moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Hao manabii zaidi ya laki moja wanaodaiwa na Uislamu wako wapi?

    Kwa nini manabii wote wanaozungumziwa kwenye Uislamu ni Wayahudi? Waislamu hudai Mungu ameshusha manabii zaidi ya laki moja duniani, je katika hao manabii laki moja wanaweza kutaja manabii watatu kutoka Africa, China, Ulaya, America Kusini & Kaskazini ? Wanaweza kutaja manabii watatu wasio...
  2. Samatime Magari

    Kwenye Msafara wa Fally Pupa Kuna gari moja Imenishitua inaitwa Ferrali Purosangue ni 1.4B

    Hii Gari inaitwa Ferrari Purosangue F175 6.5L 2023-2024 Model 8 Speed AT na gharama yake Inacheza 1.2B to 1.4B, Hii B ni Billion Pesa ya Tunguu... . Katika Msafari wa Fally Ipupa nimeiona na ndo the most expensive kwa huu msafara na iko moja tu Tanzania . Hizi gari ni very rare kuzipata na huwa...
  3. Pakome

    Kutoka Kusoma Insha Hadi Majibu ya Sekunde Moja ya AI, Kwaheri ya Kuonana Wikipedia, Mkurugenzi wako ameshindwa kujiongeza!

    Kwa miongo miwili, Wikipedia ilitawala ulimwengu wa maarifa mtandaoni ikionekana kama chanzo kikuu cha taarifa kwa kila mtu. Hata hivyo, mabadiliko ya kasi ya teknolojia yanatishia nafasi hiyo, yakisukuma jukwaa hili kuelekea ukingoni mwa kupoteza ushawishi wake wa zamani Kuibuka kwa mifumo ya...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Moja ya kosa kubwa kijana unalifanya ni kuogopa kuoa kisa mambo hayajakaa sawa. Kosa kubwa sana

    MOJA YA KOSA KUBWA KIJANA UNAJIFANYA NI KUOGOPA KUOA KISA MAMBO HAYAJAKAA SAWA. KOSA KUBWA SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba Niliwahi kukuambia kamwe usijicheleweshe. Wala usikubali mtu akucheleweshe. Nilikuambia. Nikakuambia tena, yapo mambo ambayo utatakiwa uyafanye ukiwa na...
  5. N

    NGUMU HII: Katika Kampuni binafsi ziliyojaa (60%) Management na Staff watu wa kabila moja tofauti na wewe. Uliweza ku-survive mtanzania Mwenzangu??!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mwaka 2014 mpaka 2016 mimi yalinishinda. Nilifanya kazi ya mkataba wa miaka 2 mkataba ulipoisha tu, wakataka kunipa mwingine nikakataa. Nikaondoka zangu kutoka Kigoma, huyooo nikarudi zangu Tanga kufanya kazi ya conductor wa daladala. Na ndio kazi yangu mpaka leo hii...
  6. Zack Abdul

    Ujenzi wa barabara za Mahenge, Malinyi uanze mara moja – Waziri Mkuu

    Aelekeza maeneo korofi yapewe kipaumbele Aagiza wakulima wasitozwe ushuru wanapopeleka mazao nyumbani WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Ujenzi iharakishe taratibu za kumpata mkandarasi wa kujenga kwa kiwango cha lami barabara ya Lupiro–Mahenge, yenye urefu wa takribani...
  7. Roving Journalist

    Responded Ndejembi akagua Soko la Kirumba, ataka michango ya NSSF ya Wafanyakazi wa Mradi huo iwasilishwe mara moja

    Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, leo Novemba 24, 2026, amekagua ujenzi wa Soko la Kirumba, Wilayani Ilemela, Jijini Mwanza, unaotekelezwa chini ya Mradi wa Uendelezaji wa Miji Tanzania (TACTIC). Mradi huo wa Shilingi bilioni 14.7, unaojumuisha barabara ya kilomita 2.9 inayoelekea sokoni...
  8. S

    Jambo moja la msingi sana nimetambua kuhusu mustakabali wa siasa na uongozi wa Tanzania na Watanzania wenyewe

    Kwamba aidha kiongozi mwanasiasa anakuwa ni mjinga sana au sisi Watanzania wote ni wajinga sana. Lazima mojawapo kati ya hayo mawili liwe kweli. Sio rahisi yote mawili yawe kweli au kutokuwa kweli kwa wakati mmoja.
  9. Zack Abdul

    Salamu moja tu ya mkono yenye tabasamu inaweza badili hadithi.

    Pale Boman'gombe, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, allinua mkono kuwasalimu wananchi huku akitabasamu. Nyuma kabisa ya umati, msichana mdogo aliyebebwa mabegani ili aweze kumwona Rais naye akatabasamu na kumpungia mkono. Jioni ile, aliporudi nyumbani...
  10. Scars

    Messi is humble: Ni moja ya propaganda kubwa ambayo Media zilifanikiwa kuiaminisha Dunia

    Si mna kumbuka hapo juzi Messi alitakiwa kuukosa mchezo dhidi ya New England Revolution kwasababu ana kadi 5 za njano. Lakini bodi ya ligi ikaja na statement kuwa Messi atakuwepo kwenye huo mchezo licha ya kuwa na kadi 5 za njano zinazomfanya aukose huo mchezo, kwasababu amekuwa na nidhamu...
  11. leroy

    Mfumuko wa Bei (Oktoba 2026): Tanzania 4.2%, Kenya 7.3%, Rwanda 19.5% – Kwanini Takwimu Hizi Hazipimwi kwa Rula Moja?

