mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mbezi Mwisho: Suala la kuwapunguzia nafasi Wafanyabiashara waliopo ilikuwaongeza wengine linatuathiri Wafanyabiashara wa chakula

    Tumekuwa tukiona juhudi za kuboresha maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo kwa kuwekwa vibanda vya maturubai na wakati mwingine kuezekwa kwa bati kwa gharama zinazotolewa na wafanyabiashara wenyewe. Hili ni jambo zuri na la kupongezwa kwa kuwa linasaidia kuboresha mazingira ya biashara...
  2. Hivi kutokana na estimation mwanaume kuoa mwisho miaka mingapi?

    Kumbe kuwa na wimbi la vijana kuwa pressured kuoa. Ukisha fika in your late 20s na early 30s kuna kuwa kama kunakijicho fulani kinakukodolea, utaoa lini? Mmi ndo namalizia my 20s ila ndo kama hata sifikirii kabisa, na siwazi sasa sijui si angalii reality inapaswa kuonwa? Je, ndugu zangu naona...
  3. I

    Mahakama Kuu yaunga mkono kujumlishwa kwa matokeo ya Urais Kitaifa. Hii ina maana gani kwa mpiga kura?

    Mahakama Kuu imeamuru kuwa kujumlisha na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi wa urais katika ngazi ya kitaifa(National tallying Centre) ni halali, na hivyo basi imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, iliyopinga mchakato huo. Mahakama imeeleza kuwa masharti ya...
  4. Ni series gani ambayo ilinoga sana mwanzoni lakini mwisho ilikuja kuboa?

    Wakuu, Mimi Squid Game ya kwanza niliipenda sana. Ya pili pia walijitahidi, lakini ya tatu ni mbovu sijawahi kuona! 🤦‍♂️ Sikupenda kabisa jinsi Steringi 'Gi Hun'. Yaani baada ya mateso yote na safari ndefu, alifariki kizembe vile. Vifo vya mwanzo viliumiza kwa sababu vilikuwa na maana...
  5. T

    Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

    Hiki kitu nimeshindwa kufanya kabisa kwa wanawakee kadhaa zaidi ya mara tano, kwa wanaoweza kwenda huko sijui wanatumia mbinu gani. Basi bhana wiki iliyopita kwenye pitapita zangu mitaa ya majengo hapa mkoani Arusha nikakutana na kabinti kamoja kazurizuri karefu kembamba , nikamsaundisha...
  6. D

    Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Nawaza tu lakini. Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?
  7. "'Milango ya Mauti Imefunguliwa': Nabii Genoveva Atoa Onyo la Mwisho kwa Kajala Masanja Kufanya Toba"

    Nabii Genoveva, anayejitambulisha kama mtumishi wa Mungu, ametoa ujumbe mzito wa kiroho akidai kuwa mwigizaji na mfanyabiashara mashuhuri nchini Tanzania, Fridah Kajala (Kajala Masanja), yuko katika hatari ya kupoteza maisha muda si mrefu iwapo hatatubu madhambi yake na kutengeneza mfumo wa...
  8. Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui...
  9. Lissu akubali yaishe Afunga Ushahidi tarehe 23 Majumuisho ya mwisho Final Submission

    Tulichokua tumetabiri sisi wengine aina ya Mashahidi wa Lissu katika kujenga kesi yake ndiyo kilichotokea na Leo Tundu Lissu ameomba kufunga Ushahidi hivyo kesi pande zote ushahidi umefungwa na Jumatano tarehe 23/09/2026 ni Final Submission kwa pande zote Final Submission inaweza kuwa ya...
  10. CHADEMA wakija kukubali huu upumbavu ndo utakuwa mwisho wao

    1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu. Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi. Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni...
  11. X

    Walikimbia China kukwepa tariffs, lakini mwisho wa siku wanarudi tena China

    Wakati wa vita vya tariffs vilivyoanzishwa na Trump dhidi ya China mwaka 2024, baadhi ya kampuni zilihamisha uzalishaji China na kwenda mataifa kama Vietnam, Indonesia na India. Hatimaye wamegundua kuwa Trump aliwapeleka chaka wamelazimika kurudi tena China. Companies left China to dodge...
  12. Kwa nini CCM inapoteza nguvu yake ya ushawishi? Hakika CCM imefika mwisho wake.

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimedumu madarakani kwa muda mrefu nchini Tanzania, kimekuwa kikikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, na kijamii zinazotajwa na wachambuzi wa mambo kulinganisha na miaka ya nyuma. Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazoelezwa na wataalamu...
  13. Je, Huu Ni Mwisho wa Ushirika wa CHADEMA na Wanaharakati?

    Walianza na FAM& Co. Wamemgeuka sasa Yule Aliekua akifanya nao zile mission za kumchomoa Joka la Kengeza. Ila Lema Uzuri awezi kubali Kufa Kizembe Atamwaga mboga. Kamwaga ya Direct Contact ya Heche ma Boss Kubwa. Mtananage ukiendelea siku 2 Mtajua Mengi ya sirini. Chadema ikibali...
  14. Tetesi: Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi....Mahakama imemtaka kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi saa 2:30

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
  15. Tetesi: Mkopo wa 10% Halmashauri Kigamboni: Mke wangu alipangiwa 9.6M lakini mwisho anaambiwa atapewa 3M – Je, hii ni kawaida?

    Habari wakuu, Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu. Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
  16. R

    TANROADS watu wanajenga kwenye road reserve are mnawaangalia. Wekà beacon za mwisho wa roas reserve from Tanga to Pangani kama za Magufuli.

    This is the second call. Kesho mtawabomolea watu maana hawa ui mwisho wa road reserve ni upi. Nilishaandikia humu as a wake up call kuepusha migogoro ya kesho. Watu wanajenga petrol station kwenye road reserves!
  17. Mapenzi ya U-Kimada, mwisho wake mchungu!

    Mwanaume unaishi na mwanamke kimapenzi, mara baada tu ya kuingia chuo kikuu kutoka kwenu Ushetu. Mwanaume , huyo mwanamke akifa ukiwa naye anazikwa kwao, maana si mkeo bali ni mzinzi mweznio. Mwanamke , ukiumwa utakuja kusalimiwa na wazazi wako kwa mzinzi mwezio ama utasema ulikuwa unaishi...
  18. Siku za Mwisho zi Karibu Yesu Anarudi

    Tunapo endelea kutafakari matukio yakuogofya yanayo endelea kutokea duniani tusisahau kujitakasa miili na roho zetu ili muda utakapofika tufae mbele zake. Kujitakasa ni kujiweka mbali na dhambi. Kujitakasa ni kukaa mbali dhambi Kujisafisha miili yetu na roho zetu ili hatimaye tufae mbele za...
  19. Eneo la ukubwa wa heka 3 linauzwa Mbezi mwisho

    🏢 ENEO KUBWA LA UWEKEZAJI LINAPATIKANA — MBEZI MWISHO! Mbezi Mwisho, sio mbali na Stand ya Mabasi ya Mbezi Magufuli 🛣️ Linatazama moja kwa moja Barabara Kuu ya Mbezi–Msigani 📐 Ukubwa: Heka 3 ➡️ Sqm 12,300 ENEO BORA KWA UWEKEZAJI WA KIBIASHARA! Eneo hili linafaa kwa miradi mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…