya...
Tarehe ( 30 / 12 / 2024 ) majira ya saa nne asubuhi katika eneo la majohe relini jijini dar es salaam tanzania, mlinzi shujaa alivamiwa na wauaji wawili ambao walikuwa na bajaji hawakuitaji chochote kutoka kwake, bali walishuka katika bajaji nakuanza kumshambulia na magongo makubwa ambayo...
Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao
matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli?
Hadi hivi leo maji hatuna tunateseka sana wengine kazi zimesimama tumefunga ofisi zetu sababu ya maji, nipo maeneo ya...
Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa.
Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu.
Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........
Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii.
Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika.
Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu...
Kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho.
Kupitia chapisho aliloliweka katika...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.