mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Kilichomponza Mwanakwerekwe, ni dada yake Halima kukata mauno mbele ya wakwe zake!

    Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea, atajikuta anapokea kichapo kisichokuwa na huruma kama Paka shume aliyekunya kwenye debe la Unga wa uwele...
  2. Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

    Heri ya nane nane wakuu Ebana,nimepokea kesi moja hapa mezani kwangu ikimhusu jamaa yangu flani hivi. Kesi yenyewe iko hivi,jamaa ameoa hawa totoz wa mjini na kamzalisha two kids za kiume.umri wa shemeji ni 30+ kwa kumkadiria but shemeji yeye pigo zake akiwa home huwa ni skin tight tu na mavazi...
  3. Ufirauni ni machukizo makubwa mbele za Mungu fanyeni toba

    Haya mambo kuingilia wanawake kinyume na maumbile kwa sasa yamekuwa ni fasheni lakini katika ulimwengu wa roho dhambi hii ni mbaya sana sababu utapofanya dhambi hii katika ulimwengu wa roho utaonekana kama mtu mwenye alama ya muhuri kwenye paji la uso wako yani ata siku utapokufa na unasogea...
  4. BASATA hawakuelewa matusi ya Harmonize mbele ya viongozi wa nchi?

    Katika vitu vya kushangaza ni hili la msanii harmonize kutaja matusi kwa makusudi tena kwa kurudiarudia bila ya kujali uwepo wa viongozi wa nchi siku ile ya yanga day. Nilitegemea angenyang'anywa kipaza sauti na waandaaji lakini ajabu haikua hivyo. Akaendelea tena na tena kutamka lile neno...
  5. Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

    Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
  6. U

    Nimeshangazwa kiapo cha ubatizo Kanisa la Sabato salasala, aliyejitoa kubatizwa amekula kiapo mbele ya Kanisa, ila ataenda kubatizwa nchini Marekani

    Wadau hamjamboni nyote? Sabato njema wapendwa Leo nimesali Kanisa la Wasabato salasala Kuna ratiba ya ubatizo muda huu ila hali imekuwa tofauti kabisa na tulivyozoea kuwa wabatizwa wakila kiapo hubatizwa hapohapo Kanisani Alijejitoa kubatizwa leo ni kijana mdogo akiwa pekeyake na amekula...
  7. Mwanaume kutamani kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake

    Hii imekaa kaaje wakuu? Nina rafiki yangu ambaye kila muda ninapokuwa naye anaongelea ngono tu. Ukikuta anaongea na simu, basi ni simu za mitongozo. Mifukoni kwake anatembea na condom, yaani kiufupi ananuka ngono Kila mwanamke anayekatiza mbele yake anatamani aloweshe dudu, yaani awe mmama...
  8. Hukumu ya wanaodaiwa kuchoma Soko la Karume yasogezwa mbele hadi Agosti 2, 2024

    Hukumu iliyotakiwa kusomwa leo Julai 26, 2024 katika kesi ya jaribio la kuchoma soko la wafanyabiashara la Karume, Kesi Namba 313 ya Mwaka 2023 inayomkabili Christina Elisha na mwenzake Mashauri Ulomi imesogezwa mpaka Agosti 2, 2024. Hukumu hiyo iliyotakiwa kusomwa na Hakimu wa Mahakama ya...
  9. Hii ndoa itadumu kweli?Baba wa bibi harusi amruhusu mkwe wake kurudi saa nane usiku mbele ya waalikwa

    Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini.. Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku... ,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume, Kichaa...
  10. D

    Ukweli: Yanga haina Mwanasheria. Eng, Hersi akiendelea nao hawa huko mbele watamfelisha pakubwa

    Simon Patrick: Mwanasheria wa Klabu ya Michezo ya Vijana wa Yanga na mkurugenzi wa kisheria wa Klabu ya Michezo ya Yanga, maisha yake yanga. Kesi Ngumu Simon Patrick amekabiliana na kesi zenye changamoto kubwa. Kutoka kwa migogoro ya mikataba hadi masuala ya nidhamu, amekutana na yote hayo...
  11. ID za waliotangulia mbele za haki zinakutafakarisha nini?

