The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.
Nimepitia reviews za Watanzania kwenye Google Play Store na Apple App Store kwenye app za nyumbani kuanzia M-Pesa, Halopesa, Mixx by Yas, Airtel, NMB, CRDB, Absa, Azam Max, StarTimes, DStv, Nala, na nyingine kibao nikagundua kitu kimoja kinachokera sana, asilimia kubwa, karibu 95%, ni watu...
Moja ya kitu sitamani watoto wangu wapitie hata kwa bahati ni kukosa ujasiri wa kueleza ukatili au mambo wanayokutana nayo au kukaribiana nayo kwa hofu kwamba wakieleza watapigwa.
Nimewafanya kuwa marafiki wawe huru kusema chochote hata kama kibaya ili kuweza kujua kwa undani maisha yao kwani...
Kuna jamaa yangu kwao walikuwa na Mandolin, sasa dingi yake alikuwa akiipaki jirani na mortuary ili isafirishe miili ya marrhemu.
Jamaa alivyomaliza tu form four, dingi akamrithisha kazi. Jamaa wakikodi, boss a.k.a mfiwa mtoa pesa za kukodi gari huwa anakaa mbele. Mimi huku nyuma nawatoza nauli...
Inashangaza kuona katika ujenzi wa barabara ya Morogoro, kipande cha Ubungo Maji hadi Kimara Mwisho, serikali inaweka pavings na sehemu nyingine kokoto kwa eneo la zaidi ya mita 4 kila upande. Uamuzi huu unafanya barabara kuwa nyembamba na finyu, ilhali gharama ya pavings hizo ingetosha kuongeza...
Kipindi cha jpm kazi za kujitolra watu walikuwa wanaaply kwa sasa hakuna kitu kama hicho. