UKABILA ni ushamba na ugonjwa wa akili. Udini pia ni ushamba na ugonjwa wa akili.
Sisapoti udini wala ukabila wala ukanda ila ninazungumzia uhalisia.
Mwanadamu hujiona yupo so much connected na mtu wa kabila lake au rangi yake kuliko mtu anae share nae dini yake ambae sio wa kabila lake...