The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.
Natafuta mwanamke aliyetayari kwa marriage si ngono. Sijawahi kuoa ila ninaye mtoto wa kike wa miaka 7. Umri wangu miaka 39.
Mbali na tabia njema, pia ninavutiwa na mwanamke maji ya kunde, mrefu wa kawaida, asiwe na asili ya unene maana mi ni mwembamba.
Awe mcha Mungu Mkristo wa dhehebu...
Mbali na jina lake Issa Haruna, jijini Mwanza, hasa eneo la Kirumba anafahamika kama Issa Mapilau kutokana na uwezo aliyonao wa kula chakula kingi.
Kwa sababu hiyo, pia mitaani wamempa majina mengi, baadhi humwita Matonge na wengine Mapleti. Issa mwenye uzito wa kilo 85 na umri wa miaka 27, ni...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni bachelors degree.
Ni mwajiriwa na nimejiajiri pia. Dini yangu ni Mkristo.
Nahitaji mke mwenye umri wa miaka 20-32. Dini awe mkristo
Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale akijibu swali la mtangazaji Salama Jabir wa Eatv kama kuna ukweli wowote wa habari zilizoeneaga kwamba amemtoa kafara mkewe ili apate ubunge Taletale amesema huo ni uzushi mtupu na alishaupuuza.
Babu Tale amesema hizo zilikuwa...
Natafuta mke
Sifa za muhitaji
.Mrefu
.Mweusi
.Diploma ya afya(mwajiriwa gov)
.Mwembamba kiasi
.Miaka 32
Naishi Dodoma mjin
Sifa anayehitajika
.Urefu wa wastan
.Maji ya kunde au mweupe
.Elimu kuanzia std 7
.miaka 26-30
Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli. Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi. Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie...
Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo.
Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda...
Kanisa la Kianglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji wa majukumu ya uaskofu pamoja na kuzuiwa kuwakilisha kanisa hilo kabisa kwasababu ya madai ya uzinzi. Bwana Ntagali alistaafu mwaka jana Machi baada ya kuhudumu kwa...
Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake.
Awali akizungumza na Newala FM Leo, mtoto wa marehemu Msafiri Hashimu amesema...
Jambo hili limeniumiza moyo sana.miaka ya nyuma waliokuwa wakisemwa sana kwa michezo hii ya matumizi kinyume na Maumbile walikuwa ni Zanzibar, Tanga na Mombasa.
Siku hizi na mikoa mingine wameiga.hasa Dar es salaam. Kwa Zanzibar,Tanga na Mombasa Tamaduni zao zilikuwa zinajenga kuwa binti...
Wanaume wengi wamejikuta wameoa wanawake ambao sio size yao. Wengine wakahisi kuachana ndio suluhisho. Ok, kwakuwa hili si tangazo twende kwenye points.
1. Mpigie kwa namba ngeni, kama akianza kwa kuuliza wewe nani? Hapo unaoa mwanamke asiye na akili za kutosha au unamuoa mtu mwenye tabia za...
Wadau wa humu JF habari za harakati na mapigo ya ada za January hii
Niende kwenye topic moja kwa moja... nilizaa na mke wa mtu tena wa rafiki yangu kwa siri na kwa makubaliano kwamba akifikia umri fulani wa kujitambua mama yake afanye whatever possible kum-link na mie baba yake halisi.
Mtoto...
Hi guys,
Leo hata sina mengi naomba tu kuuliza hili,
tunafahamu kuwa wanaume huwa mabingwa wa kutusifia wanawake, uwe umependeza, unanukia vizuri, au vyovyote vile inavyofaa kiheshima na huwa hawatazami huyu ni mke wa mtu ama mchumba wa mtu, huwa wana appreciate tu, na hakuna atakayelishangaa...
Hii nimeshuhudia kwa macho yangu katika moja ya clubs za usiku hapa mjini
Nikiwa na mshikaji wangu wa kiume tunafanya yetu club (pombe na kusmoke kwa saaana,huku tukiangalia matrako ya warembo wakiyatingisha tingisha)
Pozi letu lilikua counter,ghafla akaja jamaa mmoja na mwanamke mmoja,kwa...
Yasmin ni mwanamke mrembo. Tatizo kubwa alikokuwa nalo Yasmin hakuweza kuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja. Akiwa kwenye mahusiano, huyo mwanaume akisafiri lazima apate Kiserengeti cha kumliwaza. Hii ilipelekea mahusiano yake mengi yasifike kwenye ndoa baada ya habari kuvuja.
Alitokea...
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.
Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege...
Ndugu zangu wana JF huu ni mwaka wa pekee katika historia ya maisha yangu ni mwaka ambao natarajia kuaga rasmi katika chama kikuu cha useja na kupewa usajili wa kudumu katika chama cha wanandoa.
Japokuwa sina mchumba kwa sasa na kwa kuwa tunaishi kwa imani ni matumaini yangu kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.