mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jumatatu 23, Novemba 2026 Makamu mwenyekiti CHADEMA John Wegessa Heche aliongoza kikao cha Sekretarieti Main agenda Maridhiano good move.

    CONFIDENTIAL: Jioni ya jana Jumatatu 23, November John Wegess Heche aliongoza Sekretarieti ya CHADEMA ikiwa na Katibu Mkuu na Manaibu Makatibu Wakuu 2, Makamu Mwenyekiti Zenji na Mkurugenzi wa Sheria (Nshalla), wamekubaliana kuingia kwenye maridhiano, ila inabidi wapate idhini ya Kamati Kuu...
  2. Kwahiyo baada ya Lissu kufungwa majukumu ya mwenyekiti wa CHADEMA Yanafanywa na nani? Au CDM ni Mali ya Lissu?

    Heche hawezi kuitisha uchaguzi wa kumpata mwenyekiti mpya kwasababu aliwekwa na Lissu, Jina la Heche lilikuwa kwenye mfuko wa Lissu kwahyo mchakato wa kumpata Heche ni batili ndo maana chama kinaongozwa na mfungwa...HII HAIJAWAHI TOKEA DUNIANI KOTE. Cha ajabu Lissu mwenyewe hakukabidhiwa ofisi...
  3. K

    Mwenyekiti Mstaafu hakupaswa kuwa mjumbe wa milele wa vikao nyeti vya chama. CHADEMA tuliiga CCM na sasa tutajuta.

    MFUMO TAWALA sasa ni rasmi wana mjumbe halali ndani ya vikao vyetu! Kwa mujibu wa breaking news za BBC Idhaa ya Wanaharakati, Mwenyekiti Mstaafu ameteuliwa kwenye Tume ya Maridhiano, ambayo CHADEMA hawamo, na hawaitaki. Sasa Mzee anakwenda kwenye vikao vyao akitoka akitaka anaingia kwenye...
  4. Tetesi: Zitto Kabwe kugombea nafasi ya Mwenyekiti Club ya Simba Sports

    Taarifa kutoka baadhi ya Vyanzo ni kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe ambaye ni Mwanasiasa Mstaafu, Mfanyabiashara na Mkulima anafikiria kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti kwenye Uchaguzi Mkuu wa Simba. Sasa hivi Zitto ni Mfanyabiashara akiwa amewekeza hapa Tanzania, Kenya, Ethiopia na...
  5. Mpaka sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa ndio pekee mwenye furaha zaidi, licha ya kuificha furaha hiyo isionekane hadharani kwa umma.

    But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
  6. Nani atakalia kiti cha mwenyekiti wa CHADEMA?

    Wadau, Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA kuhukumiwa kifungo cha miaka minne jela, swali ni Nani atakuwa na mamlaka ya kuongoza chama katika kipindi hicho? Je, Makamu Mwenyekiti anachukua nafasi hiyo moja kwa moja, au Kamati kuu ya Taifa ina utaratibu mwingine kwa mujibu wa Katiba ya chama? Je...
  7. B

    Mabadiriko ya vyama vya siasa yawe hivi : mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais.

    ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
  8. Countdown Zimebaki Siku 7 kuifikia Hukumu ya Tundu Lissu

    Huu uzi ni mahususi kwa kuCountdown siku zilizosalia mpaka kufikia humuku ya Jemedari Tundu Lissu TUTAKUWEPO
  9. Q

    CHADEMA yatoa wito kwa Watanzania kuanza migomo Jumatatu kumuunga mkono Mwenyekiti wao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa wito kwa watanzania kufanya migomo mbalimbali ili kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kufanywa na Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu, kuanzia Jumatatu ya Oktoba 26, 2026.
  10. Kumwita mwenyekiti wa Chaso na kumuacha Kiliba ni ukorofi. Hatuwezi kuwa na taifa ambalo vyombo vya dola wanataka watu wote wawe upande mmoja.

    Hamjambo! Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo. Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
  11. Ningekuwa Mwenyekiti wa TAHLISO, ndugu Kiliba, ningefuata nyayo za Makonda

    Siasa za vyuo vikuu Tanzania ni siasa za CCM na CHADEMA full stop. Ukilijua hili utajua ni kwanini CHADEMA walianzisha CHASO na CCM walianzisha mkoa maalum wa Vyuo vikuu. Mwenyekiti wa TAHLISO, (au pengine kama anavyopenda aitwe rais wa TAHLISO, ingawa sina hakika kama sasa katiba imebadilika...
  12. Tetesi: Mwenyekiti CHASO Mwanza kupewa kesi ya ugaidi na Polisi

    Baada ya Kumjibu Kilina , M/kiti wa Chaso Mwanza anatakiwa ku report Polisi huku Polisi wakipanga kumpa kesi ya Ugaidi. Kwa sasa Jeshi la Polisi limeji dhatiti kudhibiti wote wanaojibu hoja zinazoihusu CCM au zinazomhusu SAMIA isipokua ziwe zinasifia na si kukosoa.
  13. Kulikoni hakuna feedback ya mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa ndugu John Heche pale Bomang'ombe ground, Hai?

    Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena? Na kama ulifanyika, Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika...
  14. Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
  15. L

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammedi Kawaida amtaka Mchengerwa afuate taratibu za CCM badala ya kuwakatisha tamaa vijana

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa 👉Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amemtaka Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, kufuata taratibu na misingi ya chama hicho katika kushughulikia tuhuma zinazohusu rushwa ndani ya jumuiya...
  16. K

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Pwani kakosea kutaka waziri aombe radhi, kilichosemwa na waziri kilihusu watu sio jumuiya.

    Siku zote Kuna tofauti kubwa kati ya mtu ( binafsi) na taasisi au jumuiya katika jicho la kisheria licha ya kwamba Taasisi au jumuiya zinaongozwa na watu. Katika mazingira hayo, Taasisi inatenganishwa na watu moja kwa moja. Hili ndio naliona tatizo kwa UVCCM Mkoa wa Pwani kutaka kuhusianisha na...
  17. Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  18. Kauli za Mwenyekiti BAVICHA Taifa Deogratius Mahinyila zamponza, aitwa polisi kwa mahojiano

    👉 Vyama vya siasa nchini Tanzania vinapaswa kufanya shughuli zao ndani ya mipaka ya sheria na kanuni zilizowekwa. 👉 Kiongozi yeyote wa kisiasa anapotoa kauli za uchochezi au zinazokiuka sheria za nchi, lazima awajibishwe kisheria. 👉 Kuitwa kwa Kiongozi wa Chadema Deogratias...
  19. THBUB yapokea maoni kwa Waombaji Nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Makamishna na Makamishna Wasaidizi

    TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
  20. K

    Matokeo ya Uchaguzi wa Mwenyekiti CCM Kata ya Kurasini yatiliwa shaka

    Mtifuano umeibuka katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kata ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kurasini baada ya wagombea wawili kupinga matokeo yaliyompa ushindi Arnold Emanuel Peter, aliyepata kura 136, huku Claudias Matiti Togocho akishika nafasi ya pili kwa kura 36. Uchaguzi huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…