mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Rafiki yangu mke wa mtu miaka 52 ana mimba ya chekibobu, mumewe yupo Netherlands masomoni tangu 2024 Dec

    Huyu rafiki yangu alikuwa mlokole kweli kweli, mtu wa maombi kwelikweli, amejawa na Roho wa Bwana. Baada ya mume wake kusafiri, siku moja tukawa tumetoka naye out kuna kitu very weird nikakiona, aliagiza Savannah, nikajidai kama sijaona kitu. Akajiongelesha, nataka nitest leo inafananaje. Basi...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kubeba mimba ya mwanaume bila makubaliano ni ukatili kwa Wanaume. Iwe kosa la jinai

    KUBEBA MIMBA YA MWANAUME BILA MAKUBALIANO NI UKATILI KWA WANAUME. IWE KOSA la JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii ishu lazima tuizungumzie mara kwa mara mpaka izoeleke akilini. Na wanawake wajue ukatili wanaoufanya. Ni kama ubakaji hivi. Unabeba mimba ya mtu bila ridhaa yake. Huo ni...
  3. realMamy

    Rafiki wa Mume wangu............

    Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12 sasa hivi. Changamoto kubwa kwenye ndoa yangu ni kwamba mume wangu ni mtu wa kununa, kukasirika na kusikiliza sana marafiki. Ana rafiki yake mmoja ambaye tangu tuoane amekuwa akimsikiliza kuliko hata mimi mke wake. Mara nyingi tukigombana, hata tukikaa na...
  4. IIT MWASISI OS

    Janga juu ya janga: Kufunga shule miezi miwili bila viboko wala vipima mimba ni bomu linalosubiri kulipuka!

    JANGA JUU YA JANGA: KUFUNGA SHULE MIEZI MIWILI BILA VIBOKO WALA VIPIMA MIMBA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA! Habari wakuu wa Jukwaa la Elimu na Jamii kwa ujumla, Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika sekta yetu ya elimu na malezi ya vijana wetu nchini. Hata hivyo, ukiunganisha matukio matatu...
  5. Dogoli kinyamkela

    Waliowapa mimba na kuwatelekeza ni wanaume Wanaofanya kampeni ya kutowaoa ni wanaume Nashindwa kuwaelewaaa

    Waliowapa mimba na kuwatelekeza ni wanaume Wanaofanya kampeni ya kutowaoa ni wanaume Nashindwa kuwaelewaaa
  6. Frank Wanjiru

    Apata mimba live akiwa kanisani kwa Mwamposa.

    Mwanamke mmoja alijikuta akipata ujauzito akiwa live kanisani kwa mtume Boniface mwamposa. Mwanamke huyo ambaye ujauzito wake ulipotea mwaka jana mwezi wa saba kwa mazingira ya kutatanisha amejikuta ujauzito wake ukirejea akiwa live ibadani kwa mwamposa. Mama huyo anasema aliingia ibadani...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Kama hujaolewa ni Marufuku kubeba mimba. Na ukibeba mimba bila ndoa utalea mwenyewe.

    KAMA HUJAOLEWA NI MARUFUKU KUBEBA MIMBA. NA UKIBEBA MIMBA BILA NDOA UNALETA MWENYEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba Mtemi! Mkicheka na nyani mtavuna mabua. Endeleeni kuchekea huu umalaya unaondelea mkifikiri ukikomaa mambo yatabaki yalivyo. Hayatabaki hivi yalivyo. Sheria itungwe...
  8. O

    Mvutano Kwenye Mtandao: Mzungu Agoma Kulea Mimba Aliyosingiziwa

    Hivi karibuni, kanda ya video imeibuka mtandaoni na kusambaa kwa kasi ikimuonesha mzee mmoja wa kizungu akiwa na ghadhabu akieleza masaibu yaliyomfika baada ya kudaiwa kupewa ujauzito na msichana mdogo. Kulingana na mzee huyo, baada ya miezi minne kupita tangu awasiliane na msichana huyo...
  9. W

    Gen Z Akasirishwa na Mamake Kushika Mimba - Umeshakuwa Mtu Mzima, Ghafla Mama Yako Anakuambia Ana Mimba: Utajisikiaje?

