mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako..

  2. O

    “Kenya Yazama Kwenye Ufisadi?” Benki ya Dunia Yafichua Upotevu wa KSh370 Bilioni Kila Mwaka

    Benki ya Dunia (World Bank) imeitaja Kenya kuwa miongoni mwa nchi zenye viwango vya juu vya ufisadi katika kundi la mataifa yenye kipato cha chini cha kati, ikionya kuwa rushwa, mikataba ya serikali yenye utata na usimamizi mbovu wa fedha za umma vinaendelea kuathiri uchumi wa taifa. Katika...
  3. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako 🇹🇿

  4. L

    Mwaka Mmoja madarakani Wa Rais Samia umekuwa wenye Matumaini Tabasamu Furaha na Mwanga Mpya kwa Taifa letu . Hakuna Aliyeachwa Nyuma

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio . Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
  5. M

    Ni mwaka wa tatu na majukumu yamemzidi bado karidhika na mshahara ule ule! Chunguza vizuri kashaudukua mfumo wa biashara yako

    Na ndio sababu kubwa huwa inawafanya wafanyakazi wengi madukani ama kwenye makampuni kuacha kazi wakishaona bosi anaweka mifumo ya kubana mianya
  6. S

    Mwaka 1979 Jerry Rawlings alifanywa kiongozi wa Ghana akisubiri kunyongwa kwa kuhukumiwa kifo kesi ya uhaini kisha wanajeshi vyeo vya chini wakamuokoa

    Jerry Rawlings; Kutoka kuhukumiwa kifo kwa uhaini hadi kuwa raisi wa Ghana Mapema mwaka 1979 Jerry Rawlings, akiwa pilot katika jeshi la Ghana mwenye cheo cha luteni, aliongoza uasi dhidi ya serikali ya raisi wa Ghana Fred Akuffo ambae aliona serikali yake imejaa ufisadi, rushwa, wizi na...
  7. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako

  8. Serikali ya CCM ilijua kwamba El Nino ya mwaka huu ni ya joto, kwanini walipunguza muda wa watoto kuwepo mashuleni na kuamuru warudi nyumbani fast?

    Serikali ilijua hamna mvua ila kuna joto, kwanini waliamuru watoto warudishwe nyumbani mapema? Kwanini waliamuru nyumba zibomolewa mabondeni na watu wahame? Hizo bil 739 zinazuiaje joto?
  9. N

    Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025..!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025. Diplomacy should always be given a chance before the first bullet is shot. "MILITARY ACTION" must only be a decision of last...
  10. M

    Hakuna jeshi jirani litakalowaweza watutsi kufikia 2050, Tukio la mwaka jana kuwazidi mbinu Jwtz na majeshi mengine limeonyesha walivyozidi kuimarika.

    Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi. Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
  11. Pesa feki kuomgezeka kipindi cha mwisho wa mwaka.

    Naomba niipmbe serikali ichukue hatua madhubuti juu ya kuonbezeka kwa pesa feki kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa mwaka, sijui changamoto ni nini lakini naamini serikali yangu madhubuti italitendea kazi.
  12. Nafikiri huu ni mwaka ambao visa na visasi vya issues za kimapenzi vimetia doa kubwa katika jamii. What is next tena baada ya hili tukio la arusha?

  13. K

    Kuna watu wanauliza swali kwanini wale wapemba waliouliwa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 Wakatholiki hawa kuwaombea ,Hii inaitwaje

    Yaani katholiki Sasa limekuwa ni dude kubwa kweli kila baya litapakaziwa. Ila niwaambie hamliwezi Just imagine muislamu na machawa wenye chuki na wakatholiki Leo wanahoji Kwa nini hawakuwaombea waliouwawa wakati wa uchaguzi Mkuu WA mwaka 2000 kule pemba. Au mauaji ya mwembe chai. Je waislamu...
  14. PostGE2025 Mwaka mmoja baada ya doa la Oktoba 29: Je,Taifa linaelekea kwenye suluhu?

    Mwaka mmoja baada ya Oktoba 29, Tanzania imepiga hatua gani kutoka katika kutambua yaliyotokea hadi kuweka wazi ukweli, kuwawajibisha wahusika na kutoa haki kwa walioathirika? Ni takribani mwaka mmoja tangu Tanzania ikumbwe na doa kubwa katika historia yake kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29...
  15. PostGE2025 Kanisa Katoliki kila Jumapili tunaombea marehemu wote, ila wa Oktoba 29, 2025 tuna maombi maalumu maana waliuawa kikatili

    Siku ya kumwombea Nyerere hufanyika kila mwaka, misa ya Mkapa hivyo hivyo, misa ya wafu wote waliotangulia mbele ya haki sisi uwa tunaiadhimisha tu. Tofauti ya marehemu wengine na hawa wa Oktoba 29, 2025 tunawaombea ibada maalumu kwa maana hawa waliuawa na wahuni, wezi wa kura, majizi wa...
  16. Je Mauaji ya Oktoba 29 sasa kuadhimishwa Kila mwaka?

    Watanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29. Kwa kweli watanzania wameshindwa kusahau na kumove on. Ni mwaka sasa Serikali hii ya CCM ikijitahidi kumaliza mkwamo huu lakini naona...
  17. Mashirika ya utangazaji DW na BBC mtuletee pia kumbukumbu ya mauaji aliyofanya Hitler huko Ujerumani kila mwaka

    DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida. DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile...
  18. PostGE2025 Mwaka sasa umetimia vipi kiongozi wetu unajisikiaje huko?

    Habari ndugu zangu, ni mwaka sasa toka ndugu na jamaa zetu watangulie mbele za haki baada ya matukio ambayo hayakuwa ya kiungwana yaliyotokea baada ya uchaguzi. Poleni kwa ambao mali zenu ziliharibiwa,Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi mpate mara saba zaidi kama ambavyo ilikuwa kwa mtumishi wake...
  19. Anguko la CCM mwaka 2060 litasababishwa na kukosa maono! too late?

    Mwaka 2060 ni miaka 100 ya CCM kiutawala (karne). Adui halisi wa CCM sio CHADEMA, adui halisi wa CCM ni deni la taifa (uchumi) CHADEMA inaipumbaza CCM na CCM hailioni deni la taifa na, kila mwana CCM anataka cheo . uchumi utaiadhibu CCM. Tanzania inaishi kwa kukopa nje ya nchi (bajeti) tangu...
  20. Hijja ya mwaka 2026 yaiingizia Saudia arabia zaidi ya dollar Bilioni 15

    Baada ya fedha zitokanazo na mafuta nchini saudi Arabia, utalii wa kidini (Hijja na Umra) ndiyo chanzo cha pili cha mapato kwa nchi hiyo. Mwaka huu pekee nchi hiyo imeingiza zaidi ya dollar za kimarekani bilioni 15 sawa na shilingi za kitanzania Trilioni 39.68. Saudia wanapanga kuongeza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…