mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Wadau wa Kariakoo napataje frem nzuri iliyopo mbele

    Mambo vipi wadau, natafuta frem nzuri iliyoko mbele Kariakoo. Karibuni wadau kwa maelekezo zaidi.
  2. Mungu hawezi kukuokoa mbele ya Mwanamke aliyeamua kukuangamiza. Unajua ni kwa nini?

    MUNGU HAWEZI KUKUOKOA MBELE YA MWANAMKE ALIYEAMUA KUKUANGAMIZA. UNAJUA NI KWA NINI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ni siri hutokuja uambiwe popote. Na leo nitakuambia. Mungu anaweza kukuokoa dhidi ya serikali. Mungu anaweza kukuokoa dhidi ya majambazi yenye silaha. Mungu anaweza...
  3. S

    Jicho la tatu: Nchimbi kujiuzulu na kutoonekana hadharani, alKitangulia mbele za haki kwa natural death, watakwepa lawama?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote. NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa ya kiutu uzima kama vile pressure au kisukari, basi risk inaongezeka na hii ni hatari zaidi...
  4. Kama Dk Nchimbi amefukuzwa CCM kama mbwa, we kidampa usie na mbele wala nyuma unahangaika nini kusifia uovu wa CCM

    Nchimbi ni mmoja wa Watanganyika walioipambania CCM tangu akiwa kijana mpaka leo hii anakuja kufukuzwa kwa kuktaa uchawa na kupinga maovu We kidampa ambae kumiliki tu smart phone unajiona CCM mali ya baba yako na kutetea uchawa na uovu una nini cha maana?
  5. CHADEMA Vs CCM Mitandaoni: Uchambuzi wa Kudorora kwa Ushawishi wa Chama Tawala mbele ya Nguvu ya Hoja Kidigitali

    Wakuu, Kufuatia mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini, kuna mjadala mzito unaoendelea kuhusu "nani zaidi" kwenye makali ya hoja mitandaoni (X, JF, TikTok, na Instagram) kati ya CHADEMA na CCM. Ukweli uliopo ni kwamba CHADEMA inatawala mijadala kwa kasi na ushawishi mkubwa wa kisaikolojia, huku...
  6. M

    Ndejembi atakula mafao na pensheni kwa miaka mingapi mbele!?

    Katika hizi teuzi za nafasi kubwa serikalini ni vizuri kuteua watu ambao umri umeenda kidogo ili kulipungizia Taifa gharama ya kuhudumia Wastaafu kwa miaka mingi ijayo. Mtu kama Ndejembi akiwa makama wa Rais Sasa kwa miaka mitano tu na yuko below 60 hata Nchimbi for God sake watakula hizo 80%...
  7. Hitimisho la Tundu: Antipas Lissu mbele ya Mahakama...

    Wakuu ! Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia. Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda Bado hata Mashahidi wa Jamhuri...
  8. Natafuta Bampa la mbele la Chaser Avante/GX100

    Natafuta bampa liwe jipya au used la gari aina ya chaser avante au gx 100 mwenye nalo tuwasiliane Natanguliza shukrani...
  9. Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

    Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
  10. Bashe alimchoma Mpina mbele ya Rais huku nyumba uhalifu ulifichwa?

    Nakosa majibu kati ya Bashe na Mpina nani alikuwa mwalifu? Nimekosea heading!!
  11. M

    Alijidai fundi jikoni, akaaibika mbele ya wageni wake. Umewahi pika chakula kibaya?

    Siku moja shangazi yetu alituambia kuwa atakuwa na wageni wa muhimu wanakuja kumtembelea nyumbani ivyo tuweke mazingira sawa kwenye kila kitu kusiwe na dosari kama mjuavyo nyumba ikiwa na watu wengine inakuwa na hekaheka inahitaji kurekebishwa mpangilio. Basi tukafanya hivyo huku yeye akienda...
  12. G

    Nawapongeza viongozi wa Chadema wa mstari wa mbele wa kutetea haki na Demokrasia nashauri imarisheni mfumo wa uongozi hadi vijini

    Nchi yetu ni nchi ya demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia inaleta ushindani wa hoja sera mawazo Bora zaidi ya kujenga nchi yetu. Viongozi wa Chadema wanastahili pongezi ya kukubali kukaa mstari wa mbele kutetea haki na Demokrasia KATIKA nchi yetu. Sisi kama WAZALENDO tunatamani tuone vyama...
  13. A

    KERO Wafanyabiashara wamechoka kuwekewa taka mbele ya maduka Eneo la Darajani, Vikokotoni

    Wafanyabiashara wa eneo la Darajani, Vikokotoni wanaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukusanyaji wa taka mbele ya maduka yao. Licha ya kulipa pesa za taka kwa Manispaa kupitia tozo zinazojumuishwa kwenye leseni za biashara, taka zinaendelea kuachwa mbele ya maduka baada ya wafagiaji...
  14. Abiria wanaopenda siti za mbele Wana roho ngumu kinoma

    Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa kurudi unawahi tena siti ya mbele. Brother unaweza kuvaa mabomu na kujilipua wewe ni gaidi.
  15. Q

    PostGE2025 KATAVI: Kiongozi wa CHAUMA avaa nguo za CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche mbele ya waandishi wa habari

    Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche. Nafikiri wanasheria wa Chadema waanze kuwachukulia hatua za kisheria watu kama hawa wanaojipachika vyeo bandia...
  16. Bidhaa 5 za Teknologia zilizoko mbele ya muda sana

    Binadamu amefikia hatua ya kushangaza katika kutumia sayansi na teknolojia kuunda bidhaa mahiri zinazorahisisha maisha, kuokoa muda na kupanua uwezo wa asili wa mwanadamu. Kile kilichokuwa ndoto ya mbali sasa ni uhalisia unaoshikika. 1. Friji kama Samsung AI Fridge haihifadhi chakula tu...
  17. Inasikitisha sana kuona watu wanaweka matumbo mbele na kuiacha Tanzania nyuma

    Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani. Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa. Kumtumikia kiongozi wa juu ni utumwa tumikiwa wananchi.
  18. Yoyote anayemtuhumu HECHE , mwenye Ushahidi, auweke wazi mbele ya Vyombo vya Habari !! Kwann mnamtuhum Kwa maneno maneno?.

    Mtu anaitwa Vyombo vya Habari, anasema, HECHE anakula Hela za TONETONE. unakuta Mtu huyo, anajikita ni Katibu wa BAVICHA Nanjilinji. Yaan wewe wa Nanjilinji hukoo maporin, unaanzaje Kufungua Kinywa chako kua HECHE Anakula Pesa??. Weka makaratasi Mezani !!!. Tuko na Heche mpaka Siku ya...
  19. Inaonyesha mivutano ya iran na USA tunaweza kuwa laumu ila wote wanatumiwa na watu ambao kila nchi kujiweka kama sio yeye

    Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
  20. Mdada yoyote mwenye makebo makubwa hauwezi mkuta rafiki yake ana makubwa yake bali huchagua mwenye madogo ili asishaini ndani yake mbele ya hadhara

    Wanawake ni wajanja sana. Wanawake wanajua kupangilia namna ya kuonwa. Kuanzia make up , nguo lakini pia watu atakao hang nao popote watakapo enda.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…