"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Good morning people,
Zikiwa zimebaki siku 33 mwaka uishe, so far kwako mwaka huu unaupa asilimia ngapi kwa kila kitu?
Mimi 30%
I cried alot this year kuliko miaka yote ninayoikumbuka
Am hoping for better days huko mbeleni
Uzi bado
Mwanamke ambae amenipa right challenge kwa mwaka huu, ni Lamomy , sio challenge tu huyo mwamba kanionyesha njia mimi kama mwanaume kamili .
Hivyo kwa mwaka huu huyo ndio malkia wangu wangu wa nguvu jf na kwenye maisha ya kuwajua wanawake 😅😅😅😅🥰
Anza na namba moja tu inayoshangaza: Kwa takwimu za Benki ya Dunia (kwa bei thabiti za 2010), mwaka 1991 pato la mtu mmoja nchini Burundi lilikuwa Dola 384. Mwaka 2024, miaka 33 baadaye, pato hilo ni Dola 269—chini kwa 30% kuliko mwaka 1991, na juu kwa asilimia 6% tu tangu mwaka 1960 ($252)...
Kichwa hapo juu chahusika.
Ninatamani majina yaleyale yasijirudie. Tunataka watoa post wazuri hasa wale chipukizi kwa mwaka 2026.
Usitaje Robert Heriel
Usitaje Mshana Jr
Usitaje Pascal Mayalla
Usitaje Mad Max
Usitaji Gentamycine AKA Popoma.
Usitaje Malcom Lumumba
Usitaje Kiranga
Taja majina...
Mwaka 1980, Dola 1 ya Zimbabwe ilikuwa na thamani kubwa kuliko Dola ya Marekani (takriban $1.50). Lakini ndani ya miongo michache, Zimbabwe iliandika historia ya mfumuko wa bei wa pili kwa ukubwa duniani (baada ya Hungary mwaka 1946):
Novemba 2008: Bei za bidhaa zilikadiriwa kuongezeka mara...
Siwezi kuwataja kwa majina nawaheshimu na kuwapenda sana. Huwa wanachungulia chadema wanarudi speed Nyumbani (CCM) ili kulinda utu, heshima na haiba zao, na wakisharudi Nyumbani (CCM) huwa hawataki kabisa kusikia UTAPELI wa viongozi wa chadema.
Juzi hapa kijijini Kuna Mzee kamshitaki mtu Baraza...
Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2022 (GN. No. 444) zimejaa vipengele vingi vinavyogusa moja kwa moja haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali, ajira, na uhuru wa habari/mawasiliano.
1. Haki ya Mwananchi Kupata Huduma Bora na Kufichua Ukiukwaji wa Maadili
Wananchi wengi hawajui kuwa Kanuni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa, inayotarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
Lengo la Tume hiyo ni kuimarisha umoja wa Taifa na kuweka msingi wa mchakato wa mabadiliko ya Katiba...
Wanabodi,
Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania.
Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi?
Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM?
Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
ccm
chama
chama kimoja
fikirishi
hapo
hii
inahitaji
kati
katiba
katiba mpya
katiba ya ccm
marekebisho
marekebisho ya katiba
mpya
mwaka
sio
swali
swali fikirishi
tanzania
vingi
vyama
vyama vingi
wananchi
watanzania
Lengo la kuandika simulizi hii
Ninaandika simulizi hii kwa sababu kuna jambo lililotokea kwenye maisha yangu kati ya mwaka 2022 na 2023 ambalo, licha ya kupita kwa miaka kadhaa, bado linanijia akilini. Kuna wakati namfikiria yule mwanamke na mtoto. Nimekuwa na hamu ya kumwona mtoto huyo, kujua...
Makadirio ya Kituo cha Utafiti cha Pew yanaonyesha kuwa kutakuwa na Waislamu bilioni 2.57 na Wakristo bilioni 2.52 ifikapo mwaka 2035. Watafiti wanasema tofauti katika viwango vya uzazi zinachangia mabadiliko hayo.
Uislamu na Ukristo vinaongezeka kwa ukubwa, lakini idadi ya Waislamu inaongezeka...
Mustakabali wa Idadi ya Waislamu Duniani
Kati ya mwaka 2020 na 2070, idadi ya Waislamu duniani inatarajiwa kuongezeka zaidi kuliko makundi mengine yote ya kidini kwa pamoja
Barua
Tuongeze Kwenye Google
KwaConrad Hackett,Marcin Stonawski,Yunping Tong,Stephanie Kramer,Rebecca LeppertnaJeff...
Serikali ya Kenya imezindua mkakati mpya wa kitaifa wa kukabiliana na biashara haramu ambazo zinakadiriwa kusababisha hasara ya takribani KSh bilioni 826 kila mwaka, kiasi kinachowakilisha karibu asilimia 9.3 ya Pato la Taifa (GDP).
Wizara ya Biashara ilisema kuwa biashara hizo haramu...
Malengo ya kifedha yanahitaji nidhamu ya matumizi ya fedha na kupanga matumizi ya kila shilingi. Ili kufanya hivyo katika dunia ya sasa unahitaji zana za kisasa. Infinity Pesa Tracker ni application inayokuwezesha kufuatilia matumizi ya kila shilingi yako, kuweka malengo na kufuatilia hayo...
Mikopo ya mtandaoni kupitia simu (Loan Apps) imekuwa mkombozi wa haraka nyakati za dharura, lakini pia imekuwa kitanzi kinachonasa wengi kwenye mzunguko wa madeni usioisha. Uchambuzi mpya wa kiuchumi kutoka East Africa Economics umechimba kwa kina jinsi gharama za mikopo hii zinavyofanya kazi...
Rais wa Venezuela, Rómulo Betancourt, alinusurika jaribio la kuuawa kwa bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari mnamo Juni 1960.
Betancourt alikuwa rais ni mwenye msimamo wa mrengo wa kushoto. Hata hivyo, alipingwa na makundi ya mrengo wa kulia pamoja na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo...
Baada ya kupambana nashida ya Maji kwa kipindi kirefu katika Kijiji changu X ndani ya Mkoa wa Moro.
Nilichimba kisima binafsi baada ya maji ya Serikali kutokidhi mahitaji kwa upatikanaji.
Basi Sasa napewa Semina kuwa natakiwa kulipa Kodi kila mwaka 50k.
Sa nawaza Mengi.
Vipi wewe hali huko...