    Video inayosambaa mitandaoni inaonyesha kijana akimwambia mama yake mjamzito kuwa hataki apate mtoto mwingine. Tukio hilo linaibua mjadala kuhusu hisia za watoto wakubwa pale wazazi wanapoamua kupata watoto wengine baada ya wao kukua. Kwa mtoto mdogo, kupata ndugu mpya kunaweza kuwa jambo la...
  10. K

    Mikoa inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kwa mujibu wa shirika la UN

    Taarifa kwa mujibu shirika la umoja wa mataifa la idadi ya watu UNFPA limefanya utafiti kutambua mikoa ya Tanzania inayoongoza kwa mimba za wasichana wadogo kuanzia miaka 15 mpaka miaka 19 Na haya ndio matokeo kulingana na mikoa ya Tanzania Na pia imetoa utafiti wa mikoa ilikuwa na viwango vya...
  11. Godoro la kioo

    Kuna mimba kweli hapa au ndo najazwa kwenye mfumo

    Salam wakuu. nisiwachoshe moja kwa moja kwenye mada Wakuu kuna binti nimekuwa nae karibia miezi sita Sasa miezi kama miwili iliyopita aliniambia mara nyingi amekuwa ni mtu wa kujisikia hovyo, nikamuuliza anijisikia hovyo kivp Akasema amekuwa ni mtu kuhisi kichefuchefu, muda mwingine...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Akili ni kama mimba tu, eidha una akili au hauna. Hamna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Akili ni kama mimba tu, aidha unayo au huna. Hakuna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  14. M

    Anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na mwanamke kutoshika mimba anitafute

    Jamni niko Dar nina dawa ya ukweli kwa wale wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo,ndani ya wiki utakuwa umepata jibu Na kwa wanawake ambao hawashiki ujauzito,mwenye uhitaji anafwate inbox
  15. Dogoli kinyamkela

    Wewe ambae mke wako aliombewa akapata mimba pasipo kulala nae pegea Yeso makofe matato tafazale

    Wewe ambae mkewako aliombewa akapata mimba pasipo kulala nae pegea Yeso makofe matato tafazale🤣🤣
  16. Jannatul Firdaus

    Mambo Yazidi Kuwa Moto: "Aunti Lulu" Athibitisha Chanuo Kutoa Mimba na Kumshambulia Aliyekuwa Mume Wake

    Aunti Lulu alieleza kusikitishwa kwake na vitendo vya Chanuo vya kurusha kashfa na kumtukana aliyekuwa mume wake kwenye mtandao wa Instagram, ikiwa ni pamoja na kudai kuwa mwanaume huyo ameishiwa fedha za kurudi Dubai na kutoa siri za ndani kama vile kudai kuwa anakoroma wanapolala . Pia, Aunti...
  17. Alexido jz instagram

    Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

    Ukimuona Maua Sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee. Maua na Zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali Wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
  18. O Diafro

    Unapolalamika kulea mimba, basi mhurumie Nii Ordatey Lamptey

    "Nilipokwenda kuchukua majibu kwa daktari aliniuliuliza ni miaka mingapi tuko pamoja[kwenye ndoa], nikamwambia miaka 21. Kisha akaniambia moja kwa moja: 'watoto siyo wako'. Nilikuwa natetemeka...". Aliongea Lamptey aliyeshindwa kuyazuia machozi mara kwa mara katikati ya kipindi cha Tv, cha...
  19. Kevzy

    Mpaka mwakani mwezi wa sita nisipooa, nitawajaza sana mimba

    Nimechoka wakuu Kazi,majukumu na miangaiko nikajiwekea ngoja nitafute chapaa kwanza niache kuoa mpaka nitakapojipata, nikajiwekea nisipate mtoto mpaka nitapojipata nioe kwanza ndio niangaike na kujenga familia Sasa naona umri umeshaenda kibunda hakipatikani kadri mda unavyoenda naona...
  20. tpaul

    Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa Mtume Boniface Mwamposa, maarufu kama Bulldozer. Bikira Mariamu alipata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na kumzaa Yesu. Je, huyu mfuasi wa Mwamposa atamzaa Yesu wa pili? Hebu...
Back
Top Bottom