mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    Rubby: Wakati naombewa Mchungaji alininong'oneza anguka nikaanguka

    Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini, Hellen Majeshi maarufu Ruby, amefunguka kituko alichowahi kukutana nacho wakati anaombewa. "Wakati naombewa mchungaji alininong'oneza sikioni, Anguka, anguka. Nikaona isiwe tabu acha nijiangushe mambo yasiwe mengi" Amesimulia Ruby.
  2. EricMan

    MCHUNGAJI: Hatuna mashaka na serikali yetu na hatuko tayari kugombana na yeyote usituingizie maneno

    Katika msiba wa mtoto aliyefariki kwa kupigwa risasi Oktoba 29, mchungaji ametoa ujumbe aliotaka kuufikisha kwa waliohudhuria msiba huo. Mchungaji huyo alisema hawana mashaka na serikali yao na hawako tayari kugombana na mtu yeyote, huku akisisitiza kuwa watu wasiingize maneno. Kauli hiyo...
  3. C

    Marekani: Mchungaji akutwa na hatia mauaji ya Rais Moise

    Mchungaji mmoja kutoka jimbo la Florida nchini Marekani amepatikana na hatia ya makosa kadhaa yanayohusiana na mauaji ya aliyekuwa Rais wa Haiti, Jovenel Moïse. Christian Emmanuel Sanon, raia mwenye uraia wa Marekani na Haiti, amekutwa na hatia ya mashtaka yote manane yaliyokuwa yakimkabili...
  4. ephen_

    Nilihuzunika sana na mchungaji wangu

    Jumapili iliyopita nikasema niende zangu kanisani. Ibada ilikua nzuri ilibamba. Changamoto ikaja muda wa neno mchungaji kapanda madhabahuni fresh tu, neno lilienda ikafika muda hata kipofu angeona suruali kwa mbele ikawa imetuna. Binafsi niliona aibu kama vile pale mbele nimesimama mimi...
  5. U

    Picha mbalimbali za Mchungaji Mwandamizi wa Kisabato aliyehukumiwa jela miaka 10 kwa kushiriki mauaji ya kimbari ya Rwanda kuachiliwa mwaka 2006

    Elizaphan Ntakirutimana Elizaphan Ntakirutimana (Mchungaji mwandamizi wa zamani wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Rwanda): Alihukumiwa kifungo cha miaka 10 jela mwezi Februari 2003 na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ajili ya Rwanda (ICTR) kwa kosa la kusaidia na kuwezesha mauaji ya kimbari...
  6. Carlos The Jackal

    BAK Mwabukusi, Mchungaji Msigwa, Masikio ya HECHE yanawahitaji sana hasa katika kipindi hiki ambacho Wauaji wa Oktoba 29 Wanapambana kulikua Chama!!.

    Mnaowajibu Mkubwa sana , nyinyi ninawaelewa vizuri, Ukuu wa Akili zenu ni hazina kwa Chama. Mara chache niliofanikiwa Kuzungumza nanyi kama mdogo wenu, nimegundua Akili zenu ni Uhalisia wa maono na Principles za Mwenyekiti TUNDU LISSU. Ni wakati wa kumkumbatia Mh HECHE, HECHE anahitaji kua...
  7. C

    Mchungaji nchini kenya ahukumiwa kifungo cha miaka 200 kwa kusababisha vifo vya watu 191

    Mahakama nchini Kenya imemhukumu mchungaji Paul Mackenzie kifungo cha miaka 200 jela baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha vifo vya watoto 190 na mtu mzima mmoja kupitia ibada ya kufunga kula chakula. Mackenzie amehukumiwa kifungo cha miaka 100 kwa kila moja ya makosa 183 ya kuua kwa njaa...
  8. R

    Busara za Mchungaji Msigwa kwa Rafiki yake Lema: MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI

    MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI- kwa rafiki yangu Godbless Lema. Rev Peter Simon Msigwa Ndugu na rafiki yangu Lema, baada ya kuzungumza na vyombo vya habari, ninaona sasa umesimama mbele ya mahakama mbili muhimu sana katika maisha ya mwanadamu: Mahakama ya Umma na Mahakama ya Dhamiri...
  9. Frank Wanjiru

    Mchungaji adai mume wa Zari bado yupo hai

    Mchungaji Mondo Mugisha ameibua mjadala mpya kuhusu kifo cha mfanyabiashara na aliyekuwa mpenzi wa Zari The Bosslady, Ivan Semwanga, baada ya kudai kuwa bilionea huyo hakufariki dunia kama ilivyoripotiwa mwaka 2017, bali bado yuko hai na amejificha. Kupitia video iliyosambazwa kwenye mtandao wa...
  10. R

