CONFIDENTIAL: Jioni ya jana Jumatatu 23, November John Wegess Heche aliongoza Sekretarieti ya CHADEMA ikiwa na Katibu Mkuu na Manaibu Makatibu Wakuu 2, Makamu Mwenyekiti Zenji na Mkurugenzi wa Sheria (Nshalla), wamekubaliana kuingia kwenye maridhiano, ila inabidi wapate idhini ya Kamati Kuu...
agenda
chadema
good
heche
jana
jioni
john
john heche
jumatatu
kamati
kamati kuu
kikao
kikao cha kamati kuu
kuu
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti chadema
maridhiano
mwenyekitimwenyekiti chadema
novemba
sekretarieti
Heche hawezi kuitisha uchaguzi wa kumpata mwenyekiti mpya kwasababu aliwekwa na Lissu, Jina la Heche lilikuwa kwenye mfuko wa Lissu kwahyo mchakato wa kumpata Heche ni batili ndo maana chama kinaongozwa na mfungwa...HII HAIJAWAHI TOKEA DUNIANI KOTE.
Cha ajabu Lissu mwenyewe hakukabidhiwa ofisi...
MFUMO TAWALA sasa ni rasmi wana mjumbe halali ndani ya vikao vyetu!
Kwa mujibu wa breaking news za BBC Idhaa ya Wanaharakati, Mwenyekiti Mstaafu ameteuliwa kwenye Tume ya Maridhiano, ambayo CHADEMA hawamo, na hawaitaki.
Sasa Mzee anakwenda kwenye vikao vyao akitoka akitaka anaingia kwenye...
Taarifa kutoka baadhi ya Vyanzo ni kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe ambaye ni Mwanasiasa Mstaafu, Mfanyabiashara na Mkulima anafikiria kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti kwenye Uchaguzi Mkuu wa Simba.
Sasa hivi Zitto ni Mfanyabiashara akiwa amewekeza hapa Tanzania, Kenya, Ethiopia na...
But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
chadema
furaha
hadharani
heche
john
john heche
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mpaka
mwanachama
mwenyekitimwenyekiti wa chadema
pekee
taifa
umma
Wadau, Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA kuhukumiwa kifungo cha miaka minne jela, swali ni Nani atakuwa na mamlaka ya kuongoza chama katika kipindi hicho?
Je, Makamu Mwenyekiti anachukua nafasi hiyo moja kwa moja, au Kamati kuu ya Taifa ina utaratibu mwingine kwa mujibu wa Katiba ya chama?
Je...
ni hatari sana mwenyekiti wa chama kitaifa kuwa rais.hapa akitokea rais asiyetaka kushauriwa ,ni hatari sana kwa taifa .kwa kweli mwenyekiti wa chama kitaifa asiwe rais. chukulia mtu mwenye misimamo kama TL awe rais na ni mwenyekiti wa chama .hapo inakuwaje? hata hayati magufuli kuna sehemu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa wito kwa watanzania kufanya migomo mbalimbali ili kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kufanywa na Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu, kuanzia Jumatatu ya Oktoba 26, 2026.
Hamjambo!
Nilimsikia Dogo Kiliba alichoongea. Kwa upande wake hakukosea. Aliongea kwa haki na uhuru wake. Kulingana na uelewa na maslahi yake. Sioni tatizo katika hilo.
Baadaye akaja Dogo mwingine aitwate Zakayo ambaye ni Mwenyekiti wa CHASO huko Mwanza. Akimjibu Dogo mwenzake. Wote wametoa...
Siasa za vyuo vikuu Tanzania ni siasa za CCM na CHADEMA full stop. Ukilijua hili utajua ni kwanini CHADEMA walianzisha CHASO na CCM walianzisha mkoa maalum wa Vyuo vikuu.
Mwenyekiti wa TAHLISO, (au pengine kama anavyopenda aitwe rais wa TAHLISO, ingawa sina hakika kama sasa katiba imebadilika...
Baada ya Kumjibu Kilina , M/kiti wa Chaso Mwanza anatakiwa ku report Polisi huku Polisi wakipanga kumpa kesi ya Ugaidi. Kwa sasa Jeshi la Polisi limeji dhatiti kudhibiti wote wanaojibu hoja zinazoihusu CCM au zinazomhusu SAMIA isipokua ziwe zinasifia na si kukosoa.
Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena?
Na kama ulifanyika,
Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika...
What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking?
Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili?
Je,
ukiwatazama...
chadema
gani
hatua
heche
john
john heche
kutamka
lisu
makamu
makamu mwenyekiti
makamu mwenyekiti wa chadema
mwenyekitimwenyekiti wa chadema
taifa
tundu
tundu lisu
ujumbe
wanachadema
Ndugu zangu Watanzania,
Soma hapa 👉Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amemtaka Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, kufuata taratibu na misingi ya chama hicho katika kushughulikia tuhuma zinazohusu rushwa ndani ya jumuiya...
Siku zote Kuna tofauti kubwa kati ya mtu ( binafsi) na taasisi au jumuiya katika jicho la kisheria licha ya kwamba Taasisi au jumuiya zinaongozwa na watu.
Katika mazingira hayo, Taasisi inatenganishwa na watu moja kwa moja. Hili ndio naliona tatizo kwa UVCCM Mkoa wa Pwani kutaka kuhusianisha na...
My friends, ladies and gentleman,
Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea...
In fact,
sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
baada
binafsi
chadema
gani
hata
hukumu
kabla
kanda
kisiasa
kujiuzulu
kwasababu
lisu
mara
mbalimbali
mikoa
mwenyekiti
nafasi
nafasi zao
nchini
taifa
tundu
tundu lisu
ujumbe
viongozi
viongozi wa chadema
wake
wao
wengi
wilaya
zao
👉 Vyama vya siasa nchini Tanzania vinapaswa kufanya shughuli zao ndani ya mipaka ya sheria na kanuni zilizowekwa.
👉 Kiongozi yeyote wa kisiasa anapotoa kauli za uchochezi au zinazokiuka sheria za nchi, lazima awajibishwe kisheria.
👉 Kuitwa kwa Kiongozi wa Chadema Deogratias...
TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
Mtifuano umeibuka katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kata ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kurasini baada ya wagombea wawili kupinga matokeo yaliyompa ushindi Arnold Emanuel Peter, aliyepata kura 136, huku Claudias Matiti Togocho akishika nafasi ya pili kwa kura 36.
Uchaguzi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.