mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Waziri mkuu anatumia nguvu nyingi kuaminisha umma kuwa anafanya kazi ila mpaka sasa mwaka na zaidi nani kaona jambo kubwa amelifanya!?

    Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
  2. ndege JOHN

    Hizi ndizo wilaya kongwe za Tanganyika zilikuwepo kabla ya mwaka 1947

    Kwa mujibu wa ramani ya kihistoria ya Tanganyika ya Januari 1, 1947, mgawanyo wa kiutawala ulikuwa kama ifuatavyo: A. MAJIMBO YA KIUTAWALA (PROVINCES) Lake Province Western Province Central Province Northern Province Tanga Province Eastern Province Southern Highlands Province Southern Province...
  3. L

    Mtoto wa Museveni Atajiuzulu Ukuu wa Majeshi na Kisha Kuteuliwa Kuwa Makamu Wa RAIS Na Mwaka 2031 Atagombea Urais. Tumejiandaaje Kidiplomasia?

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapeni Tu Dondoo za Tetesi kutoka Viunga vya Ikulu ya Uganda Na katika Siasa za Uganda na Ndani ya Chama Tawala pamoja na Bunge kwa upande Mwingine na Jeshi kwa Upande Mwingine. Taarifa zinaeleza kuwa Mkuu wa Majeshi ya Uganda General Muhoozi Atateuliwa kuwa Makamu wa...
  4. Lycaon pictus

    Baada ya kupiga hesabu, inaonekana haiwezekani kufikia uchumi wa trilioni moja mwaka 2050

    Kafulila anaonekana ana maono na mtu anayefahamu takwimu vyema. Lakini uchumi wa trilioni moja anaotuhubiria kuwa tutafikia 2050 unaonekana hauwezekani kimahesabu. Uchumi wetu kwa sasa ni dola bilioni 96 GDP nominal. Nimeiuliza AI uchumi wetu unahitajika kukua kwa asilimia ngapi kwa mwaka ili...
  5. Yoda

    Mwaka Tembo ambao mtume Muhammad alizaliwa na kisa chake cha kusisimua sana.

    Hiki ni kisa kinachopatikana katika Quran Surah Al-Fil (Tembo)/ sura ya 105 Kulikuwa na Mvami anaitwa Abraha, mtawala au gavana Mkristo wa Yemen, alijenga kanisa kubwa huko Sana'a ili kugeuza Hajj na mahujaji wa Kiarabu mbali na Al-Kaaba. Mwarabu mmoja wa Mecca aliamua kulichafua kanisa hilo...
  6. leroy

    Imani 5 Potofu Kuhusu Pesa Zinazotugharimu Kila Mwaka (Tanzania na Kenya)

    https://youtu.be/WQkcglWsKeA Habari zenu Wana-JF. Kuna uchambuzi mzuri unaoelezea mambo ya fedha ambayo wengi wetu tunayaamini lakini kiuhalisia yanatutia hasara kila mwaka. Uchambuzi huu unatumia takwimu halisi za kiuchumi na viwango vya mfumuko wa bei kutoka Tanzania na Kenya. Hapa chini ni...
  7. Lycaon pictus

    Tanzania tunaagiza mavazi ya mtumba ya dola milioni 100. Sawa na Tsh 265 bilioni kwa mwaka. Tupige marufuku mavazi ya mtumba.

    Tupige marufuku mavazi ya mtumba. Pesa nyingi zinapotea kuyaagiza na fursa ya ajira kwa watanzania zinapotea. Watu hata wameacha kujifunza cherehani sababu ya mitumba kujaa. Watu huwa wanasema hatuwezi piga marufuku sababu hatuna viwanda vya nguo. Wanasahau kuwa si rahisi kuwa na viwanda vya...
  8. Teslarati

    Tuseme ukweli, maisha ya mtanzania wa hali ya kawaida yamekua magumu sana kiuchumi kwa mwaka huu 2026

    Bila kupepesa macho tuseme ukweli. Hali imekua mbaya sana kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida ukiachana na baadhi wachache waliopo kwenye mifereji ya pesa kwa mwaka huu 2026 Kwa ground hali sio poa kabisa. Ndugu na jamaa wa karibu hadi kuna mda nawahurumia juu ya vilio kuwa vingi, haina jinsi...
  9. keneddelly

    Ni takribani mwaka mzima tunaandaa mtandao wa Kibiashara wa KenteXa. Leo tumeachia App yake ya kwanza ya Android

    Ni Jambo la pongezi kwangu na timu yangu , kufanikiwa kupandisha Application ya kwanza ya android kwenye jukwaa la Play store. Hizi hapa ni baadhi ya changamoto tumejaribu kuzitatua kupitia mfumo wetu wa kisasa wa KenteXa. Kwa mara ya kwanza Tanzania , tumetatua changamoto ya kutengeneza...
  10. Roving Journalist

    JKCI yafafanuzi kuhusu Utoaji wa Tuzo za Uandishi wa Insha za Wanafunzi za Mwaka 2025

