mtu

  1. Nyankurungu2020

    Tuumize ubongo wetu kutafakari kwa kina: Je, waliomuua Alphonce Mawazo hawakutumwa na mtu?

    Leo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau. Story kubwa ni kijana ambae alikuwa mjasiri na mpambanaji. Ambae alipoteza uhai wake kwa sababu ya siasa za kinafiki za Afrika...
  2. mzee wa kasumba

    Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

    Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha. Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira yaliyotuzunguka unaweza ukajikuta umeangukia katika mikono hiyo ambayo sio salama hata kidogo...
  3. Its Pancho

    Yanga ipo miguuni mwa mtu huyu mmoja

    Yanga kwa sasa inaweza kukupa burudani ambayo hata mpenzi wako hawezi kukupa, inafurahisha eeh? Wana umoja, hawakati tamaa kizembe, spirit ya kufight. Na safu nzuri ya ulinzi. Wanapewa sifa wengi lakini wanamsahau bwana mdogo mmoja. Well, utaona tu yanga wanapopata goli, kocha kaze anamuita...
  4. C

    Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo

    Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo au hana uzoefu lakini akionyeshwa fursa anaweza kuchakarika kuigeuza bidhaa kuwa fedha. anaweza kuwa na elimu ya kidato cha Nne, Sita, cheti au stashahada kwenye masoko. aliye tayari kujituma na kukabidhiwa biashara ili apambane. Uaminifu unatakiwa kwa...
  5. E

    Hakuna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento (Pele)

    Mods tafadhali msiunganishe uzi huu na mwingine wa kuhusu PELE` Jamani hamna wa kulinganishwa na Pele` wa Brazil. Hamna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento(PELE). Pele wa Brazil ndiyo mchezaji wa mpira wa miguu wa hali ya juu zaidi kuwahi kutokea duniani mpaka sasa, mimi hapa mwenye uzi...
  6. Chizi Maarifa

    Mikasa ya Dunia: Mtu asiye na Kivuli, anayeweza kuwa sehemu mbili kwa wakati Mmoja

    Ni siku ya Pili sasa nipo Tanga na hapa leo nimekutana na jambo la kushangaza sana. Nikiwa nmepark gari wanaosha nikaona ni vyema nikae sehemu nipate Dafu pia na kubadilishana mawili matatu na wenyeki kwenye Bench wakicheza Draft. Hii dunia imejaa visa,mikasa,vioja na maajabau yake.kuna mambo...
  7. covid 19

    Sina kazi na nahitaji pesa km kuna mtu ana kazi/kibarua cha muda na anahitaji usaidizi au mtu wa kufanya tafadhali nipo hapa

    Kama kichwa cha habari hapo juu mm ni me umri ni late 20s, nipo dar es salaam kwa sasa elimu ni shahada ya maendeleo ya watu na ninafamilia kwa mwenye kazi ninamudu kazi mbalimbali za kutumia nguvu na za akili pia nahitaji nipo teyari kuifanya kazi yako vizuri. Kwa mwenye kazi au connection...
  8. AbuuMaryam

    Nimesomea masuala ya Utalii na Hospitality naomba kazi, nipo tayari kujitolea ili kupimwa uwezo wangu

    Habari, Tafadhali ninakuja kwenu, ni mhitimu wa hivi karibuni wa Shahada ya BCom. Tourism and Hospitality Management ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Sina uzoefu popote unaoweza kuonekana ila ni mchapakazi mbunifu na mwenye uwezo mkubwa wa kujifunza mambo mapya kwa haraka. Ninaweza...
  9. Chukwu emeka

    Msaada: Naweza kupata wapi vifaa vya mazoezi kwa mtu aliyekuwa amepalarise kwa DSM

    Habari Jf Doctor, Nina Baba yangu wa hiyari,alipata stroke ya upande wa kulia kwa bahati nzuri alitibiwa pale Moi na kurudisha fahamu vizuri kabisa na hatimaye kuruhusiwa kutoka hospital. Alikuwa akifanya mazoezi kwa siku 3 per week hapo njia panda ya kwa mzee wa Upako kuna kidispensary cha...
  10. Nafaka

    Mfahamu mtu asiyejuikana (The man with no identity)

    Huyu jamaa kwenye picha amekuwa akishikiliwa kwenye gereza lenye ulinzi mkali huko Ontario, Canada. Huyu jamaa alikamatwa huko Toronto mwaka 2013 kwa tuhuma za kutapeli kiasi cha dola laki nne. Jamaa alidai kwamba jina lake ni Herman Emmanuel Fankem, raia wa Ufaransa anayeishi Montreal. Hata...
  11. J

    Je, Sheria inasema nini kuhusu ardhi ya mtu binafsi kutumika kwa ajili ya manufaa ya Umma?

