mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanasheria aliyepelekwa mstari wa mbele Kharkiv baada ya kunusurika kifo asema harudi tena kupigana.

    Mwanasheria Ihor ambaye alichomolewa kutoka maisha ya kiraia na kupewa mafunzo ya wiki tatu kutoka vikosi vya NATO amesimulia kilichompata na kuweka msimamo harudi tena kupigana dhidi ya Urusi. Anasema siku hiyo mwanzoni mwa mwezi Agosti iliyopita ghafla alijikuta yupo katika ya mashambulizi ya...
  2. W

    Nilivyo sasa baada ya kumfuma mwamba akilia mbele ya wazee na mkewe ili asiachwe!

    Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!! Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke...
  3. Uchambuzi Yakinifu: Bila chuki wala kuweka utaifa mbele Khaligraph jones katisha sana

    1 kamwambia ukweli Young killer _ saivi yupo busy na mapenzi kuliko mziki (kuna time nilidhan Bongo hip hop ataiokoa) 2 Wakazi anaongea sana mitandaoni(apewe kaz wasafi media) 3 Nikki Mbishi (apa naisi kikosi kazi wote) __(wanafanya mziki mzuri lakini nidhamu ni kitu cha muimu ili msanii afike...
  4. C

    Mambo 20 ambayo yanatakiwa kujadiliwa ili nchi isonge mbele tukiwa wamoja

    UNAFIKI pembeni! Moja kwa moja kwenye ajenda. 1. Ni nani mshauri mkuu wa mambo muhimu na makubwa kwa Rais wetu kwa sasa?! Ni kina nani? 2. Biashara za koridoni na mwarabu zina kitu gani kikubwa hadi kufikia hatua hii? Kila sehemu ya nchi anatafutiwa mapande mapande ya ardhi, kuanzia bandari...
  5. T

    Sweden: Nakala ya Quran yachomwa moto na kudhihakiwa mbele ya Kasri la Mfalme

    Matukio ya kuchoma moto na kudhihaki kitabu cha Quran yameendelea tena nchini Sweden ambapo jana watu wawili walichoma moto na kuchana chana kanala za Quran hadharani mbele ya kasri la mfalme. Ikumbukwe wiki iliyopita waziri Mkuu wa Sweden alisema anasikitishwa na kitendo cha idadi kubwa sana...
  6. Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
  7. J

    Waziri Bashungwa: JKT tupo mstari wa mbele kuwapika vijana kushiriki katika kilimo

    BASHUNGWA: JKT TUPO MSTARI WA MBELE KUWAPIKA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO "Maono na uwekezaji Mkubwa unaofanywa na serikali ya Awamu ya Sita (6) inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Kilimo umeleta tija Kubwa sana katika Kilimo chetu Kwa sasa. Pia Sisi...
  8. Kwa wanasheria tuu: Advocate Mwabukusi dhidi ya Jamuhuri mbele ya Justice Mwakusanya(as then he was) hali ingekuwaje?

    Karibuni kwa mjadala
  9. L

    Rais Samia Songa mbele Mama, kuongoza Watanzania inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu maana ni vigeugeu

    Ndugu zangu watanzania, Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi...
  10. Mkuu wa Wagner akutana na viongozi wa Afrika mbele ya Putin, jamaa ameshindikana

    Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin...
  11. SoC03 Kuelekea Utawala Bora Tanzania: Kupiga Hatua Mbele

    Utalii, Teknolojia, Uadilifu, na Uwazi: Mabadiliko ya Kweli kwa Tanzania Tanzania, kama taifa lenye utajiri wa kipekee wa rasilimali za asili na utamaduni wake mzuri, ina fursa ya kipekee kuongoza katika bara la Afrika kuelekea utawala bora. Utawala bora unahusu maendeleo ya nyanja zote za...
  12. Kagera iko mbele kiufaulu, kielimu lakini kimaendeleo kama imetengwa na serikali

    Kagera iko mbele kiufaulu, kielimu lakini kimaendeleo kama imetengwa na serikali Shida ni nini!? serikali ,watu wenyewe wa kagera, ukanda, ubinafsi au laana?
  13. Kuna viongozi wa dini kwenye nyumba za Ibada, wanaongoza sala ya kuzuia mkataba wa DP, ajabu wakitoa maoni mbele ya makamera, wanaunga mkono

    Baadhi ya viongozi wa Dini huwenda hawana Roho wa kweli, Hawana msimamo, hawaelewi maelekezo ya Mungu kuhusu mambo ya watu wao, nchi yao na hata mambo yao wenyewe Haiwezekani kama kiongozi wa dini, ukiwa kwenye nyumba ya Ibada, unaongoza watu maombi ya kuzuia mkataba wa DPWORD Ajabu ukiitwa...
  14. A

    SoC03 Tukiwajibika kwenye Madini, TEHAMA nchi itasonga mbele

    Tukiwajibika kwenye madini na Tehama, Tanzania itasonga mbele Abeid Othman Kwa mujibu wa kamusi kuu ya Kiswahili toleo la pili la mwaka 2017, neno uwajibikaji linatokana na kitendo wajibika, ambalo kamusi hiyo imelitafsiri kama tekeleza jambo linalokulazimu kulifanya. Ni vigumu mtu binafsi...
  15. SI KWELI Uganda: Mwendesha bodaboda aliyekuwa amepakia ndizi na kukatiza mbele ya kundi la Simba auawa na kuliwa na simba hao

    Wiki mbili zilizopita kwenye mitandao mbalimbali ilionekana mwendesha bodaboda asiye na woga akiwaacha wengi katika mshangao baada ya kupita kwa utulivu katikati ya kundi simba wenye njaa wanaokula mnyama waliyemuua. Inasemekana baada ya kuwapita Simba, pikipiki yake ilipata hitilafu ambapo...
  16. Kwenye sakata hili la Bandari, Prof. Kabudi, Bashiru Ally, Humphrey Polepole jiandaeni kujibu mbele ya Mungu wenu kama mnamwamini

    Binafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao. Haijalishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali. Ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka...
  17. F

    CHADEMA songeni mbele kuziba ombwe la uongozi Tanzania

    Lissu endelea hivyo hivyo nimeona wafanyabiashara wamerelax na kujisikia huru zaidi pale Kariakoo. Kero zao zimesikika vizuri sana na wameonesha utulivu mkubwa Lissu alipokuwa anaongea nao. Nimegundua kuwa watanzania wa kada mbalimbali wanakosa viongozi wa kuwasikiliza. Sasa basi CHADEMA...
  18. M

    Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

    Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri...
  19. Hii ndio orodha ya mashirika yanayostahili kubinafsishwa bila hata kuuliza ili tusonge mbele

    Wanabodi wa jamii forums, Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania tungeishi maisha mazuri sana. 1. Mimi naanza na mashirika ya maji wakuu, maji kila siku yanakatika na...
  20. Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

    Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi! Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…