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi rasmi kwa umma, washiriki, wazazi na walezi kufuatia maswali na sintofahamu iliyojitokeza kuhusu utoaji wa tuzo kwa washindi wa Shindano la Uandishi wa Insha la Mwaka 2025. Hoja ya awali ~ JKCI zile tuzo kwa Wanafunzi Bora...
  11. Parabolic

    Tatu Senkondo: Mwaka mmoja umepita bila kumwona mume wangu aliyechukuliwa na watu wasiojulikana

    Deogratius Mushi *** Ukiwa umepita mwaka mmoja tangu zilipotokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tatu Senkondo, mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam, anaishi katika maumivu na sintofahamu kufuatia kutoweka kwa mumewe, Deogratius Mushi, aliyedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana...
  12. Zack Abdul

    Mwaka wa fursa kwa Vijana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hataki utani vijana mshindwe wenyewe,Fursa kibao,Haya changamkieni na Mwisho wa maombi 18/11

  13. mcTobby

    Mgombea wa Urais nchini Ukraine aliponusurika kuuawa kwa sumu mwaka 2004

    Huyu ni mgombea urais wa Ukraine, Viktor Yushchenko, ambaye sura yake ilibadilika sana baada ya kupewa sumu mwaka 2004, alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi. Yushchenko alipanga kukutana na Igor Smeshka na Volodymyr Satsyuk, ambao walikuwa mkuu na naibu mkuu wa Shirika la Usalama la Ukraine, ili...
  14. U

    Picha mbalimbali za Mchungaji Mwandamizi wa Kisabato aliyehukumiwa jela miaka 10 kwa kushiriki mauaji ya kimbari ya Rwanda kuachiliwa mwaka 2006

    Elizaphan Ntakirutimana Elizaphan Ntakirutimana (Mchungaji mwandamizi wa zamani wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Rwanda): Alihukumiwa kifungo cha miaka 10 jela mwezi Februari 2003 na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ajili ya Rwanda (ICTR) kwa kosa la kusaidia na kuwezesha mauaji ya kimbari...
  15. A

    HOJA JKCI zile tuzo kwa Wanafunzi Bora mlizoahidi 2025 zimefikia wapi? Kama imeshindikana tujulisheni

    Mimi ni mmoja wa wahusika wanaosubiri Tuzo za Wanafunzi Bora katika uandishi wa insha zilizoandaliwa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mwaka 2025. Kwa mujibu wa taarifa yao, washindi walitakiwa kuwasili Dar es Salaam tarehe 4 Desemba 2025 kwa ajili ya kupokea tuzo hizo. Baada ya muda...
  16. L

    Lissu Akikata Rufaa Kesi Yake Itaanza Kusikilizwa 2027 Huko Kwa sababu kwa Sasa Muda Siyo Mrefu Majaji Wataanza kwenda Likizo Ya Mwisho wa Mwaka

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwatahadharisha CHADEMA na Lissu wao kuwa kama na ikiwa watajaribu Kukata Rufaa basi watakuwa wanajisumbua na kujipotezea Muda tu . Kwa Sababu kwa Sasa Muda Siyo Mrefu Majaji Wataanza kwenda Likizo Ya Mwisho wa Mwaka ambapo kurejea kwao ni kuanzia 2027 mbele...
  17. leroy

    Mkopo wa riba ya 10% "flat" kwa kweli ni takriban 18% kwa mwaka. Hesabu yake hii hapa

    https://youtu.be/MGQpSnlHZJU Unakopa TSh milioni 10, halafu unarejesha karibu milioni 19.4? Huu ni mfano wa mkopo wa miaka mitano, wenye riba ya 30% kwa mwaka (nominal), inayokokotolewa kwa salio linalopungua. Ukiulipa kwa awamu 60 sawa za kila mwezi, riba pekee ni karibu TSh milioni 9.4, bila...
  18. C

    Jamaa uliyemchukua binti wa watu stend dar mwaka jana na gari ukamwambia unampeleka kwako ukaishia kumpeleka lodge ukala kimasihara sasa na mtoto

    Mtoto wa kiume wa miez 8 anahangaika sana hata hela ya matibabu ya mtoto ni shida, binti amejikatia tamaa ya maisha anaishia kulalamika umemharibia maisha
  19. Registered_jf

    Kifo cha Herode mwaka AD 44

    Simulizi la kifo chake kutoka kwenye Biblia na kutoka kwa mwanahistoria Josephus. 1) Matendo 12 inatusimulia kuwa Herode Agripa aliwatesa wakristo, alivyoona wayahudi wamefurahia hilo akaanza kumuwinda kumuua Petro. Petro akakamatwa akafungwa gerezani akisubiri kuuawa siku ya Pasaka. Usiku...
  20. Desierto

    Lisu hatamaliza mwaka akiwa gerezani kuanzia leo hii anavopelekwa gerezani

    Namaanisha tarehe 6 ya mwezi wa 9 2027 haitamkuta akiwa ndani ya jela
Back
Top Bottom