Imeshawahi kukutokea ukamkosea mwenza wako, ukamuomba msamaha, akakusamehe halafu ukamshukuru kwa kumpa dozi heavy kitandani (make up sex)?
Kwanza tuondoe utata, mimi naamini hakuna mechi tamu kama ile ambayo mmekorofishana, mkapatana, halafu mkapeana nyama kwa nyama, kama kuna ambaye anajua...
Katika mambo ambayo yapo afrika ni msamaha na maridhiano ndo yapo afrika.
Wenzetu ukileta uwovu wana kuuwa, ukileta ugaidi wanasafisha,ukileta ujinga wanakuondoa hata kama ni raisi au mwananchi.
Ila afrika hapa Mtu kama samia anauwa kila kukicha anataka maridhiano
Gazeti la The Standard limeomba msamaha baada ya kuchapisha kimakosa picha ya mwanaharakati, mwanamuziki na mratibu wa jamii Billian Okoth Ojiwa likiambatanishwa na jina la Michael Oloo Osoro katika taarifa kuhusu watu waliopotea.
Katika toleo la Novemba 16, 2026, The Standard ilichapisha...
Nimefanya hesabu kwa kutumia masharti ya Kifungu cha 49(1) cha Prisons Act, Cap. 58 na Kifungu cha 172(2)(c) cha Criminal Procedure Act, Cap. 20.
Prisons Act, Section 49(1): Hutoa uwezekano wa kupata punguzo la theluthi moja kwa mwenendo mzuri na kufanya kazi.
Punguzo la 1/3 la miaka 4 = Mwaka...
Unashauriwa kwamba mwache huyu mtu ahukumiwe, kisha wewe utangaze umempa msamaha dhidi ya hukumu yake, ukidhani kuwa inakupa ujiko nchini na kimataifa ni kufikiri kuliko potoka sana.
Suluhisho hapo ni kuacha ionekane hana hatia, hata kama kwa namna fulani itakudhalilisha.
Picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inadai kuwa Ida Odinga aliwaomba Wakenya msamaha kwa kumualika aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha Raila Odinga.
Picha hiyo, yenye jina la Kenya News Flash na tarehe Oktoba 16, 2026, inanukuu kauli...
Niko hapa napata kinywaji ili kumalizia wikiend, ghafla namkumbuka Dr Manguruwe!
Hawa ni moja ya madogo niliowalea kiroho kipindi tunasoma sekondari kule Mbeya.
Simon alikuwa ni mmoja ya watoto wazuri, mtiifu na mnyenyekevu aliyefuata maadili ya kiroho.
Kifupi, alikuwa ni moja ya vijana...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja wake katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani waliositishiwa huduma za maji kutokana na madeni, kuwa katika maadhimisho ya mwezi huu wa Huduma kwa mteja, Mamlaka imetoa msamaha maalum kwa mteja kurejeshewa huduma...
Hizi ni Moja ya kanuni za mwanaume makini.
Nikweli wanaume tunakosea na tuna makosa mengi tu kama binadamu lakini kitendo Cha kuombaomba msamaha Kwa mwanamke hiyo fuse imeshakata Haina mawasiliano tena.
Mwanaume hupaswi kuomba msamaha Direct au kukiri kosa Moja Kwa Moja ni HAPANA badala yake...
Angalio Mama Samia asiko omba msamaha kwa Lissu hatamaliza muhula wake! Naombeni save hii na mtakuja kuniambia. Itakuwa kama Magufuli asikofanya hivyo haya ni maono yangu. Kama wewe ni mbishi puuza lakini tulisema kabla Magu naye hajawa hayati. Poleni CCM inakuja
Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya ambaye ni mwanaharakati wa kulinda migongo amemuomba msamaha msanii mwenzake Ommy Dimpozi akisema alitumia jina lake katika harakati zake kutengeneza content tu ili ujumbe uende mjini na ufike mbali!
Kuanzia Julai 1, 2026, Serikali imeanza kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa mwaka mmoja kwa biashara mpya, ukihesabiwa kuanzia tarehe ya kupata TIN. Hatua hiyo inalenga kupunguza mzigo wa kodi kwa wafanyabiashara wanaoanza, kuchochea uanzishaji wa biashara mpya na kuhamasisha urasimishaji wa...
Wadau habari zenu,
HIVI kauli ile ya Kingai mahakamani akimwambia lisu na lisu akaisema hadharani mahakamani mbele ya majaji hawezi kuwafanya majaji kushindwa kutoa hukumu Kwa haki wakizingatia kauli ya Kingai ndo kauli ya bosi wa mihimili yote. Au ndo hukumu tayari
Wanasheria na wadau...
asigombee
hatia
hii
hukumu
igp
jwtz
katika
kauli
kiongozi
kusema
lengo
lisu
mkuu
mkuu wa
msamaha
mvua
nafasi
nchi
ndo
rais
upepo
wanataka
wateule
wateule wa rais
wote
Majaji wanadanganya watoe hukumu ya kumuonea Lissu na kuhukumu anyogwe kwa kuwaambia pamoja na kwamba hana hatia Raisi atampa msamaha. Swali ni lini huyu Raisi fake amekuwa mkweli. Majaji ndiyo watabaki na historia ya hukumu ambayo itawaaribia record yako. Kibaya zaidi wasikubali wafuate sheria...
Ubora wa wachezaji waliopo yanga hauendani na hili boko wanalotoa. Tangu engineer amfukuze Gamondi kisa Gamondi kamwambia ukweli, timu imekosa mwelekeo, inashinda kiujanja ujanja.
Engineer alikuwa anawaharibu wachezaji Gamondi akamchana kuwa si vizuri kujenga matabaka wakiwa Serena hotel...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu Patrobasi Katambi akitoa wito kwa baadhi va watu kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili, baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Katambi amekuwa akijitokeza hadharani na kutangaza msamaha kwa...
Mawakili wa familia ya marehemu Askofu Dr. Gertrude Pangalile Rwakatare na Kampuni ya St. Mary’s International Academy Limited, wakiongozwa na Wakili Derick Paschal, wamejitokeza na kukanusha vikali tuhuma zilizotolewa na Tibe Kenneth Rwakatare pamoja na mawakili wake,.
Wameeleza kuwa madai...
Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa.
Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya .
Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga .
Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!.
Hili liwakae kichwani !!.
Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.