Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA).
Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...
Kuna suala la wahitimu wa mwaka 2024 katika Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza ambao hadi leo hawajapata vyeti vyao. Kila tunapofika chuoni kuulizia, tunaambiwa bado vipo kwenye mchakato.
Tangu mwaka 2024 hadi sasa, mchakato huo umechukua muda mrefu bila maelezo ya kina. Tunaomba mamlaka husika kutoa...
Habar za wakati huu,
Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30.
Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
degree
elimu
elimu ya
kazi
kazi ya stationery
kazi yoyote
marketing
miaka
miaka 30
miaka 5
mwanza
natafuta
natafuta kazi
nayo
stationery
uzoefu
wakati
zaidi ya
Kiwanja kinauzwa Nyamhongoro Mwanza, ni sehemu nzuri sana, 502 sqmts, block 5, kuelekea kwa mapadri...Bei 26 mil..maongezi yapo..Hati ipo..
Karibu sana mteja mpendwa..
[email protected]
Familia ya Frank Stanley, mkazi wa Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imelalamikia tukio la mwanao kudaiwa kupigwa akiwa mikononi mwa Polisi na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza.
Familia hiyo inasema ilipata wakati mgumu kumpata kijana wao tangu...
Katika miezi ya hivi karibuni, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imekuwa ikituma bili za maji kwa wateja bila kuonesha idadi ya units zilizotumika kwa mwezi husika.
Hali hii inatia wasiwasi, hasa kutokana na changamoto za upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo...
Salama wanajamvii.
Sasa leo tutaje barabara zenye kero
Mimi naanza na Barabara ya BABATI -SINGIDA anzia Daredaa ile barabara inatuchelewesha sana barabarani ni mbivu ni kama rafu road ilichangamkaaa.
Mwanza - Lamadi hii barabara unaanzia Nyaguge hadi lamadi ni rafu road iliyochangamkaa.Mwanza...
Anonymous
Thread
barabara
kero
kero ya barabara
manyara
mikoa
mwanza
nchini
simiyu
Tanzania imegeukia kuwa uwanja wa damu. Kinachouma zaidi watanzania hawana kitu kinaitwa revenge. Hawa vibaka wangekuwa South Africa au hapa USA wangekuwa washaliwa vichwa.
RCO wa mkoa wa Mwanza bwana Sudi, ametenda makosa makubwa mnoo, kiasi kwamba amefikia threshold ya kushitakiwa Kwa crime...
Hili linasikitisha. Tulikuwa na matumaini makubwa sana kuhusu meli hii.
Kwa sasa imeegeshwa Mwanza, bila kuwa na safari maalumu za kufanya. Mara ya mwisho niliposikia, walikuwa wakisubiri bandari za Jinja au Port Bell zikamilike ili meli iweze kuanza kufanya kazi. Hata hivyo, sina uhakika kama...
Huduma katika hopstali hii ni mbaya sana ingawa hosptali ina majengo mazuri ya kisasa vifaa vya kisasa, lakini kila tukienda Wanasema mtandao hakuna.
Na pia Serikali iweke wazi kama haiwalipi mishahara wauguzi tujue ili sisi wenye wagonjwa tulipe pesa zetu maana nilipeleka mgojwa mpaka masaa 24...
Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na maeneo mengine ya jirani, tumekosa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Hii si hali ya kuvumilika tena. Msifanye kazi kwa mazoea wala kusubiri hadi Waziri aje...
“KAFITI HATOSHI ILEMELA?”KAULI YA RC MWANZA KWA KAFITI “KUKALIA KITI NUNUSU”.
Siku chache zilizopita Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, alitoa kauli yenye mashaka na utata ndani yake kuhusu Mbunge wa Ilemela Kafiti William.
Kauli ya mkuu wa mkoa ilikuwa hivi, nanukuu maneno yake,” wewe sasa...
Leo Agosti 8, nchini Kenya tukio kubwa ni engagement ya Charlene Ruto ambaye ni binti wa Rais Ruto. Katika tukio hilo, ametambulisha mumewe mtarajiwa ambaye ni Mtanzania Isaya Yunge. Historia yake si kubwa sana mtandaoni ila nimepata hints hizi. Kwanza jamaa kasoma IFM Bachelor of Science Degree...
JE, HISTORIA YA PHILIBERT KABAGO IMESAHAULIKA KWENYE MIAKA 30 YA BONGO FLEVA?
Tarehe 8 Agosti 2026, macho ya wadau wa muziki yataelekezwa jijini Mwanza katika tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva litakalofanyika The Climax, Rock City Mall. Ni tamasha linalolenga kuenzi safari ya muziki wa Bongo...
Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1.
Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
Anonymous
Thread
afya
kituo
kituo cha afya
kufanya
mwanza
ukaguzi
ukaguzi kituo cha afya
utendaji
viongozi
waje
wilaya
Wasanii wanaojishughulisha na kazi za sanaa kupitia kikundi cha Twendeni Art Group jijini Mwanza wameonyesha kusikitishwa kwao na kitendo cha mabanda yao ya kufanyia kazi kubomolewa ghafla bila kupewa muda wa kutosha au taarifa za kuridhisha.
Kauli ya Kiongozi wa Kikundi (Isaac Ibrahimu...
RC Mtanda,
Kuanzia Januari hadi Juni 2026, wananchi wa Wilaya ya Ilemela tumeendelea kuwasilisha malalamiko ya uwepo wa changamoto zinazojirudia katika utoaji wa huduma za umma na usimamizi wa majukumu ya Serikali pamoja na taasisi zake. Changamoto hizo zimejikita zaidi katika sekta za...
Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa.
Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea...
Anonymous
Thread
hii
hospital
kufanya
mbili
mwanza
nje
serikali
uongozi
utaratibu
wafanyakazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.