    Mchungaji Msigwa amwaga mboga CCM

    Msikilize kama una MB za kutosha
  11. Alexido jz instagram

    Mama Mchungaji Pinela Justine awatoa udenda mafisi, noma saaanaa

    Huyu ni mama MCHUNGAJI, na hutoa neno la mungu lakini Kuna mambo ambayo huwashangaza watu, muonekano wake na picha zake ikizingatiwa kajaaliwa shepu MAFISI hoiiii, na UDENDA kuwashuka tu
  12. Mhaya

    Mtangazaji auliza mchungaji "Kwa nini mapepo ushika Maskini, na kila Jumapili watu hao hao utolewa mapepo"?

    Katika moja ya video clip inayotembea kwa kasi ni namna mtangazaji na mchungaji kutokea Kenya walivyoingia kwenye mabishano makali wakati mtangazaji akitaka kujua kwa nini Mapepo ushika maskini pekee, na si matajiri. Na akaenda mbali na kusema watu hao hao ndio ushikwa na mapepo kila jumapili.
  13. C

    Hukumu kwa mchungaji wa Kenya anayetuhumiwa kuamuru wazazi kuwanyima watoto wao chakula hadi kufa inatolewa leo

    Mahakama moja nchini Kenya inatazamiwa kutoa uamuzi katika kesi ya mauaji ya halaiki inayomhusisha mhubiri wa dhehebu la mwisho wa dunia (doomsday), Paul Mackenzie. Mackenzie na wafuasi wake 29 wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya watoto 191. Dhehebu lake linadaiwa kuwalazimisha watoto kufa...
  14. Mhaya

    Mchungaji: Baba ndio anapaswa kutoa Baraka kwa watoto na si Mama

    Moja ya mijadala iliyokuwa na maoni mbalimbali ni hii video clip ya Mchungaji mmoja nchini Tanzania akisema kuwa Baba au Mwanaume ndio anapaswa kutoa Baraka na si Mama. Watu wengi wameunga mkono na wengine kupingana nae. Wengine walienda mbali na kurejea visa mbalimbali kwenye biblia Mwanzo...
  15. O

    Watoto 4 Wateketezwa kwa Maji Moto Wakati wa Ibada ya Kufukuza Pepo Bondo, Mchungaji na Viongozi Wawili Wakamatwa

    Mchungaji na viongozi wengine wawili wa kanisa la St Abraham Assemblies of God, linalojulikana kama Sayuni, wamekamatwa baada ya watoto wanne kudaiwa kuunguzwa kwa maji moto wakati wa ibada ya kufukuza pepo wabaya. Kwa mujibu wa taarifa, watoto hao walipata majeraha makubwa ya kuungua baada ya...
  16. R

    Mchungaji Msigwa tells police: The evils that you did to Tanzanians on 29th October, 2025 will haunt you to the grave

    Ujumbe wa Mchungaji Msigwa
  17. Ibilisi Mjalaana

    Mchungaji ampa kipondo kikali kondoo wake kanisani

    Sina mengi angalia mwenyewe, lakn najua chanzo ni sadaka au mchungaji anakula kondoo ya huyo mwamba
  18. tpaul

    Mchungaji Shayo: Michango ya harusi ni ushamba; usitoe mchango wowote

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwachelewesha. Watanzania tumezoea kuchangiana wakati wa shida na raha na utamaduni huu tumedumu nao tangu enzi za mababu zetu hadi sasa. Pamoja na ukarimu uliopo miongoni mwa watanzania, eti mchungaji huyu hapa chini anapinga kabisa mambo...
  19. Zack Abdul

    Mchungaji Kinyerezi asifu Serikali kwa msaada ajali ya Bahi

    Mchungaji wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Mtaa wa Kinyerezi, Mchungaji Maotola Lumbe, amemshukuru Waziri Mkuu na Serikali kwa msaada walioutoa baada ya wanakwaya wa kanisa hilo kupata ajali eneo la Bahi, ikiwemo kuwezesha waliokuwa wakihitaji matibabu zaidi kusafirishwa hadi Dar es Salaam...
  20. bless on

    Mchungaji Ajambiana Kanisani Kuponya

    Limpopo, Afrika Kusini — Mchungaji Christ Penelope, mwanzilishi wa Seven Fold Holy Spirit Ministries, amekuwa gumzo baada ya kuhusishwa na njia isiyo ya kawaida ya kuwaombea waumini wanaotafuta uponyaji. Inadaiwa kuwa wakati wa ibada hiyo, mchungaji hukaa juu ya uso wa muumini na kumjambia...
Back
Top Bottom