mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umuhimu wa kutawanya uwekezaji: kwa nini si vizuri kuelekeza fedha zako zote kwenye uwekezaji mmoja

    1. Utangulizi Umewahi kujiuliza nini kinaweza kutokea ikiwa utawekeza fedha zako zote kwenye kampuni moja au aina moja ya uwekezaji, halafu uwekezaji huo ukapata changamoto? Katika ulimwengu wa uwekezaji, kuna msemo maarufu unaosema: “Don’t put all your eggs in one basket.” Kwa Kiswahili...
  2. Nini huwa kinasababisha mmoja kunyimwa na mwingine kupewa ?

    Nini huwa kinasababisha mmoja anayepbana sana kuipata kunyimwa na mwingine kupewa kirahisi tu kama mchezo ?
  3. O

    MCA Ibrahim Matumbo anatoa wapi fedha za kuwapa wakazi KSh5,000 kila mmoja?

    MCA wa Watamu, Ibrahim Matumbo, amezua mjadala baada ya video hii inayosambaa mitandaoni kumuonyesha akiwapa wakazi fedha taslimu za KSh5,000 kila mmoja. Katika video hii, wakazi wanaonekana wakijipanga kwa foleni huku wakipokea fedha hizo kutoka kwa MCA huyo. Tukio hilo limeibua maswali...
  4. U

    Enyi Wakiristo natoa zawadi mkinionyesha Aya moja tu inayomtaja au kumtambulisha kwa jina Mkristo hata mmoja kwenye biblia

    Enyi Wakiristo natoa zawadi mkinionyesha Aya moja tu inayomtaja au kumtambulisha kwa jina Mkiristo hata mmoja kwenye biblia Niwatakie sabato njema
  5. Jinsi ya kukuza biashara kutoka mtu mmoja hadi kampuni kubwa: Njia 8 za kujenga empire

    Biashara nyingi hazikui kwa sababu mwanzilishi wake anataka kufanya kila kitu mwenyewe. Anataka kuwa mmiliki, meneja, mfanyakazi, muuzaji, mhasibu, Customer Care na msimamizi wa kila jambo. Matokeo yake, biashara inakuwa inamtegemea mtu mmoja. Akiondoka, mambo yanasimama. Akiumwa, biashara...
  6. England mpiga penalty ni mmoja tu?

    Sikumbuki last time Kane yupo uwanjani hafu penalty apige mwingine
  7. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
  8. U

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Sasa leo kwa mfanyo Malaika mkuu kaagizwa na mbingu mkiambiwa muunde serikali mtawezaje wakati ham a hata mbunge mmoja? Si bora mngeingia kwenye uchaguzi angalao mngeambulia wabunge wachache Huo ndiyo ukweli hata kama mtanuna Jioni njema
  9. Tatu Senkondo: Mwaka mmoja umepita bila kumwona mume wangu aliyechukuliwa na watu wasiojulikana

    Deogratius Mushi *** Ukiwa umepita mwaka mmoja tangu zilipotokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tatu Senkondo, mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam, anaishi katika maumivu na sintofahamu kufuatia kutoweka kwa mumewe, Deogratius Mushi, aliyedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana...
  10. Juzi nilimtumia Binti yangu mmoja mstari fulani kumkumbusha na wewe mtumie binti yako mstari huu umkumbumbushe

    Nimesikia kuna tukio limemtokea binti mmoja ambae alikutana na kijana wa hovyo Muhuni akamfanya nae mapenzi kisha akamchukua video huku akiwa anamfanya hicho kitendo bila kuona aibu. Kwa wakati huo naona wengi wamekua wakiongea kusema kijana amefanya tendo la uovu na haikua sawa au jambo sahihi...
  11. Mgawe asimulia kukamatwa, kupigwa na kushikiliwa Polisi mwezi mmoja

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibamba, Ernest Stanley Mgawe, amesimulia namna alivyokamatwa na Polisi mara mbili mwaka 2025, akidai kuwa katika tukio la pili alichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwake, akapigwa wakati wa mahojiano na kusababisha ashindwe kutembea kwa wiki mbili. Mgawe, ambaye pia...
  12. A

    Polisi Tanzania wazidi kutamba kimataifa; mmoja aibuka bora katika wanafunzi 139 kutoka mataifa 29, mwingine awabwaga wenzake 200 nchi zinazozungumza

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  13. A

    Polisi Tanzania wazidi kutamba kimataifa; mmoja aibuka bora katika wanafunzi 139 kutoka mataifa 29, mwingine awabwaga wenzake 200 nchi zinazozungumza

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  14. Diwani Alhaj Dunga: Nitakuwa Diwani wa watu wote sitamuacha nyuma hata mmoja

    Diwani wa kata ya Msaranga Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro(CCM),Alhaj Ally Pendo maarufu kwa jina la Dunga amefanyaka mkutano wa hadhara na wananchi wake na kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu achaguliwe kuwa Diwani wa Kata hiyo Oktoba 29 mwaka jana Mafanikio hayo yamejikita kwenye...
  15. O

    Watanzania Wawili na Mganda Mmoja Wakamatwa na Dawa za Kulevya za KSh3.6 Bilioni Kwale

    Polisi nchini Kenya wamewakamata raia watatu wa kigeni, Watanzania wawili na Mganda mmoja, kufuatia operesheni iliyofanikisha kupatikana kwa kilo 454 za dawa za kulevya zinazoshukiwa kuwa methamphetamine katika Kaunti ya Kwale. Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya KSh3.6 bilioni katika soko...
  16. Kuna nyakati maisha yanakupa majaribu mengi kwa wakati mmoja.....

    Wana JF, naomba mnivumilie kwa dakika chache. Kwa kweli nimefika kipindi ambacho hata kupata maneno ya kuelezea hali yangu imekuwa changamoto. Nimefiwa na baba yangu. Hili ni pigo ambalo si rahisi kulikubali wala kulizoea. Kuna pengo ambalo halizibwi kwa maneno, kuna kumbukumbu ambazo zinabaki...
  17. Kuna faza mmoja leo nlikua nae kwenye usafiri wa uma ananiambia itakua Hadi 2030

    Ndio kilichotokea. Kwamba kwakua hamuwezi anamuweka ndani Hadi amalize mda wake amuachie msala atakaekuja. Au yule faza alikua mtu wa mfumo
  18. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako..

  19. Ukumbi wa mahakama kuu mmoja hauwezi chukua watu zaidi ya 200, nawaasa wanaCHADEMA watulie tu nyumbani na kufuatilia hukumu kwenye media.

    Ukienda pale High Court masijala ndogo DSM ukumbi mmoja (open Court) Hauwezi chukua watu zaidi ya 200, hivyo kuhamasishana kwenda pale ni kusababisha demand kubwa ya nafasi kwa kila mtu ambayo inaweza leta mambo mengine yasiyotabirika. Sasa niwaase tu ndugu zanguni tutulie majumbani mwetu...
  20. Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako 🇹🇿

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…