Chama Cha Wanaume Duniani chini ya mwenyekiti Habibi Ashraf Hakimi, tunapenda kumkaribisha mwanachama mpya kwa Kumpa kadi ya uanachamq ambaye ni Ndugu Bakayo Saka, hii ni baada ya kuzingatia masomo ambayo tumekua tukiyatoa kila uchwao ili kua salama dhidi ya wanawake maharamia wa kizazi hii...
Mkataba wa ukarabati, ukodishaji na uendeshaji wa reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.4 kwa kipindi cha miaka 30, uliosainiwa kati ya Serikali za Tanzania chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Zambia chini ya Rais wake Mhe Hakainde Hichilema na...
Kero yangu ni Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi ya MOFAT kuendelea kutoa huduma ya usafiri kuelekea Mbagala lakini wateja wapya wakitaka Kadi (Smart Card) kwa ajili ya malipo ya nauli hakuna kituo hata kimoja ambacho unaweza kupata hizo kadi.
Jambo la pili: Kuna App wanaitumia inaitwa MWENDOKASI...
Nimekuwa nikitafakari jambo hili na nimejiuliza maswali kadhaa.
Je, kuna watu ambao tayari wana wapenzi wapya, wanawapenda na wanaendelea na maisha yao, lakini bado wanabeba maumivu, hofu au kumbukumbu za mahusiano yao yaliyopita?
Kwa mfano:
Bado unaogopa kuachwa tena kwa sababu ya...
MOSHI- 13/11/2026
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Mhe. Godfrey Mnzava, ameshuhudia uwekaji wa ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Umma kwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Moshi, Bi. Florida Lulandala.
Lulandala amepokea Kiapo cha Maadili ya Utumishi wa Umma chini ya usimamizi wa Katibu Msaidizi Ofisi ya...
Manchester United imemteua Mauricio Pochettino, raia wa Argentina, kuwa kocha wake mpya. Pochettino ni kocha mwenye uzoefu katika soka la Ulaya, akiwa amewahi kufundisha Tottenham Hotspur, Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG). Anajulikana kwa falsafa ya soka la kasi, pressing, nidhamu na kukuza...
Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya.
Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni.
Kwa mujibu wa matokeo ya...
baada
bila
bungeni
hana
israel
kiongozi
kukosekana
kuongoza
kushikilia
kuwa
madaraka
mkuu
mpya
muafaka
nchi
ndogo
netanyahu
nguvu
rais
serikali
uchaguzi
viti
vyama
waziri
waziri mkuu
zaidi ya
Baada ya karibu miongo miwili katika biashara na safari kadhaa zinazohusiana na kazi nchini China, mjasiriamali wa Afrika Kusini Beauty Sonny, mkurugenzi wa kampuni ya Miradi na Utengenezaji ya Monenebe, inayojihusisha na ukodishaji wa vifaa, amejikuta tena darasani, akijifunza jinsi ya kufanya...
Kuna hii Hombolo Thematic Satellite City (HOTSAC) imetoka recently, ikionesha jinsi huu mji wa Hombolo utakavyokua.
Pamoja na vitu kibao vitakavyokuwepo, basi na racing circuit viwango vya FIA itakuwepo.
🔥🔥🔥
BEI YA HARAKA: Inauzwa Airtel Internet Router (Mpya Kabisa)
• Hali: Mpya kabisa (Brand New), imefunguliwa boksi tu lakini haijatumika kutokana na matatizo ya dharura.
• Mtandao: Airtel (Inafaa sana kwa internet ya nyumbani au ofisini au wale wanaotaka kuuza internet mtaani).
• Bei ya Dukan...
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto zinazotukabili watumishi wapya tulioajiriwa katika Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuanzia Septemba 2025 hadi sasa.
Tangu tulipoajiriwa hatujapokea fedha zetu za kujikimu, huku pia hatujapatiwa mafunzo elekezi...
BEI MPYA ZA MBAO AINA YA PINES MKOA WA NJOMBE
2*4: 4,500/=
2*6: 6,000/=
2*2: 1,500/=
1*4: 1,500/=
2*3: 3,000/=
1*6: 3,000/=
1*8: 5,000/=
1*10: 10,000/=
MAWASILIANO
0748874928
(PIGA/SMS/WHATSAPP)
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Mwaka Mmoja Wa Rais wetu Mpendwa Kitini ,Ni Mwaka Mmoja madarakani,ni mwaka mmoja mamlakani ,ni Mwaka mmoja Ofisi kuu ,ni mwaka mmoja wa utumishi wa umma uliotukuka ,ni mwaka mmoja wa kutoa majawabu toshelezi ,ni mwaka mmoja wa mafanikio .
Ni Mwaka mmoja ambao hakuna...
Watalaam kwema humu....nahitaji ushauri wenu kuhusu laptop mpya yaani marimba ya mzungu iwe quality mpya. Budget 1 to 1.5mil. duka gani hawana longoongo na brand gani uhakika
Barabara ya Kilwa ni mbovu sana ukianza eneo la Kokoto kuelekea Kongowe, Mwandege, Vikindu, Kisemvule na mbele mbele huko.
Maeneo tajwa yote yamejaa viwanda vya kutosha na idadi ya wakaazi inaongezeka kila kukicha.
Naona sijui ni Tanroad wanaziba mashimo ya barabara kwa tope. Sijajua hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.