mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Natafuta Mfanyakazi za Mashambani/Mchungaji

    Habari za leo wakuu Kama kichwa cha habari hapo uu kinavyoeleza, inamuhitaji huyu mzee kufanya majukumu yafuatayo: 1. Awe muwakilishi wangu shambani na awe kama ndie mwenye nyumba na mmiliki wa mali zote (mashamba, mifugo na nyumba zingine zilizo karibu na hayo mashamba) 2. Kua msimamizi mkuu...
  2. R

    Polisi yaendelea na Uchunguzi Mchungaji aliyetekwa Arusha

    Akizungumza na Mwananchi leo, Jumanne Juni 17, 2025, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ili kubaini ukweli wake. “Bado uchunguzi unaendelea kufanyika ili tujue uhalisia na ukweli wenyewe na tutaangalia kama alitekwa au kuna...
  3. Mchungaji Hananja anajilipua kuhusu Gwajima, asema unapokuwa Kiongozi unatakiwa uwe na uvumilivu

    https://www.youtube.com/live/s50bQ_jh8Us
  4. Mchungaji Abiud Misholi: Enyi watawala unaiba matrilioni ya fedha na masikini wanaangamia hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako Mungu anataka haki

    "Mali mnazoziiba leo mtazifaidia kwa muda mchache, enyi watawala hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako, huna adabu utahukumiwa. Mnatesa mayatima, mnatesa wajane, mtaibia wanyonge, Mungu anataka heshima, Mungu anataka haki. Naongea na viongozi mnisikilize viongozi wa nchi, mlio wezi mnisikilize...
  5. Mchungaji SDA: Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana, akoleza moto asema anayeua na kubambikiza kesi ni sinagogi la Shetani

    "Mtu mmoja akasema kiongozi fulani ni Mungu, nikashika mkono Tanzania hapa? Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana" "Yoyote anayejua kwamba kuua ni dhambi na akaaua akachukua roho ya mtu, amegeuka kuwa sinagogi la shetani, yeyote anayedhani kufunga mtu bila kosa ni dhambi...
  6. Mchungaji wa Malawi Dr. Ian Ndlovu alitaka Waumini wake wamuombee Mama Samia miaka 3 ilopita

    Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo. Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu. Mungu huwafunulia Watumishi wake juu ya mambo mbalimbali yatayotokea, na Mungu anapomfunulia Mtumishi wake, sio...
  7. PUBLIC NOTICE: Mch. Josephat Gwajima yupo anaendelea na maombi aliyotangaza Juni 1 - (7 days uninterrupted Fasting and prayers) toka 2 - 8/6/2025 !

    Watu wanauliza na ku - speculate Askofu Gwajima alipo na anafanya nini... Wengine kina DC wa Ubungo mhuni Albert Msando wanadhani na kudai labda Mchungaji wetu kajificha eti kwa kuwaogopa polisi.. Anadai kama ana haki na yuko sahihi, basi ajitokeze na kueleza nini kimetokea hadi ikawa vile...
  8. KENYA: Mchungaji achomwa moto na Wananchi kwa kosa la Kumlawiti Mtoto

    Mchungaji huko Nyeri anayeshutumiwa kumbaka mvulana wa miaka tisa ameuliwa na wanakijiji wenye hasira. Simon Ndegwa, ambaye alikuwa mchungaji katika kanisa la True Disciple Ministry na anayefahamika vizuri na familia ya mvulana huyo, anashukiwa kufanya kitendo hicho cha kinyama kwa wavulana...
  9. Mchungaji Gwajima, hukuthubutu kunyanyua mdomo, iliyokuwa awamu ya tano, tukuelewaje?

    Maneno ya Gwajima leo! ⏬ ======= "Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima "Lakini Sasa Mimi ni Mtu wa Staha Siwezi kumuaibisha Mtu na ndio maana Umeniona almost miaka Minne nimekuwa kimya kwa...
  10. Mchungaji Msigwa upo wapi? Wenzako wanaopoa vyeo huku.

    Huyu aliyekuwa kada maarufu wa Chadema, baada ya kushindwa uchaguzi na kutokomea ccm, mchungaji msigwa yupo wapi? Mshitueni wenzake wameanza kuopoa vyeo huku, je! Yeye alitoka kindezi? 😀😀
  11. Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
  12. PreGE2025 Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana

    Mchungaji wa kanisa Huduma ya Kristo lililopo mtaa wa FFU kata ya Murieti Jiji Arusha Steven Jacob mwenye umri wa mika 35 ametekwa na watu wasiojulikana asubuhi ya leo Tarehe 16 May 2025 wakati akitoka nyumbani kwake Wakizungumza mashuhuda na majirani wa eneo hiyo akiwemo baba yake mzazi ambaye...
  13. Kwa kweli mtoto wa mchungaji ameniletea Roho ya Kishetani sana..

    Nimeingiwa na Roho ya Tamaa sana baada ya kuona video jongeo ya mtoto wa pastor Yule si mtoto wa 2009 kabisa? Shetani pita kaa mbali nisije kwenda Jela😅😅😅
  14. Ukirudi kiimani mchungaji aliyemuua mke wake baada ya kugundua ni transgender anahesabika kama ametenda dhambi

    Kuna stori inatrend ya mchungaji kumuua mke wake baada ya ndoa na kugundua ni transgender mwamba akuchelewesha kufanya maamuzi magumu je kiimani mchungaji atapata baraka ama dhambi kwa kitendo Cha kuua mwanaume aliyejibadili kuwa Mwanamke
  15. Mchungaji Eliona Kimaro: Hatuna shida na amani tuna shida na haki

    Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana. Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION. kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI...
  16. K

    Naomba kujua Elimu ya Padiri Mchungaji au Shehe, mpaka kufikia kwenye cheo alichonacho

    Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo, Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
  17. Huyu Mchungaji alimkosea sana jamaa angu

    * tuliambiwa tu some SAYANSI tukakataa. Jamaa amekaa siti ya mbele kabisa na mchumba ake pale ibadani.... pastor anaendelea na mahubiri. . Ghafla pastor kamnyoshea kidole Shemeji angu (yule Binti)... AKasema "BINTI... MUNGU AMEKUBARIKI ... UTAOLEWA NA ENGINEER" Watu wanashangilia ... Ali...
  18. J

    Sababu za Kumheshimu Mchungaji Wako

    Sababu za Kumheshimu Mchungaji Wako Mchungaji ni Nani Wachungaji ni watu maalum walioteuliwa na kuchaguliwa na MUNGU kulichunga na kulilisha kundi lake kupitia mafundisho ya Neno la Mungu, maonyo na Maombi (Yohana 21:15-17). Na hawa wanafanya kazi mfano wa zile za kikuhani katika nyumba ya...
  19. K

    Chama kinachoshinda ndicho huunda Serikali na kuisimamia

    Mheshimiwa Mchungaji, Najaribu kufikiri tu mifumo yetu ya kiutawala. Chama kinachoshinda ndicho huunda Serikali na kuisimamia. Zamani hatukuwa na wasomi, kwa sasa wasomi wapo — tatizo ni kubebana katika kupeana position kunafanya wenye kustahili kuachwa na wasiostahili kupenya. Tiba ya haya ni...
  20. Mama amshika pabaya mchungaji, Mungu kasema unipe laki sita

    Wakuu Mungu kasema na Mama ajabu mchungaji anajianya hasikii.😁😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…