    kila mara nikikutana na ID imeandikwa "R I P" inanifanya niwaze mengi sana kitu cha kwanza kuwaza au kukumbuka ambacho ni cha kawaida ni kwamba sisi tunaishi kwa muda tuu ila kuna alama inaweza kubaki kwa muda mrefu zaidi, mfano kwa huku JF unaweza kutafuta kitu na ukakuta kuna mtu alianzisha...
  12. H

    Kuweka tinted kioo cha mbele cha gari

    Katika mazingira ya kawaida kuweka tinted sio tatizo na yapo baadhi ya magari huuzwa yakiwa nayo kutokata na kazi ya msingi iliyokuwa inafanywa na gari husika Ila sasa huku ULIMWENGU WA TATU imekuwa changamoto pale watu wenye nia ovu wanapotumia huo mwanya kufanya uhalifu Mfano: 1. Watekaji...
  13. Je kwa tukio la Msigwa, Lissu ataanza kumuheshimu Mbowe kwa kuipanga Kanda ya Nyasa na kuona mbele?

    Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo? Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda...
  14. Wanaume Ukraine waacha kwenda masokoni,mikahawani,shughulini na sehemu za ibada kuogopa kukamatwa kupelekwa mstari wa mbele

    Kaka Serhiy na dada Tania walikatisha kufanya harusi yao ufukweni mwa bahari wakihofia hali mbaya ya hewa.Hata walipoingia kwenye ukumbi walikoalkwa wageni kushuhudia harusi yao bado waligundua hali isiyo rafiki kwa furaha yao.Viti zaidi ya nusu vilikuwa ni vitupu ikiwa na maana waliohudhuria ni...
  15. Watanzania mbona hamtaki Kujibu Swali la Msingi lililopo katika Ukurasa wa Mbele kabisa wa Gazeti pendwa la Werevu Tanzania la MWANANCHI?

    Tafadhalini hebu lijibuni bhana kwani Watanzania wengi tusiosoma ( kama GENTAMYCINE ) tunahitaji Majibu yenu Ok?
  16. SoC04 Tanzania miaka 25 mbele

    Naipenda nchi yangu i: Ushauri kwa Serikali - “Tanzania Tuitakayo” Ndugu Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Sekta ya Elimu: Ili kuendeleza taifa letu, ni muhimu kuwekeza katika elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi vyuo vikuu. Serikali ihakikishe inaboresha miundombinu ya shule, kuongeza...
  17. Wakati afrika inawaza kupeleka mbele Afcon 2025 naiona Euro inayoongozwa na watu wenye msimamo iking'ra sana

    Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani. Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America. Namshauri...
  18. D

    Bacca after this season, apewe trial Ulaya. He is too good

    Kwa Tanzania Bacca mna tunachomdai? He is very good, naona next season Yanga wampe uhuru akacheze Ulaya hata trial tu. Wasting his potential at Yanga. Huyu hata Manchester United anapita.
  19. Mwanaume, usifanye mambo ya kijinga ukiachwa na mwanamke. Ishi maisha yako na usonge mbele

    Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao. Hii inasababisha wanaume: - Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata. - Wanapoteza mwelekeo wa maisha na kuanza kutokuwa na tija, kwa sababu ya kuvunjika moyo wengine...
  20. T

    PreGE2025 Maamuzi magumu yapo mbele ya wana Kidon wa Tanzania

    Taifa la Tanzania nakupenda nalipenda jeshi lake nawapenda wanausalama na wana Usalama wa Taifa letu teule Tanzania Tanganyika. Neno la Mungu lina sema mavuno yapo tayari mtoto anataka kujifungua mimba umefika miezi tisa. Mtoto huyo je ni wakwetu ama baba yake yupo nje ? Mtoto huyo ana nguvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…