mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Naomba kuuliza hivi kazi gani anaweza kufanya mwanafunzi wa chuo kikuu kubla ya kumaliza chuo yaani yupo mwaka wa mwisho

    Naomba nijue maana natamni sana nipate kazi lakin sijaona kaz gan naweza kufanya kww mwanachuo kikuu mwaka wa mwisho anae soma
  2. Yoda

    Kwa nini Muhammad aliweka sheria kuoa mwisho ni wake wanne tu ?

    Kwa nini Mtume katika Quran alisema ukomo wa kuoa ni wake wanne tu? Kwa nini haikuwa wawili, watatu, watano, kumi, ishirini n.k kulingana na kipato cha mtu ? Kuweka ukomo wa kuoa wake wanne tu kuna tofauti gani na walioweka ukomo wa kuoa mke mmoja tu ?
  3. TIB RASILIMALI

    Ukomo wa hati fungani (maturity date): Nini kinatokea uwekezaji wako unapofikia mwisho wa muda wake?

    1. Utangulizi Unapowekeza katika hati fungani, ni muhimu kuelewa si tu kiwango cha riba utakachopata, bali pia muda ambao uwekezaji huo utakaa kabla ya kufikia ukomo wake. Katika uwekezaji wa hati fungani, kuna dhana muhimu inayojulikana kama Maturity Date, ambayo humaanisha tarehe ambayo hati...
  4. Pakome

    Rafiki yangu alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho

    Rafiki yangu aliyejiita lambalamba alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho Nimewahi kuwa na rafiki mshenzi kuliko wote ingawa sikufahamu mapema hadi siku aliponionesha video akiwa anatumbuiza...
  5. Kaka yake shetani

    Kujipendekeza mpaka kwenye imani za watu mwisho wa siku kubaya

    Mataamko ya RC Chalamila kukashifu wa Kristo ni dalili mbaya sana .Ila kuna siku tu haya mambo mnayatengeneza kujionesha mpendwe na vyeo vyenu
  6. R

    Kweli watu wamekufa hivi hivi kama panzi na ndiyo mwisho!

    Naona siku zinakwenda hakuna ICC wala international community youote kuchukua hatua! Is that acceptable? NO NEY! Kuna clip nasita kuiweka, inasikitisha sana. Nimetokwa na machozi!
  7. Zack Abdul

    Mwaka wa fursa kwa Vijana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hataki utani vijana mshindwe wenyewe,Fursa kibao,Haya changamkieni na Mwisho wa maombi 18/11

  8. L

    Lissu Akikata Rufaa Kesi Yake Itaanza Kusikilizwa 2027 Huko Kwa sababu kwa Sasa Muda Siyo Mrefu Majaji Wataanza kwenda Likizo Ya Mwisho wa Mwaka

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwatahadharisha CHADEMA na Lissu wao kuwa kama na ikiwa watajaribu Kukata Rufaa basi watakuwa wanajisumbua na kujipotezea Muda tu . Kwa Sababu kwa Sasa Muda Siyo Mrefu Majaji Wataanza kwenda Likizo Ya Mwisho wa Mwaka ambapo kurejea kwao ni kuanzia 2027 mbele...
  9. Dr Adam Francis

    Natamani hili suala la Lissu lifike mwisho, Watanzania tuijenge nchi yetu

    Tulifunzwa, mafahali wawili wagombanapo, zinazoumia ni nyasi. Hiki ndicho kinachoendelea nchini kwetu sasa. Kwahali ilipofikia sasa, kutafuta nani anamakosa haitatusaidia. Maana lipo wazi hakuna upande, kati ya CCM na CHADEMA ambao upo tayari kukiri na kuwajibika. Hii mivutano na vita za...
  10. Dogoli kinyamkela

    Ujumbe gani wa mwisho uliambiwa naye kabla hajakata Roho - Hutakuja kuusahau ?? 😢 😭

    Ujumbe gani wa mwisho uliambiwa naye kabla hajakata Roho - Hutakuja kuusahau ?? 😢 😭
  11. Sodoku Myebusi

    Wayebusi hatupoi moto ule ule mwanzo mwisho

    Hiyo ndo sifa ya Wayebusi. Ni sababu ya kula vizuri na kushiriki mazoezi. Afya njema na wakati wote kujitunza huku tukikabidhi kila kitu kwa sir God. Uyebusi ni Imani, ni Utamaduni, Ni Maisha ni Uchumi.
  12. Carlos The Jackal

    CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  13. murthehelp

    Pesa feki kuomgezeka kipindi cha mwisho wa mwaka.

