mwana

Mwana Kupona binti Msham (born on Pate Island, died c. 1865) was a Swahili poet of the 19th century, author of a poem called Utendi wa Mwana Kupona ("The Book of Mwana Kupona"), which is one of the most well-known works of early Swahili literature.
Relatively little is known about her life. Her grandson Muhammed bin Abdalla reported in the 1930s that Mwana Kupona was born on Pate Island, and that she was the last wife of sheikh Bwana Mataka, ruler of Siu (or Siyu), with whom she had two children. Mataka died in 1856; two years later, Mwana Kupona wrote her famous poem, dedicated to her 14-year-old daughter Mwana Heshima. Mwana Kupona died around 1865 of uterine hemorrhaging.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Mwanamtindo Jennifer Barreto aweka historia kwa kutwaa taji la Miss Universe akiwa Mama

    Mwanamtindo kutoka Puerto Rico, Jennifer Barreto, ameweka historia kwa kuwa mama wa kwanza kutwaa taji la Miss Universe tangu waandaaji wa mashindano hayo walipobadilisha kanuni na kuruhusu wanawake wenye watoto kushiriki. Hata hivyo, jibu lake kuhusu swali lililohusu teknolojia ya Akili Mnemba...
  2. MakinikiA

    Mwana kulifind Mwana kuliget Poland

    zilizopitaUrusi yarusha kombora Poland wakati wanajeshi wanafanya mazoezi Poland imesema kuwa kombora la Urusi aina ya cruise lilikuwa miongoni mwa vitu vitatu vilivyoingia katika anga yake mapema leo, huku Waziri Mkuu Donald Tusk akisema tukio hilo halionekani kuwa la bahati mbaya, kwani...
  3. Echolima1

    Rais wa Israeli Isaac Herzog aongea na Mwana Mfalme Reza Pahlavi

    Rais wa Israeli Isaac Herzog na Mwanamfalme wa Iran Reza Pahlavi walizungumza pamoja katika semina maalum ya mtandaoni iliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Ben-Gurion. 🕊️ Naomba tuione Iran huru ikiishi kwa amani na Israeli hivi karibuni.
  4. Nobunaga

    Huyu ni mama na mwana.... Halafu unategemea siku yuko na gf wake wataacha kujirekodi ka connection?

    Inakuwaje unajitekodi video za namna hii na mwanao wa kiume ambaye ameshabalehe?! Hatukatai kuwa na "Family Memories", lakini ndiyo mshikaneshikane na mwanao wa kiume to this extent! Tena hauishii hapo, unajipost mitandaoni! Hapa uwezekano mkubwa huyu ni single mother, tena alozaa naye atakuwa...
  5. U

    Hivi mwana sheria mkubwa Tundu Lissu kuna kesi yeyote ya maana aliyoshinda mahakamani?

    Wadau hamjamboni nyote? Sitaki matusi au Lugha za hivyo njoo na ushahidi wa kesi aliyoisimamia na kushinda
  6. Pascal Mayalla

    Kuhusu Hukumu ya Mwana TLS Tundu Lissu, Natoa Pongezi kwa TLS Kukaa Kimya Bila Kukurupuka Kutoa Maoni Yoyote Kuhusu Hukumu Hiyo, Halafu ...

    Wanabodi, Tundu Lissu ni mwanachama wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS, Hili ni bandiko la kuipongeza TLS kwa kitendo chake cha TLS kukaa kimya tangu kutolewa kwa hukumu hiyo, TLS imekuwa kimya bila kusema chochote, au bila kukurupuka kutoa maoni yoyote rasmi ya TLS, kuhusu hukumu...
  7. britanicca

    Karafuu imekalishwa na alizeti 2026

    Kwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni Britanicca
  8. Crocodiletooth

    Kuwa mwana CHADEMA maana yake ni kujihusisha na vitu au mambo yasiyowezekana!...

