mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Hijja ya mwaka 2026 yaiingizia Saudia arabia zaidi ya dollar Bilioni 15

    Baada ya fedha zitokanazo na mafuta nchini saudi Arabia, utalii wa kidini (Hijja na Umra) ndiyo chanzo cha pili cha mapato kwa nchi hiyo. Mwaka huu pekee nchi hiyo imeingiza zaidi ya dollar za kimarekani bilioni 15 sawa na shilingi za kitanzania Trilioni 39.68. Saudia wanapanga kuongeza na...
  2. I

    KERO Nasumbuliwa kusoma Masters katika chuo cha UDSM tangu mwaka 2025

    Mimi ni Mtanzania ambaye niliomba kujiunga na programu ya uzamili (Master’s) katika Chuo cha COSS, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mwaka 2025, na nikapata nafasi ya kujiunga. Baadaye, nilielezwa kuwa wanafunzi waliochaguliwa katika programu hiyo walikuwa wachache, hivyo masomo yasingeweza...
  3. C

    PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  4. CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  5. M

    Matukio ya kujirudia rudia ya Majengo kuanguka mwaka 2026 Kenya, tatizo nini?

    Kuanguka kwa majengo nchini Kenya mwaka 2026, hadi lini tutapoteza maisha? Leo Tarehe 23 Oktoba 2026, macho ya Wakenya yanaelekezwa Eastleigh, Nairobi, baada ya jengo la ghorofa nyingi zaidi 10 lililokuwa kwenye ujenzi kuripotiwa kuanguka. Tukio hili linaibua Maswali, Je, usalama wa majengo...
  6. A

    KERO Naomba kufahamishwa iwapo HESLB wamebadili viwango vya boom kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo

    Habari, wana-JamiiForums. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu. Aidha, kiasi...
  7. Tafuta pesa / tutafute pesa ndio kauli hovyo zaidi mwaka huu.

    Hii Ni kauli ya hovyo, ya kijinga, ya kipumbavu na kifedhuli zaidi katika mwaka huu iliyojipatia umaarufu mkubwa zaidi nchini.
  8. Kuelekea Oktoba 29: Je, Umeshasahau Ulipokuwa na Ulichokuwa Unawaza Muda Kama Huu Mwaka Jana? (Uzi Maalumu wa Kumbukumbu)

    Ni ngumu kuamini kuwa tayari tunakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu nchi yetu ipitie moja ya vipindi vyake vigumu na vyenye taharuki kubwa katika historia ya hivi karibuni—matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Muda kama huu, wiki moja kabla ya tarehe 29 mwaka jana, anga la kisiasa na...
  9. Katika Dunia hii ukianza kujifurahisha, na kuacha kuwafurahishwa wengine unaonekana kama umerukwa na akili, mwaka 2010 niliitwa kichaa 😅

    Mwaka 2010, nilipata funzo kuwa ukiwa umenyooka kama rula unaoneka kichaa machoni pa watu. Yako mengi niliyafanya kuninufaisha pasipo kuingilia ya wengine. Kwa mfano, mwaka ule nilikuwa ninaweza kumtongoza mwanamke, akinikubalia nalala naye, nikisharidhika hata kama ni ndani ya dakika Moja...
  10. Je Tumuenzi Baba wa Taifa kwa Maneno au Matendo?. Mwaka 1976 Walikufa 4 Akakasirika Sana, Akasafisha!, October 29, 25 Wamekufa 518 Kuna Aliyekasirika?

    Wanabodi, Nilipata mwaliko wa ITV kuzungumzia Kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. https://www.youtube.com/live/BCed6WueJmM?si=pC7ZgWDyWKPHRKAp Karibu. Mzee Pasco
  11. Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni akalishwa chini licha ya kulipa nauli kamili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, kupitia operesheni za ukaguzi wa vyombo vya moto, limeendelea kuchukua hatua kuhakikisha usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara unazingatiwa. Katika operesheni hiyo, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi...
  12. U

    KERO Lecturer wa NIT ametutapeli Pesa za leseni wanafunzi zaidi ya 100 wa mwaka huu 2026

    Uongozi wa chuo cha NIT , na TRA na Jeshi la Polisi , tunaomba mtusaidie kupata haki yetu . Lecturer wa NIT ambaye anaitwa Manala T Mbumba, ametutapeli pesa za leseni zaidi ya Wanafunzi miamoja tuliokuwa tunahitimu mwaka huu na ambao tunaingia mwaka wa tatu. Alikuja chuoni kupitia kwa CR wa...
  13. U

    KERO Wanafunzi wa NIT tuliomaliza, tulitoa hela ya mafunzo ya udereva na leseni ila hakuna huduma tuliyopata

    Sisi ni wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ambao baadhi yetu tumehitimu mwaka 2026 na wengine tunaingia mwaka wa tatu. Tunatoa malalamiko kuhusu fedha tulizolipa kwa ajili ya mafunzo ya udereva na upatikanaji wa leseni, ambazo hadi sasa hatujapata huduma tulizolipia. Wakati...
  14. Huu mwaka 2026 ni kama umekwisha umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia?

    Zimebaki siku chache sana mwaka 2026 uishe je umefanya nini cha maana ukikitazama unajivunia na kufurahia? mimi binafsi plan zangu zimetimia kwa at least 30% #Welcome 2027
  15. Hii Ndio Mikoa 10 Tajiri na Maskini wa kipato Tanzania kwa mwaka 2025

    Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi. Mikoa yenye watu walio...
  16. Hili pepo la mwaka wa mbele

    Hili pepo nimeshindwa kabisa kuliclassify sijui linatokea ukoo upi? 😂
  17. A

    HOJA Takriban mwaka moja tangu treni ya SGR ipate ajali Ruvu, ila hakuna taarifa rasmi ya chanzo, harasa wala hatua zilizochukuliwa

    Oktoba 23, 2025, treni ya SGR ya mchongoko (EMU) iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ilipata ajali katika eneo la Ruvu. Jambo la kufurahisha ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha, ingawa ajali hiyo ilisababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu, ikiwemo reli na njia za umeme...
  18. Interview with Maxence Melo: The story of JamiiForums - history and operations of the platform

    Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi. Itakumbukwa kuwa Jumanne ya tarehe 14/08/2012 ilianzishwa hoja na Roulette na kukaribishwa maswali kwa ajili ya kumuhoji Maxence Melo...
  19. Q

    TMA: Hali ya El Nino inaweza kuendelea hadi mwaka 2027

    Hahaaa hii inaitwa force kingi hadi mtaelewa tu, nani kakaona kekundu, narudia tena ukiweka hapa na hapa unaliwa kekundu haka hapa. 😎😎😎😎 ============= Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, amesema hali ya El Niño inaweza kuendelea hadi mwanzoni mwa...
  20. E

    Mwaka jana nanenane watu waligawiwa gesi bure Leo gesi ilivyo panda ndio malipo ya gesi ya bure msishangae

    Watanganyika kama tutaendelea kukubali kutumiwa kila uchaguzi kwenye ujinga wa MaCCM basi yataendelea kubaki madarakani kwa mda mrefu. Tuyakatae maCCM na mambo yake yote na Hongo zake zote shetani CCM hana rafiki
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…