    Sheria ya Utwaaji wa Ardhi ( Land Acquisition Act Cap. 118 R.E. 2002 katika kifungu chake cha 3 imempa nguvu na madaraka Rais ya kuchukua ardhi inayomilikiwa na mtu binafsi kwa ajili ya manufaa ya umma. Rais anaweza kufanya hivi endapo tu ataona au watu wanataka ardhi hiyo kwa ajili ya...
  12. jitombashisho

    'Mnoko' ni mtu wa aina gani hasa-naomba nieleweshe

    Kwakweli tuhuma za unoko ni mtambuka mahali pengi katika mazingira tuishiyo. Tuhuma kama ooh yule mnoko wa boss ama vinginevyo ni sehemu ya kauli tuziishizo hasa katika maeneo yetu ya kazi. Ajabu ukiwa na msimamo fulani wa kutokukubaliana na wengine tuhuma ya unoko itakuhusu! Wenzako...
  13. U

    Mtu mmoja afariki na wengine wapo mahututi baada ya kula mzoga wa nguruwe pori

    Katavi. Katarina Zebedayo (38) mkazi wa kijiji cha Kabanga Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika amefariki dunia huku watu wengine wanane wakilazwa baada ya kula nyama ya mzoga wa nguruwe pori. Akizungumza leo Jumamosi Desemba 12, 2020 kamanda wa polisi Mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga amesema...
  14. J

    Freeman Mbowe anatosha kuwa Waziri wa viwanda na biashara, ni mtu wa mikakati anayejua mahitaji ya soko kwa wakati!

    Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe. Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana". Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo hayana vyama!
  15. Pdidy

    Mwizi maarufu wa Kawe/Mbezi Beach 'Minyembe' auawa na Wananchi

    Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema Kama...
  16. J

    Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

    Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali. Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana. Maendeleo hayana vyama!
  17. Barbarosa

    Hakuna mtu wa England anayejishughulisha na Scotland

    Muungano wa JMTZ ni copy & paste ya Muungano wa nchi ya Uingereza ambapo England ndo nchi kubwa, lkn huwezi kukuta hata siku moja mtu wa England akijishughulisha na mambo ya Scotland au sijui Ireland, watu wa huko Scotland ndiyo wanaohangaika kudai haki zao kutoka England, lkn hapa kwetu ni...
  18. Extrovert

    Hivi ukimsaidia mtu ni lazima uchukulie ujiko?

    Kuna tabia flani ntaaita ya kishwaini ambayo tunayo wabongo hasa wenye sijui ni ushamba au, mtu kakuomba assistance katika jambo lake flani au kakwama hivi... Unampa shavu halafu baadae huko ni mwendo wa kujisifia tu kwa watu. "David amepata kazi bana ila bila mie kufanya mambo pale Airtel...
  19. Carleen

    Ulijisikiaje ulipopata nafasi ya kusaidia mtu na hukufanya hivyo

    Habari wapendwa, Ilikuwa mida ya jioni narudi zangu nyumbani kutoka mihangaikoni, Ile sasa ndiyo tumefika Makumbusho, nikawa nataka kushuka ili nipande daladala nyingine inayoelekea huko duniani kwetu. Bahati mbaya gari niliyokuwepo ilikuwa inaelekea Goba, sasa lile fujo lake kwa wanaogombania...
  20. mama D

    Aliyekufa na kuzikwa zaidi ya miaka 20 iliyopita apatikana ila hawezi kuongea

    Nimekutana na hii habari. Mimi bado nina maswali mengi ===== Kijana aliyefariki tangu mwaka 1994 amepatikana na kukukutana tena na familia yake Mama yake amemtambua na kujiridhisha kuwa ni mwanaye baada ya kutambua baadhi ya maeneo ya mwili wake Kijana huyo hana uwezo wa kuzungumza kwa sasa...
Back
Top Bottom