msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

    Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta. 1.Nachukiwa bila sababu kazini 2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima 3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama...
  2. Chabrosy

    JF msaada kuhusu uzi wa story za maisha ya mosha jamaa alipata ulemavu nautafuta msaada niupate.

    Habari wadau, Naomba nipate uzi wa yule jamaa aliepata changamoto ya ajali akivunjika uti wa mgongo akiwa Chuo Mweka Moshi jina lake simfahamu msaada wakuu niupate ule uzi niweze kusoma msaada nilishia katikati sijaumaliza Admin JF nisaidie...
  3. Chabrosy

    Msaada nautafuta uzi siupati.???

    Habari wakuu, Kuna uzi unahusu jamaa alipata changamoti ya uti wa mgongo alisoma Chuo cha Mwika akapata accident akiwa chuo uko Mwika moshi ndo ikawa mazima changamoto ya uti wa mgongo naitafuta sana uwo uzi msaada...
  4. Financial Analyst

    Zai kama upo humu JF natumaini ulipata msaada ambao ulikuwa unahitaji. Sikuwahi kujua kuwa mwanaume anaweza mkimbia mwanamke sababu ya kutaka sex sana

    Kama ni pepo, kama ni high libido , kama ni tabia tu unajua mwenyewe aisee ila haukuwa wa kawaida. Kilichonichosha ni wewe kupendelea kutumia sex toys nikuchomeke kwenye jagina na MAKEBO yako huku nikiwa nakufanyia romance. Kila fikra iliomo kichwani mwako ni ngono na kila hamasa ya kufanya...
  5. Ed edd n eddy

    Msaada kuhusu kupata leseni ya kampuni

    Habari ndugu zangu, naomba msaada kidogo. Nimesajili kampuni na sasa nataka kupata leseni ya biashara kwa jina la kampuni. Tatizo ni kwamba nikitumia portal ya TAUSI, naona option ya kuomba leseni ya biashara kwa jina langu binafsi, lakini sioni sehemu ya kuomba leseni kwa jina la kampuni...
  6. Alexido jz instagram

    Nina mapenzi makubwa kuishi Kisiwa cha Mafia, msaada wa taarifa tafadhali

    Nilikua na ndoto tangu zamani kuishi kisiwan hapo, nadhani maisha yangu ningependa yakishie kule napapenda sana, japo sijawahi fika hua naangalia tu maeneo kule kupitia you tube insta na TikTok. Sasa basi naomba msaada WA mambo yafuatayo. 1. Bei za viwanja, nataka shamba karibu na beach ila...
  7. S

    Msaada mwenye link ya moviebox app iliyocraked atume

    Kama kichwa kinavyoonyesha hapo hii ni baada ya new updates kuwa sumbufu pia kama kuna app nyingine bora zaidi wasilisha ...weekend bila muvi ni michosho
  8. D

    Msaada tafadhali kwa anayeijua NGO inaitwa AIDS Care Foundation, nahitaji kufahamu uhalali wake

    Tafadhali wapendwa, tarehe 22 Septemba niliona tangazo la ajira ya Field Officer katika NGO ya AIDS Care Foundation. Baadaye nilitumiwa barua pepe kwa ajili ya kuendelea na mchakato wa ajira. Hata hivyo, katika hatua hiyo nimeelekezwa kufanya assessment kupitia kampuni nyingine, na cha...
  9. 1

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓 Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo. UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽 Tunaiomba UDSM: • Itoe...
  10. Palac

    Ombi la Msaada: Kuruthumu Elizabeth na Mwanae

    Hii video nimeona ikisambaa sana waungwana mwenye uwezekano wa kumsaidia huyu binti kuhusu tatizo la mwanae afanye jambo kwaajili yake Mawasiliano yake haya 0722317449 KURUTHUMU ELIZABETH
  11. NALIA NGWENA

    Msaada kwenye tuta wakuu!! nina changamoto ya kutofika kileleni kabisa

    Baada ya salamu kijana wenu pendwa @naliangwena nimeamua kuja kwenu kutafuta msaada kwa hali na mali kwa maana natambua kuwa penye weni basi kuna mengi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, sahivi nimejikuta kwenye big trouble la kutofika kileleni kabisa hata ule mzunguko wa kwanza...
  12. S

    Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Mim nipo Banana ,hapa Dar Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid . Mwenye wazo naomba
  13. 1995El

    Msaada kwa rafiki yoyote wa dhati

    WAKUU NAOMBA MNISIKILIZE KIDOGO 🙏 Sijui hata nianzie wapi kusema, lakini nimeamua kuandika hapa kwa sababu kwa sasa nimefika sehemu ambayo nahitaji msaada wa mtu mwenye moyo wa kusaidia. Kwa siku hizi nimekuwa napitia hali ngumu sana. Mawazo yamekuwa mengi, mambo yamekwama na kwa sasa sina...
  14. Mad Max

    Wazoefu wa hii njia: Nina safari ya Dar - Kahama, sasa Nina Maswali hapa Msaada

    Nina safari ya Dar - Kahama, Kikazi, ila nitafanya kazi siku 2 tu then narudi Dar. Sasa nilipenda nitumie hii chance kutembelea mikoa/wilaya nyingine za Kanda ya ziwa, wakati narudi. Mahitaji yangu: Kwenda nisiendeshe zaidi ya 500 km kwa siku, kwahiyo Njiani nilale 2 nights. Njia gani ni...
  15. Design Your Idea

    Ni ngumu kushinda ushoga kama unaedhania ndio atakaye kuwa msaada wako ni mtumiaji wa mashoga hao.

    Kwa hii hali ambayo mashoga wana tamba mitandaoni hadi wanaji rekodi live video, kuna kitu nyuma yake
  16. B

    Natafuta kazi ya Hotelini, kitengo cha uhudumu wa chakula na vinywaji

    Habari ndugu zangu! Nahitaji kazi. Mimi nimesomea hotel katika kitengo cha uhudumu wa chakula na vinywaji, nipo Zanzibar. Yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi, Mawasiliano yangu ni 0724881371 au ani-PM nitasoma ujumbe wa inbox na kuufanyia kazi haraka. Asante.
  17. Kizumari Technologies

    Msaada wa ku-merge PDF ya CV

  18. K

    Msaada kwenu nyie moderator nisaidieni kuifuta acount yangu ya hii ya jf.

    Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute. Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe...
  19. S

    Nina ndugu yangu ni Nurse Assistant na CHW anatafuta kazi

    Guys ,nina ndugu yangu ni Nurse Assistant na CHW anatafuta kazi,Kwa yoyote mwenye kujua taasisi za afya zinazolipa vizuri Naomba msaada wako pls
  20. M

    Kwanini makanisa ya ndani ambayo mengi ni ya kilokole hayana msaada kwenye jamii zaidi ya kunufaisha wanafamilia ?

    Haya makanisa ya Tanzania kama TAG, EAGT, Mwamposa, Kapola, Kakobe, Gwajima, n.k. unawakuta wachungaji wana maisha ya juu sana kuzidi waumini Wengine account zao binafsi ziliwekwa wazi zina mabilioni, wengine wapo mbioni kununua ndege, wengine wana magari ya mamia ya maelfu ya madila, n.k...
Back
Top Bottom