Huyu ni mgombea urais wa Ukraine, Viktor Yushchenko, ambaye sura yake ilibadilika sana baada ya kupewa sumu mwaka 2004, alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi.
Yushchenko alipanga kukutana na Igor Smeshka na Volodymyr Satsyuk, ambao walikuwa mkuu na naibu mkuu wa Shirika la Usalama la Ukraine, ili...