    Naomba niipmbe serikali ichukue hatua madhubuti juu ya kuonbezeka kwa pesa feki kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa mwaka, sijui changamoto ni nini lakini naamini serikali yangu madhubuti italitendea kazi.
  14. Gunner11

    Kama mwisho wa haya yote, ni kifo, mbona watu wana hofu?

    Kama wewe hauna importance yoyote katika ulimwengu huu kwanini uishi kwa hofu? Unajua fika kabisa una muda mchche, ila bado utakuta unatumia muda mwingi kuwaza sijui wataniwazaje? Kama mwisho ni kifo, why not live the life you really want? Nini tatizo? Hasa sisi waafrika tunapenda sana...
  15. MTAZAMO

    Pumzi za mwisho!!

    Inashangaza kuona namna upande mmoja wa mchezo unavyoendelea kuwa imara, wenye nidhamu, dira moja na safu zilizopangwa kwa ustadi wa hali ya juu. Wakati huo huo, upande mwingine unafanana na jahazi lililopoteza dira katikati ya bahari; mabaharia wamegawanyika, baadhi wamebadilisha misimamo...
  16. Setfree

    Chonde, chonde! Huenda hili ni onyo la mwisho kwako!

    Nakusihi kwa Jina la Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana 1. Usifanye tena uzinzi na uasherati na wala 'usipige nyeto' 2. Acha ulevi 3. Usiibe tena 4. Usirudie kusema uongo 5. Futa kabisa mawazo yako ya kulipiza kisasi 6. Acha kutukana na kuwachafua wengine kwa maneno yako 7. Acha dharau...
  17. passioner255

    watawala wauaji na wapambe wake huwa mwisho wao ni mbaya

    Watawala wauaji na wapambe zao huwa mwisho wao ni mbaya.Hii ni kwa sababu damu hudai na pia huwa wanaviburi kiasi kwamba wanahalalisha mauaji.huu ndo muelekeo wa utawala huu ovu wa nchi yetu.haiepukiki.
  18. M

    Mafundi wetu hawajui kusema "SIJUI". Kila kitu wanalazimisha, mwisho wa siku unalipa pesa nyingi lakini tatizo linabaki au yanaongezeka mengine.

    Na ndio maana sikuhizi gereji za wachina zinazidi kuwa na demand kubwa, mtu anaona ni heri alipie mara tatu kuliko kwenda garage za mafundi wabongo. Mafundi wetu wana tatizo moja kubwa: hawajui kusema "SIJUI." Kila kitu wanalazimisha kukitengeneza hata kama hawana uelewa nacho. Mwisho wa siku...
  19. A

    KERO Wafanyabiashara wa Temeke Mwisho tumekaa kwenye eneo hili kwa miaka 15, leo tunaambiwa tuondoke kuna mgogoro

    Wafanyabiashara katika eneo la Temeke Mwisho tumepewa barua za kutakiwa kuondoka kupisha eneo hilo kwa ajili ya mwekezaji. Viongozi wanaeleza kuwa eneo hilo lina mgogoro, huku kukiwa na taarifa kuwa kampuni ya GSM ndiyo inayotarajiwa kuwekeza. Hata hivyo, wafanyabiashara tulikabidhiwa eneo hilo...
  20. K

    Gharama ya Msimamo: Kwanini Kusimama Peke Yako Ndio Kipimo cha Mwisho cha Uadilifu na Uongozi

    Ndugu zangu wa JamiiForums, salaam, Kuna usemi mzito na usiochuja unaosema: "Ni lazima usimamie kile unachokiamini, na wakati mwingine inakulazimu kusimama pekee yako." Katika ulimwengu wa sasa—iwe ni kwenye siasa, maeneo ya kazi, au hata kwenye jamii zetu za kila siku—shinikizo la kufuata...
Back
Top Bottom