Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.
Serikali inaweza kwenda hospitalini na kujionesha inauchungu na wewe kusaidia kwa mda huo ila wakitoka ndio basi.
Kwa nini taasisi binafsi,watu binafsi,vikundi binafsi wakifanya kusaidia watu kama kuinua maskini,wenye matatizo na magonjwa.
Serikali wanakuja haraka na kuzuia na kudai pesa...
Hamjachelewa ni wakati muafaka kuirejea dini ya haki. Mungu ni mmoja tu Allah na Mohamad ndiye Mtume wake wa mwisho
Qur'an, Sura Al-Ma'idah, 5:116), Siku ya Kiyama Mwenyezi Mungu atamuuliza Nabii Isa iwapo aliwaambia watu wamwabudu yeye na mama yake kama miungu wawili badala ya Mwenyezi Mungu...
Ila ni kazi sana kutokuhukumu mutu, hasa unakuta mtu mwenyewe ndio huyu mshauri wa raisi South Sudan mambo ya usalama wa nchi.. mi naona usalama wa tumbo lake ni mkubwa sana ukilinganisha na wa Sudani.
Waafrica tuache kula Ugali tukizani ni chakula.
Rwanda ni nchi ndogo yenye watu takriban milioni 14 tu na haina hata bahari wala bandari (landlocked). Lakini katika robo ya pili ya mwaka 2026, uchumi wake umekua kwa asilimia 9.4%! Wakati huohuo, kufikia Oktoba 2026, mfumuko wa bei mijini umefika asilimia 19.5%.
https://youtu.be/V09ooCmyH3o...
Na. Dr Zack✍️
Haya mambo yanaumiza sana, imagine ndugu yako anafanya vitu vya hovyo unamshauri lakini hasikii eti kisa kutafuta umaarufu wa kisiasa.
Ukiwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ukakosa busara unaweza kufikiria wewe uko juu ya sheria, shujaa na mtu asiyegusika hata...
KUELEKEA SAFARI YA MARIDHIANO YA KITAIFA: RAIS SAMIA AFANYA MASHAURIANO NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo, tarehe 16 Novemba, 2026, amekutana na kufanya majadiliano na wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu jijini...
Hotuba fupi lakini yenye maana kwa kila neno. Kilichonishangaza ni makofi mengi kwake. makofi mengi haya maana yake nini?
Utasema naongea uchawa lakini hebu sikiliza mwenyewe hapa.
https://youtu.be/juimjW6PrDw?si=IH5XCbVEffcYZumv
""Hukumuni kile mlichopangiwa muhukumu""
----------------
Hii ndiyo kauli aliyoitamka pale mahakamani je,kauli hii haikuwa ni fedhea kwa mahakama zetu na vyombo vya haki?
Msaada wa kisheria tafadhali
Wakili msomi pascal mayalla Tusaidie juu ya hili,(Baba wakili msomi)
Hi
Je, ni sawa kwa wazazi kuvaa nguo au kuoga mbele ya watotot wenu wadogo kuanzia mwaka 1-7. Maana kuna wazazi bado wana kaa uchi mbele ya watoto wao waki amini hawajui kitu chochote, huku baadae watoto wakiwa na wenzao wana anza kusimuliana yale wanayo yaona kutoka kwenu
kuna namna ina...
These things have been planned.
Uchochezi hapo sasa na report ya jaji chande na lila zitaletwa mahakamani.
Kesi itapelekwa kwa mwendo wa kinyonga lengo kuu uchaguzi 2030 upite CCM ni watu katili sana.
NB
Rostam alishawahi kusema huwezi kupata haki katika mahakama zetu hizi zinazofuata maelekezo
Kuna watu tunawaheshimu sana. Labda ni boss wako, mwalimu wako, rafiki yako wa karibu, au hata mchumba wako. Unapenda kukaa naye, kusikiliza mawazo yake.
Lakini kuna changamoto moja ndogo...
Akiwa anakusemesha kwa karibu, unasikia harufu mbaya inatoka kinywani mwake. Ananuka kinywa!
Hapa...
Unapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo .
Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline .
Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa...
viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele
Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
fedha
harakati
katika
kitu
kuliko
mbele
misingi
msimamo
pesa
sana
siasa
siasa za upinzani
thamani
uaminifu
upinzani
viongozi
wachache
wachaga
wengi
wote
Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi.
Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa...
ZCO wa Kanda Maalum wa Dar, jana ametoa tamko la usalama kuhusu derby ya Kariakoo.
Watu kama hawa huwa hawaletwi kwenye spotlight bahati mbaya.
Huyu anaandaliwa wadhifa mkubwa kwa siku za usoni
Tujiandae…
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kuna kitendawili kinachoshangaza lakini kikitazamwa kwa kina kinaeleweka kijamii na kisaikolojia: mada zinazohusu ushangiliaji wa kisiasa au kijamii—maarufu kama "uchawa"—zinapata wafuatiliaji na mwingiliano wengi (engagements) na kujadiliwa kwa kasi kubwa...
JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani
JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia, JamiAfrica imekuwa na mchango mkubwa kwa jamii na Afrika kwa ujumla katika nyanja mbalimbali, ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.