mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comrade_kipepe

    Kabla hujaanza biashara kwa kushawishiwa na watu wa mtandaoni tambua hili

    Kabla hujaingia kwenye biashara kwa kushawishiwa au kupenda jinsi wafanyabiasha mtandaoni wanavyoishi maisha mazuri tambua hili 👇 WENGI WAO HAWAISHI KWA BIASHARA UNAYOIONA KWA MACHO, BIASHARA UNAYOIONA INAKUA KAMA OMO ILI MAMBO MENGINE YAENDE
  2. Waufukweni

    TCRA: Majaribio ya ulaghai Mtandaoni yaongezeka, yafikia 7,907, Yas waongoza

    Ripoti ya Hali ya Sekta ya Mawasiliano ya Robo Mwaka Inayoishia Septemba 2026 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonesha kuwa majaribio ya ulaghai mtandaoni nchini yameongezeka kwa asilimia 7.81 na kufikia 7,907, kutoka majaribio 7,334 yaliyoripotiwa katika robo mwaka iliyoishia Juni...
  3. leroy

    Ukweli Mchungu Kuhusu Mikopo ya Mtandaoni (Loan Apps) - Riba ya 10% Inawezaje Kuwa 120% kwa Mwaka?

    Mikopo ya mtandaoni kupitia simu (Loan Apps) imekuwa mkombozi wa haraka nyakati za dharura, lakini pia imekuwa kitanzi kinachonasa wengi kwenye mzunguko wa madeni usioisha. Uchambuzi mpya wa kiuchumi kutoka East Africa Economics umechimba kwa kina jinsi gharama za mikopo hii zinavyofanya kazi...
  4. tovuti website

    Vichekesho vya Meta Business AI..-META AI inaweza kukutonngozea Mtu bila wewe kujua.Tuwe Makini Mtandaoni.

    Habari za wakati huu; Mimi ni mdau wa technolojia na mara zote huwa nafanya majaribio kwa lengo la kujifunza zaidi na kuhakikisha ninaenda na wakati.Kwa sasa hivi nimewekeza nguvu na muda zaidi katika kujifunza utumizi wa AI katika shughuli zangu.Andiko hili ni Tangazo lakini Simulizi...
  5. R

    Jaji Mkuu, Mh Masaju, kwanini hukumu ya Tundu Lisu haiko mtandaoni, TANZLII? Mnaficha nini?

    1. Means mnajua ukora mlioufanya,.mnaficha aibu yenu 2. Mnajua ile siyo hukumu, ni hotuba ya Ndunguru 3. Mnajua dunia inataka kuisoma maana AI will translate it in all languages 4. .....ongeza
  6. Tochuku

    Operesheni ya Interpol: Zaidi ya Bilioni 280 za kitanzania, za uhalifu wa mtandaoni zanaswa Afrika, washukiwa 1,462 mbaroni, Tanzania imo.

    Shirika la Kimataifa la Polisi wa Jinai (Interpol) limesema kuwa operesheni yake ya hivi karibuni barani Afrika imesababisha kukamatwa kwa watu 1,462 na kupatikana kwa zaidi ya dola milioni 105 za Kimarekani za fedha haramu. Operesheni hio iliyofanywa katika nchi 21, ililenga utapeli wa...
  7. C

    Picha za Kim Jong Un zatolewa kufuatia tetesi za kifo chake kusambaa mtandaoni

    Serikali ya Korea Kaskazini imechapisha picha, zenye kumuonesha wa kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong-un akikagua duka la viatu na nguo za watoto nchini humo, siku chache baada ya kudaiwa kuwa alikuwa kwenye ‘coma’, baada ya ubongo wake kuvuja damu. Shirika la habari la Korea Kaskazini, Korean...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Waziri Makonda umekataa kutupa hela waandishi wa mtandaoni kwani sisi sio Content Creators?

    WAZIRI MAKONDA UMEKATAA KUTUPA HELA WAANDISHI WA MTANDAONI KWANI SISI SIO CONTENT CREATORS? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Juzi tulionana pale kwenye Final ya Pongwe Cup, Upanga, ukiwa kama Mgeni Rasmi. Sikupata nafasi ya kukujulisha hili kutokana na hali iliyokuwepo. Hii ni mara ya pili...
  9. tucker carlson

    Makosa ya Uonevu na Unyanyasaji Mtandaoni yapungua kwa 41.3% nchini (2022–2025)

    Takwimu mpya kutoka NBS zinaonyesha kuwepo kwa mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya unyanyasaji mtandaoni, ambapo matukio yaliyoripotiliwa yameshuka kwa asilimia 41.3 kati ya mwaka 2022 na 2025. Kwa mujibu wa takwimu hizo kuhusu "Uonevu wa Mtandaoni: Mwenendo wa 2022–2025", wastani wa...
  10. Kaka yake shetani

    Marekani Yatoa Zawadi ya Hadi Dola Milioni 10 kwa Taarifa za Mshukiwa wa Ujasusi wa Mtandaoni.

    Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Department of State) kupitia mpango wa Rewards for Justice imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 za Marekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kumpata Zhang Yu. Zhang Yu anatuhumiwa kufanya kazi kwa niaba ya Wizara ya Usalama wa Taifa ya...
  11. M

    Fundi simu aliuza taarifa za ndugu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha

    Fundi simu aliuza taarifa za ndungu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha. Alipeleka simu kwa fundi, alipoanza kuirekebisha akapata dharura akamuaga kuwa atarejea baadae, ila akasema inabidi atoe nywila kwani atahitaji kuifanyia majaribio. Mara baada ya kutoka huku...
  12. Roving Journalist

    TRA yatoa maelekezo ya Wafanyabiashara wa Mtandaoni kuonesha Vyeti vya Kodi

    KUONESHA VYETI VYA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYABIASHARA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII Dar es Salaam 01 Oktoba, 2026 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawafahamisha wafanyabiashara na umma kwa ujumla kuwa mtu anayejihusisha na shughuli za kiuchumi zinazompatia kipato, ikiwemo biashara...
  13. Dennis Robert Shughuru

    Kwenye ishu ya jezi za Taifa stars kwa ilipofikia busara itumike kuliko kutupiana maneno mtandaoni

    Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu ya taifa mambo ya alishindaje tender hayana uzito sana sababu mkataba aliopewa ni halali Mimi...
  14. S

    Una mshikaji wako ambaye nusura aingizwe chaka na 'fursa' za mtandaoni?

    Wakuu Kuna huyo jamaa yangu yeye huwa anapenda kitonga '😂kuna siku akatumiwa link na mtu huko Whatsapp akiambiwa akitaka kupata bando abovye hiyo link kilichofuata hapo ni huzuni akaunti zake zikadukuliwa. Kwa sasa zile akaunti zake za mitandao ya kijamii ikiwemo facebook zinanitumia text...
  15. Roving Journalist

    RESOLVED NACTVET: Tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa, tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa na kwa sasa huduma zote zimerejea kama kawaida.Baraza linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza...
  16. Jannatul Firdaus

    Aliyekuwa mke wa MC Pilipili, aibua gumzo Mtandaoni baada ya kuonekana na Ujauzito

    Aliyekuwa mke wa mchekeshaji maarufu Emmanuel Mathias (MC Pilipili), Nicole Florence 'Qute Mena', amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa na ujauzito wa siku nyingi. Gumzo hilo limeanza rasmi hivi karibuni kufuatia mrembo huyo kuchapisha mfululizo wa picha na...
  17. sinza pazuri

    Dear Mange na wanaharakati wengine wa mtandaoni

    Kwanza kabisa, heshima kwa kazi mnayofanya. Kiukweli mmeziba gap kubwa sana kwenye mapambano dhidi ya dhulma, ufisadi, uonevu, uchawa, watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa. Zamani sehemu kubwa ya kazi hii ilikuwa inafanywa na wanasiasa. Wakati nafasi ya kufanya siasa ilipobanwa, wanaharakati wa...
  18. R

    Meta AI inavyokusanya taarifa zako binafsi Mtandaoni

    Mama mmoja, kwa jina la Kalie Robins, ameibua wasiwasi kuhusu namna tool ya Meta AI inavyoweza kutumia taarifa zilizowahi kuchapishwa mtandaoni kukusanya na kuhusisha taarifa binafsi. Kwenye video hii Robins anasema alichapisha video iliyokuwa ikimuonyesha yeye na binti yake wakiimba ndani ya...
  19. Tumbili in town

    Nawezaje kupata mkopo wa haraka mtandaoni

    Niaje, kwa wazoefu nawezaje kupata mkopo kwa haraka mtandaoni kwenye application
  20. britanicca

    Agizo la Siri kwa Uhamiaji, wapewa amri kila MTANZANIA anayeingia nchini achunguzwe historia yake ya machapisho mtandaoni

    Kwanza ni upotezaji wa Muda, Pili Magufuli alijaribu akafeli, tatu Tanzania si wajinga wako anonymous! Wanaweza sumbua watu maarufu na wamiliki wa Platform kadhaa lakin si mtu simple Hii wanasema ianze September 4/ 2026 Britanicca
Back
Top Bottom