mpya

  1. Tumepanga kutoka out, kale katoto kakaja na mpya eti hakana nguo ya kuvaa

    Ghafla kameanza kulia.... Mimi nikauliza, mbona unazo nguo nyingi nzuri tu..?? Kaka nijibu eti hawezi akavaa nguo za zamani akiwa anaenda kula bata. Mimi nilichoona nimjibu ni kwamba..... Hata mimi nimeahirisha na siwezi kutoka na dem wa zamani nikiwa naenda kula bata...😜 Hapa nimejitoa out...
  2. Rais Samia amzawadia gari mpya Mkubwa Fella

    Kuelekea Novemba 29, 2026, katika tukio maalumu la ‘Heshima kwa Mkubwa’, Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemzawadia Meneja Mkongwe wa Bongo Fleva, Said Hassan Mlinge, maarufu kama Mkubwa Fella, gari aina ya Toyota Vellfire. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam...
  3. Miaka 95 ya kuliangazia taifa: TANESCO yaandika historia mpya ya nishati — Mbossa

    MIAKA 95 YA KULIANGAZIA TAIFA: TANESCO YAANDIKA HISTORIA MPYA YA NISHATI — MBOSSA 📌 Shirika lafikisha wateja milioni 6 na uwezo wa kuzalisha zaidi ya megawati 4,600. 📌Lengo ni kuzalisha megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030 na kumfikia kila Mtanzania. 📌Bodi ya TANESCO yaishukuru Serikali kwa...
  4. Drone mpya ya Iran aina ya Shahed-136B, limezinduliwa rasmi!

    Katika maonyesho ya "Anga na Usafiri wa Anga" yaliyofanyika Mashhad, Iran, toleo lililoboreshwa la ndege isiyo na rubani ya kujilipua yenye uwezo wa kusafiri umbali mrefu, iitwayo Shahed-136B, limezinduliwa leo. Ndege hii imeundwa ikiwa na uwezo wa kufika maeneo ya ndani kabisa barani Ulaya...
  5. K

    Dr Chacha mkuu mpya wa machawa! Ajiandae

    Dr Chacha ambaye anachukuwa nafasi ya Msigwa atagundua yeye ni kiongozi wa machawa na sio msemaji mkuu pekee. Atagundua wajinga jinga wote wapo huko na atapata shida kupata Dr mwingine mwenye akili zake kwenye idara ya habari ni idara ya wajinga jinga na machawa. Wachache walionaki hawawezi...
  6. C

    Mwabunguru aibuka Rais mpya wa TUCTA katika uchaguzi uliogubikwa na sintofahamu

    Licha ya zuio la mahakama Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), limefanya uchaguzi na kuwapata viongozi wake wapya huku Shaaban Mwabunguru wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) akitangazwa rais mpya. Uchaguzi huo ulizuiwa na Jaji M.P. Opiyo wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, lakini...
  7. M

    Natafuta notes (tuition) mtaala mpya za form two.

    Natafuta notes kwa ajili ya vijana wangu (History ,mathematics, geography,kiswahili,biology,chemistry,physics,English) .Mwenye nazo somo mojawapo tuwasiliane.
  8. C

    Isarel: Netanyahu, Eisenkot kuanza mazungumzo ya kuunda serikali mpya

    Vyama vya Waziri Mkuu wa mpito wa Israel, Benjamin Netanyahu, na mpinzani wake, Gadi Eisenkot, vinatarajiwa kufanya mazungumzo mapya leo, Novemba 22, 2026, mjini Tel Aviv, kujadili uwezekano wa kuunda serikali ya muungano baada ya uchaguzi wa Oktoba kushindwa kumpa upande wowote wingi wa viti...
  9. O

    CHADEMA tupeleke hoja ya Lissu mezani, tuzungumze ufumbuzi upatikane awe huru halafu tuendelee na mchakato wa maridhiano na Katiba mpya

    Kwa Unyenyekevu mkubwa ninawasihi viongozi wangu wa CHADEMA kuona umuhimu wa kuwasilisha hoja ya LISSU mezani ili mazungumzo yafanyike na LISSU awe huru. Kwenye meza ya mazungumzo kati ya viongozi wa CHADEMA na Rais Samia ndipo hoja za CHADEMA ikiwemo suala la LISSU litajadiliwa na ufumbuzi...
  10. Wazo Mbadala: Rais Samia Aboreshe Tume ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya kwa Kufuta Tume ya Jaji LIla