    Ukitazama takwimu rasmi za mfumuko wa bei kwa mwezi Oktoba 2026 katika nchi tano za Afrika, picha inaonekana hivi: Tanzania (Bara): 4.2% Uganda: 5.8% Kenya: 7.3% Nigeria: 14.06% (14.1%) Rwanda (Mijini): 19.5% https://youtu.be/yW8k807JsTs Kwa jicho la haraka, unaweza kusema maisha ni rahisi...
  12. U

    Enyi Wakiristo natoa zawadi mkinionyesha Aya moja tu inayomtaja au kumtambulisha kwa jina Mkristo hata mmoja kwenye biblia

    Enyi Wakiristo natoa zawadi mkinionyesha Aya moja tu inayomtaja au kumtambulisha kwa jina Mkiristo hata mmoja kwenye biblia Niwatakie sabato njema
  13. leroy

    Sarafu Moja ya Afrika Mashariki (2031): Nini Kingebadilika Kweli au Ni Mtihani Mgumu Zaidi?

    Mpango wa kuwa na sarafu moja ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulisainiwa mwaka 2013 ukiwa na lengo la kuanza 2024, lakini tarehe ikasogezwa mbele. Julai 2026, magavana wa benki kuu walithibitisha tena lengo la mwaka 2031. Uchambuzi mpya wa East Africa Economics (link hapo chini) unaangalia...
  14. and 998 others

    Mashirika 34 ya TZ ya ndege yaliyofungiwa kuingia anga la Ulaya vs Kenya (hakuna hata moja?)

    Tumirogwa? Inaisikitisha sana. Bado tuna watu wanaenda kazini na kupata miposho kama yote? 1. Air Tanzania, 2. Precision Air, 3. Auric Air, 4. Coastal Travels, 5. Flight Link, 6. Regional Air Services, 7. Air Excel, 8. Fly Zanzibar, 9. Grumeti Air, 10. Tropical Air Services, 11. Tanzania Air...
  15. U

    Natabiri siku moja Mhesh Nicolas Benjamin Mkapa atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hayo ni maono yangu Kwa sasa ni miongoni mwa Watendaji wenye uwezo mkubwa achilia mbali uadilifu Nicholas Merinyo Mkapa (also spelled Nicholaus) is a Tanzanian public servant and lawyer serving as the Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Communication and Information Technology...
  16. U

    Tumalize utata jamani , Waha, Kinga, Chagga, Sukuma? Nani namba Moja kiutajiri!?

    Msinione mimi ni mbaguzi kwakuwa sijaweka Wahindi, Waarabu, na wapemba, hao utajiri wao ni exception, tuwaweke pembeni , tuwapambanishe wamatumbi peke Yao. Chalamila amesema japokuwa Dar ni ya wazaramo lakini kiuchumi katika mkoa wao wapo Chini Sana, na amekiri na kusema wapemba, waha wakinga...
  17. Kaka yake shetani

    Hivi nchi za Afrika zinatumia script moja au?? 🤔

    Neno ugaidi limekuwa kwa wapinzani na wanaharakati kwa nchi za afrika
  18. U

    HOJA Changamoto za kuhamisha Mikopo ya HESLB: Je, mifumo yetu ya Kidijitali inazingatia uhalisia wa maisha ya Wanafunzi?

    Naomba suala hili lijadiliwe kwa upana, si kama changamoto yangu binafsi pekee, bali kama tatizo linaloweza kuwaathiri wanafunzi wengine wanaotegemea mikopo ya elimu ya juu ili kuendelea na masomo. Mimi ni mwombaji wa mkopo wa HESLB kwa mwaka wa masomo 2026/2027. Nilichaguliwa katika chuo...
  19. Yom HaDin

    Hivi Inakuwaje familia moja watoto wote wanafanikiwa kimaisha nyingine wanaishia kuwa watu wa hovyohovyo

    Huku mtaani Unakuta Baba na mama wa kawaida tu ila watoto wao wote kama sio asilimia 80 wamefanikiwa kiuchumi na kivyeo. Nyingine watoto wanaanza kuharibikia utotoni. La saba tu kaishaanza kuvuta Bange, Binti yuko la tano kaishatoa mimba sita, yaani wote hata wakifika chuo hakuna kazi wanabaki...
  20. Kurzweil

    CRDB Meru Branch Arusha, kundi la wazembe na wasiojali lililorundikana Tawi moja.

    Habari wanaJF, Nasikitika sana benk ya CRBD hapa Arusha inaangushwa sana na watendaji na uongozi wa tawi la Meru ambalo lipo katikati ya Jini la Arusha. Unaweza kupeleka list ya malipo leo asubuhi hawafanyii kazi hadi uwakumbushe siku inayofuata. Na sio mara moja wala mara mbili ni kama ndio...
Back
Top Bottom