Imeshawahi kukutokea ukamkosea mwenza wako, ukamuomba msamaha, akakusamehe halafu ukamshukuru kwa kumpa dozi heavy kitandani (make up sex)?
Kwanza tuondoe utata, mimi naamini hakuna mechi tamu kama ile ambayo mmekorofishana, mkapatana, halafu mkapeana nyama kwa nyama, kama kuna ambaye anajua...