    Baada ya kusikiliza kwa makini na kuchambua hotuba mbili za Rais Samia, sasa natoa mapendekezo katika hatua tatu. Katika hatua ya kwanza, napendekeza kwamba: majukumu ya "Kamati ya Maridhiano Kuelekea Katiba Mpya" yafafanuliwe ili kukidhi matarajio ya wananchi wengi yenye kujikita kwenye...
  11. Fani ya Uwakili Inazidi Kukua, Mzigo Mpya wa Mawakili 577 Unapakuliwa Desemba 2026, Wakili Msomi Mpya Ally Salum Happi Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Leo naendeleza motoo ya JF, wewe kama mwana jf, unapata kitu kinaitwa The JF Advantage, Be The First to Know, hivyo leo nawaletea habari njema kuhusu fani ya uwakili, inazidi kukua kwa kasi, ambapo mzigo mpya wa mawakili wasomi 577 unapakuliwa mwezi Desemba 2026, kwa mawakili hao...
  12. K

    Huyu Mama anampango wa kuongeza muda kisingizio katiba mpya

    Huyu Mama mwizi wa kura anategea mchakato uwe 2029 ili watafute visingizio vya kumuongezea muda zaidi. Hakuna nia yeyote ya katiba hapa tutapelekwa kama misukule kwa miaka miwili tukiaminishwa wana nia ikifika 2029 ni yaleyale ya 2014 lakini ataweka mazingira ya kuongezewa muda. Kama kweli...
  13. Katiba mpya ije ifute hivi vyama vinavyoongozwa na wafungwa wa magereza.

    Leo nimemsikia Mh. RAIS Dr Samia Suluhu Hassan akilihutubia taifa amesema katiba mpya itaanza kuchakatwa kuanzia 2029s, nitatoa maoni yangu ili hivi vyama vinavyoongozwa na wafungwa vifutwe Tanzania Kuna chama kinaongozwa na mfungwa wa magereza hii ni kwasababu katiba ya Nchi haijagusia suala...
  14. Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi mwamba kabisa DK. Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2029 tutakua na Katiba mpya.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa, inayotarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Lengo la Tume hiyo ni kuimarisha umoja wa Taifa na kuweka msingi wa mchakato wa mabadiliko ya Katiba...
  15. Rais Samia: Ikifika 2028/2029 tutakuwa na Katiba Mpya

    Akizingumza leo Rais Samia amesema Tume ya maridhiano tutaitangaza hivi karibuni...kwa nini tume ya maridhiano? Tunafanya tume ya maridhiano ili kulirudisha Taifa pamoja, kutoa hoja zinazotukera, kujua nini kibadilike kwenye Katiba yetu, halafu ndio twende kwenye mabadiliko ya Katiba, kama...
  16. Samia kasema eti 2029 tutakuwa na Katiba mpya. Anatupangia?

    Samia Suluhu Hassan amesema kufikia mwaka 2028 hadi 2029, katiba mpya au iliyorekebishwa itakuwa tayari. MY TAKE Katiba ni ya Wananchi kwanini anajimilkisha? Aache tume ndo Iseme. NB: Freeman Mbowe anawakilisha Familia yake sio CHADEMA. Mbowe kajipeleka eti anawakilisha wazee wa. CHADEMA...
  17. Je Watanzania Wanahitaji Nini Hasa Kati ya Katiba Mpya ya Wananchi au Marekebisho Tuu ya Katiba hii Iliyopo ya Mwaka 1977 Ambayo ni Katiba ya CCM?.

    Wanabodi, Utangulizi wa Facts Kuhusu Katiba Tanzania. Je Wajua Tangu Tupate Uhuru, Tanzania hatujawahi kuwa na katiba ya Wananchi? Je Wajua Katiba hii iliyopo ya Tanzania ya Mwaka 1977 ni Katiba ya CCM? Je Wajua Katiba hii ni ya Mfumo wa Chama Kimoja CCM, Toka Enzi za Chama Kushika Hatamu...
  18. Ushirikiano wa China na Afrika watarajiwa kuleta muundo mpya wa uzalishaji wa viwanda duniani

    Gazeti la South China Morning Post la Singapore hivi karibuni lilitoa makala iliyoandikwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Kyrgyzstan Djoomart Otorbaev, akibainisha kuwa uwekezaji wa China katika sekta ya utengenezaji barani Afrika unabadilisha uhusiano wa kiuchumi kati ya pande hizo mbili, kutoka...
  19. Hukumu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Yaibua Madudu ya Udhaifu Wa Mhimili wa Mahakama Kutenda Haki, Suluhisho la Madudu Haya ni Katiba Mpya!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiizungumzia jinsi hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu ilivyo yaibua yale madudu ya udhaifu wa Mhimili wetu wa Mahakama katika kutenda haki na kutoa hukumu za haki ambazo hata jicho la kawaida litajiridhisha kuwa haki...
  20. Infantino Kwenye Hatarini! UEFA Yamtangaza Mpinzani Wake Mpya Kugombea Urais wa FIFA

    Mbio za Urais wa FIFA zimeingia hatua ya mwisho kabisa, na Rais wa sasa Gianni Infantino ambaye amekuwa madarakani tangu 2016, sasa anakabiliwa na upinzani mkubwa zaidi kuwahi kutokea katika kipindi chake chote cha uongozi. Leo Jumatano, Novemba 18 ni siku ya mwisho ya kuwasilisha majina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…