    Nimetafakari sana leo hii asubuhi na kulingamua hili,its totally lost of times on trusting what is not possible!... Ni kuwa mwanaharakati,na kuwa busy kwa kushindana na kesi mbali mbali mahakamani alimradi tu,days count old came with no achievements. Record mbalimbali zinatuonyeaha kwa waenga...
  9. Pakome

    20/10/2026 Yoweri Museveni wa Uganda alimpa mjukuu wake Ruhamya Kainerugaba mwana wa Jenerali Muhoozi cheo cha Luteni wa Pili

    20/10/2026 Yoweri Museveni wa Uganda alimpa mjukuu wake Ruhamya Kainerugaba mwana wa Jenerali Muhoozi cheo cha Luteni wa Pili
  10. Financial Analyst

    Hiki ndicho mzungu anachoweza kukifanya na matokeo yake ya kushikika ila sisi ni 2026 mwana JF unaandika uzi wa kuomba mganga wa pesa za kimazingara

    Jamaa kafanyia facial implant, yaani kama muujiza.
  11. USSR

    Mwana wa kiongozi wa Kiislamu wa Saudi Arabia aokoka na kumkili Yesu kuwa mwokozi

    MWANA WA KIONGOZI WA DINI YA KIISLAMU SAUDI ARABIA AMGEUKIA YESU KRISTO BAADA YA NDOTO YA AJABU: “NILIPOTEZA MENO 13 KWA SABABU YA KUMFUATA YESU!” Ahmed Joktan, raia wa Saudi Arabia aliyekuwa Muislamu mwenye msimamo mkubwa wa kidini, anasimulia ushuhuda wake wa kumwamini Yesu Kristo licha ya...
  12. R

    Shibe mwanaharamu, njaa mwana malegeza vyote anavyo

    Jalalani, ameshasahau alivyojidhalikisha kwenye uso wa dunia! Mjinga ndiye atamsikiliza
  13. R

    Ahadi za mwana TANU ( CCM): Kati ya hizi ni zipi CCM na viongozi wao wanazitekeleza?

    Ahadi za mwana TANU 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja 2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote 3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma 4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa 5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo changu wala cha...
  14. Eli Cohen

    US kuichukua Greenland ina maana sasa hivi US ana jilinda katika kila angle ya dunia inayomzunguka

    Akiwa alasska ana tazama west europe. Akiwa maina land ana mtazama south na central america na east asia. Akiwa green land anatazama east europe.
  15. Jidu La Mabambasi

    Mwana Filosofia maarufu alitabiri tunayoyona saaa.

    Wakati mwingine hatuna haja ya maelezo mengi. Historia ilisha tabiri.
  16. F

    Ibrahim ambokile wa EFM, ni mshabiki au mwana habari wa michezo mwenye mapenzi ya dhati na Yanga?

    Kuna huyu jamaa alikua pale abood fm na ss yuko EFM redio, jamaa akiwa ktk kipindi Chake anaikebehi sana simba na kusema kila kitu ni kibaya, kwani changamoto yake ni nini uyu mchambuzi?
  17. Eli Cohen

    Mwana JF nini maana ya financial freedom? Ni vitu gani vitakubana usiifikie na vitu gani vitafanya uifikie?

    Eyce Marcostilone life255 Hata uende wapi, ufanye nini na uamue uishi vp ujue kuwa pesa na urahisi wa maisha ndio inabaki kuwa motisha ya confidence, afya chanya ya akili na amani moyoni. Na ili ufike hali hii inabidi utoe kafara ya mambo lukuki maishani mwako especially tabia ulizoea hadi...
  18. Parabolic

    Joseph Mwasote: Kutekwa, kuteswa na kumpoteza mwana katika uchaguzi wa 2025

    Kwa takriban miaka 20, Joseph Mwasote amekuwa sehemu ya safari ya kisiasa ya CHADEMA, akipanda kutoka uongozi wa Kata ya Tunduma hadi kuwa mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya na baadaye kugombea ubunge wa Mbeya Vijijini mwaka 2020. Lakini uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kwa maelezo yake, uligeuza maisha...
  19. 4

    Mwachieni mwana wa Mungu, Lissu, viginevyo mtakufa midomo wazi - asema Bwana

    Habari wana wa Mungu jf popote mlipo, amani Bwana ikawe juu yenu. Mungu akanionesha yeyote aliye nyuma kuhujumu mwana wa Mungu Lissu sio muda atakufa mdomo wazi. Mwachieni mapema sana, viginevyo mtakufa vibaya sana. Asema Bwana na imekua Niwatakie majukumu mema na zingatia hili. Thanks
Back
Top Bottom