msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Msaada: Jamani nimekwama, sikopesheki tena kwenye ESS yangu Mimi ni mtumishi naomba mtu aniazime 270000(laki mbili na sabini elfu)

    Jamani Nina changamoto na ninahitaji msaada wa tsh 270k Kila Kona ninayoitazama nina deni , ess yangu haitamaniki siwezi elezea Kwa urefu kwanini nimefika hapa ila naomba anayeweza kuniazima hicho kiasi nitakilipa Kwa awamu mbili December na January , msaada Jamani
  2. Msaada tutani

    Una mke wako au mwanamke wako uja muoa lakini wewe una fanya kazi mkoani na mkeo yupo dar siku ume toroka kazini weeknd uka sema ume miss chakula cha mkeo, una fika nyumban una enda kuoga chooni una kutana na box la dawa za kutoa mimba uta fanya maamuzi gani sahihi kumbuka iko choo mna tumia...
  3. Huwezi kuta wahindi ugenini na wakataka kupindua njia ya maisha iliokuwa imezoeleka pale ila waarabu wanaweza chukuliwa kwa msaada kinachofata ni fujo

    Wahindi wametapakaa duniani kote na wamerithishana njia za kuitana mahali ambapo pana manufaa kwa maendeleo yao. Licha ya madhaifu mengine hawa jamaa ni watu ambao wana jali mambo yao, wako private na imani yao lakini zaidi hawasumbui watu na imani zao wanapokuwa ugenini Ila waarabu ni watu wa...
  4. Sijachaguliwa kwenye usaili wa TANESCO kutokana na Cheti cha Kuzaliwa, licha ya kuwasilisha cheti kilichothibitishwa

    Habari wana JamiiForums, Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wanajukwaa, hasa wale wenye uzoefu wa masuala ya ajira za Serikali na Sekretarieti ya Ajira (PSRS). Nilikuwa nimeomba nafasi ya kazi ya ARTISAN GRADE II – ELECTRICAL katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Baada ya majina ya...
  5. Tanzania inakwenda kua taifa la kipagani

    Kuna Binti kafa leo anahusishwa kupigwa risasi na polisi MO29, sasa maoni ya watanzania Mimi ndio yameniacha hoi "Kuna namna, Yani wameona wammalizie, hajafa Mda wote huo afe leo""Naona sasa hii Tanzania hata Mungu imemshinda" "Utakuta waliompiga risasi wanaomba na Mungu anawajibu, hizi Imani...
  6. C

    Mafwele amesaidia kupatikana Madereva waliodhaniwa kutekwa

    Taasisi ya Taifa ya Madereva wa Malori, Mabasi na IT Tanzania (TATAMATA), imemshukuru Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Faustine Mafwele, kwa ushirikiano wake uliofanikisha kupatikana kwa madereva wawili waliokuwa hawajulikani walipo. Akizungumza na Tai...
  7. Wakuu msaada: Serikali inawezaje kulipa watu faida kwenye Tresury Bills & Bond [ Hati fungani ] wakati hali yetu kiuchumi ni mbaya kama taifa?

    Nawasikiliza watoa elimu za kifedha [Certified financial educators] wanashauri watu wanunue hati fungani za serikali. Jamaa mmoja wa BOT kwenye semina aliwahi kuhakikishia ukumbi mzima haijawahi kutokea serikali ikashindwa kumlipa mtu aliyewekeza huko. Na inaonekana sio bongo tu ni karibu...
  8. Msaada Kupata Schengen Visa

    Natafuta mtu mwenye official connections ndani ya nchi yoyote ya Schengen anayeweza kunisaidia kupata Residence Permit visa ya mwaka mmoja au zaidi. Kwa sasa nafanya kazi remote nikiwa Tanzania, hivyo ningependa kupata fursa ya kuishi Ulaya huku nikiendelea na kazi yangu. Ninatambua kuwa sina...
  9. Wakuu msaada wa mawazo tafadhari

    Wakuu salamu.... Moja kwa moja ndani ya mada wakuu. Kuna mdafa alinipenda sana na mimi nilimpenda, mimi nilizoea kumuita mshangazi sababu kanizidi kama miaka 5 hivi. Alikuwa na kazi yake na mimi kazi yangu, wakati huo tunaanza dhambi zetu alisisitiza sana kupata mimba huenda likawa janga ila...
  10. A

    KERO Naomba msaada, majina yangu kwenye kanzidata ya chuo kuna herufi hazijamalizika hivyo nashindwa kukamilisha usajili

    Habari wanajamii, Naomba msaada na ushauri kuhusu changamoto ninayokutana nayo wakati wa kufanya usajili wa chuo. Vyeti vyangu vya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (nakala halisi) vinaonyesha majina yangu matatu kwa usahihi likiwemo jina CHRISTOPHER Vilevile, ninapoangalia taarifa zangu...
  11. M

    Hata hali ya nchi iwe mbaya kiasi gani, kamwe msiwaze kujikomboa kwa kuomba msaada kwa Watutsi. Mtaingia kwenye mtego usio na mlango wa kutokea!

    Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza. Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
  12. KERO Wahitimu wa Udaktari tunalalamikia kufungwa mapema kwa dirisha la maombi ya Internship

    Sisi wahitimu wa udaktari tunaotarajia kuanza mafunzo kwa vitendo (Internship) tunalalamikia utaratibu uliowekwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) wa kutoa siku saba pekee kwa ajili ya kufanya maombi na kuchagua vituo vya mafunzo. Cha kushangaza, dirisha hilo limefungwa leo licha ya...
  13. I

    Msaada wa kimawazo ! GPA Inakwamisha ndoto

    Habari wanabodi. Sasa ipo hivi, mimi nina ndoto ya kuwa mhadhiri wa chuo kikuu. Changamoto inakuja kwamba degree yangu ya awali pale mlimani nilizingua...nilipata 2.7 kozi ya sayansi ya siasa, haikuwa uzembe bali matokeo yasiyotarajiwa. Kwa mujibu wa viwango vya TCU Hata ukiongeza elimu M.A...
  14. C

    Msaada mtu anayefanya kazi TAMISEMI Dodoma.

    Habari zenu Wakuu. Naomba kama kuna mtu anayefanya kazi TAMISEMI Dodoma au mwenye mawasiliano na mtu anayefanya kazi huko, ani-PM tafadhali. Nina jambo binafsi ambalo ningependa kupata ushauri na msaada kuhusu namna ya kulishughulikia. Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeniunganisha na mtu...
  15. Msaada wa kazi wakuu, kwa mdogo wangu

    Wakubwa salamu zenu,vijana tuendelee kupambana sana huku mtaani kugumu mno, Ndugu zangu nina mdogo wangu nimemsomesha kwa taabu mno kuanzia diploma ya record management hadi digilii ya pablic administration pale mzumbe, Nimenyanyua tofari kwa mafundi,uza maji fanya kila ya jitihada asome,tangu...
  16. UDSM: Mfumo wa ARIS3 wa Maombi ya Vyumba Haufanyi Kazi Siku ya Room Shopping, Namba za Msaada Hazipatikani. Uwazi Unahitajika

    Wakuu, salaam. Leo naleta jambo linalowagusa wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhusu zoezi la Room Shopping 2026/27 lililotangazwa na DARUSO kupitia Wizara ya Maji, Makazi na Mazingira. Ratiba iliyotangazwa: 3 Novemba: COICT Hostels, saa 4:00 asubuhi 4 Novemba: Magufuli na...
  17. Katika mapambano ya kisiasa, uwepo wa wanaharakati au "radicals" ni msaada mkubwa kwa "moderates"

    Ukiona mtu anadai anataka mabadiliko halafu wakati huo huo anawapinga "radicals" au wanaharakati, huyo mtu ni ama hajui umuhimu wao au ni kibaraka wa upande wa pili. Uwepo wa radicals au wanaharakati unawasaidia moderates hata katika meza ya maridhiano au majadiliano maana upande wa pili utaona...
  18. B

    Msaada katika Mfumo wa ESS UTUMISHI katika kipengele cha E-TRANSFER

    Kwa muda sasa ushapata mtu WA kubadilishana nae kituo cha kazi tena mikoa tofauti kipengele cha incoming request hakifunguki kwa wote hata sasa ukiingia inakuletea AN UNEXPECTED ERROR OCCURRED Jamani tunaomba marekebisho ya mfumo yazingatiwe kwa wakati, kwani mfumo huu ni kwa taifa zima...
  19. Msaada: Najitoaje katika kifungo cha hasira, vurugu, ukorofi?

    Nimekuwa mtu reactive sana sometimes mtu akinikosea ninachowaza ni kumfanyia mabaya tu hata kumfata na mapanga, sitaki kusingizia kabila langu maana wapo wajaluo wastaarabu tu, Nina mwaka wa tatu kwenye ualimu sasa nipo mkoa wa watu ambao wana roho mbaya nimejikuta nagombana na viongozi (afsa...
  20. M

    Padri alielala msikitini baada ya kukosa msaada kanisani

    Padri alielala msikitini baada ya kukosa msaada kanisani Sikiliza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…