mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuzuia yaliyotokea ni sawa na kuzuia mkojo, kazi ambayo ni ngumu sana lakini mwisho wake mkojo utatakiwa kutoka nje kwasababu ulishaingia

    Kinachotakiwa sasa ni kumwaga mkojo nje sio kuzuia ndani kwasababu utaharibu figo Hata White wasipoingia ndani bado watafikishiwa taarifa zote huko waliko Wengi washazuia wamechoka wameamua kukimbia
  2. Hakuna laana mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana

    Hakuna uamuzi mbaya kama kutesa watu au kuwanyanyasa kwa namna yeyote ile, huwa mwisho wake unakuwa mbaya sana Njia ya haraka sana ya kulaaniwa ni kutesa watu na kuwanyanyasa Laana haiji kwa njia moja inakuja kwa namna tofauti sio lazima njia iliyomlaani fulani ndiyo itakayomlaani na yule...
  3. IRGC yaionya Marekani dhidi ya mashambulizi dhidi ya meli zake uvumilivu umefika mwisho. Italipiza kisasi kwa nguvu kubwa.

    Wanaukumbi. TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na meli za kibiashara utasababisha shambulio kubwa dhidi ya moja ya vituo vya kijeshi vya Marekani...
  4. Tehran yakataa tarehe ya mwisho iliyowekwa na Rubio, yasema majibu na pendekezo la Marekani yatajibiwa kwa 'wakati unaofaa'

    Wanaukumbi. Tehran yakataa tarehe ya mwisho ya Rubio, yasema jibu la pendekezo la Marekani linakuja kwa 'wakati unaofaa' —— Iran imekataa amri ya mwisho ya saa 24 iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, huku msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Esmail Baghaei akisema kwamba...
  5. Siku za mwisho ni lini na zitakuaje?

    Hivi siku za mwisho zipo na zinakuaje? Hizi siku za mwisho ni za dini za Abrahamic (Ukristo, Uislamu na Uyahudi) tu au imani zote za Dunia?
  6. Ni neno gani la mwisho alilosema dereva huyu?

    Kama alipata nafasi lakini ya kunyanyua kinywa🥱
  7. Ni Series ipi uliyoitazama haikufika mwisho na unaona ilikatishwa kimakosa?

    Kila mmoja wetu ana ile series yake (TV Show) ambayo ilimfanya aingie kwenye "addiction" kuifuatilia. Ile ambayo unajikuta unafuta hata ratiba zako za muhimu ili tu upate muda wa kutazama episode nyingine. Lakini, kuna maumivu ya aina yake pale story inapozidi kunoga, ghafla unakuta kituo cha...
  8. Rais Samia , huu ni mtihani wako wa mwisho. Mtihani huu ndio utaamua wapinzani wakuheshimu au wakudharau.

    Tangu kuundwa vyama vingi 1992 hakuna kipindi wapinzani walikuwa na nidhamu kwa serikali na Rais kama kipindi cha Magufuli. Magufuli hakuwapa muda wa kupumua kabisa. Rais Samia ulipoingia ulitaka uonekane mwema kwa watu wote, ndio maana ukaanzisha 4R, ukawarudisha akina LISSU na wenzake waje...
  9. Je, Wajua Kanuni za Bunge Zina Makosa?. Spika wa Bunge ni Bonge la Dikiteta! Uamuzi Wake ni wa Mwisho, Final and Conclusive, Hata Kama Sio wa Haki

    Wanabodi, Huu ni uzi wa kuelimishana, Uzalendo wa kweli wa nchi yako, ni pale unapobaini kuna makosa mahali, unakosoa, na kutoa ushauri namna ya kurekebishasha makosa hayo. Kwa muda mrefu, sisi humu tumekuwa tukilalamikia hoja mbalimbali kuhusu uendeshaji wa Bunge letu, ukiwemo udikiteta wa ma...
  10. China yatoa onyo la mwisho kwa Marekani

    Wanaukumbi. "China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani. Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au...
  11. CCM Sasa kimefika mwisho

    Ukiachana tu na wasaka vyeo na pesa, CCM kwa Sasa Haina mwanachama anae jivunia hiki chama. Inabidi tu kizikwe kizaliwe upya. Na wajiandae tu vizuri Wala wasiwe na papala. Hakuna ivumuyo milele hapa Duniani. Hata Dunia yenyewe haidumu milele.
  12. Ulishawahi kuwa at the lowest point of your life ukahisi kabisa hapo ndio mwisho lakini ukaja kufanya au ikafanyika comeback ya kibabe sana? Tueleze

    Uzi tayari, karibuni kwa michango na wengine tujifunze kuhusu maisha
  13. Siku maalumu: Kila wiki ya mwisho wa mwezi Viongozi wawe wanatembea kwa Miguu kwenda Ofisini na kurudi majumbani mwao

    Habari Tanzania !.. Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila wiki ya mwisho wa mwezi. Yaani Jumatatu mpaka Jumapili. Faida 1. Hii itawawezesha kupata uzoefu wa...
  14. Mwisho wa uhai duniani

    Kwa mtazamo wa kisayansi, uhai utakuwa na mwisho. Si kesho wala baada ya miaka milioni, lakini fizikia inasema hakuna kitu kinachodumu milele. Hapa kuna “mwisho” 3 tofauti: 1. Mwisho wa Uhai Duniani - Miaka Bilioni 1 ijayo Jua letu linazidi kuwa na joto taratibu. Miaka milioni 500-600 ijayo...
  15. M

    KERO Hali ya Barabara ilivyo Kimara Mwisho, leo Aprili 13, 2026

    Hali ilivyo maeneo ya Kimara Mwisho - Darajani, Mbunge wa huku sijui yuko wapi aje atusaidie yeye na viongozi wengine wenzake
  16. Media, Tukiendelea Kunyamazia Unyanyasaji wa Uhuru wa Habari Unaofanywa na JAB na TCRA, Mwisho wa Siku, Ama Tutanyamazishwa Jumla Ama Tuwe Machawa?.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la mwananchi la leo https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/kwa-nini-tunahitaji-kuulinda-uhuru-wa-vyombo-vya-habari-5417540 Hili ni Swali: Media tukiendelea kuunyamazia unyanyasaji huu wa uhuru wa habari na uhuru wa maoni kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya Katiba...
  17. Nafasi za kazi ya Udereva Grade II 340 - Mwisho tar 4 April, 2026!

    Natumaini kila mwenye sifa au ndugu mwenye sifa amfikishie taarifa. Nafasi 340+ ni nyingi sana. Probability ya kupata ni kubwa. Ajira Portal afanye Application
  18. Huu ndiyo mwisho wa Kikosi cha Rodwan cha Hezbollah

    Jeshi la Israeli limeunda kile ambacho wengi wanakiita fursa ya mara moja katika kizazi kimoja kusini mwa Lebanon. Baada ya Hezbollah kukusanya idadi kubwa ya kikosi chake cha juu cha Radwan karibu na mpaka, Israeli ilichukua hatua kwa uamuzi: kukata vivuko vya Mto Litani, kutenga uwanja mzima...
  19. Mwisho wako: Hiki ndicho kinachotokea mara unapokufa

    Mara tu mapigo ya moyo wako yanaposimama kupiga, mwili wa binadamu huanza mara moja mfululizo maalum wa mabadiliko ya kibaiolojia ya kuoza. Kadiri oksijeni inavyoacha kusambazwa, seli huanza kulegea katika hali inayoitwa kulegea kwa awali (primary flaccidity), kisha hufuatiwa na rigor mortis —...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…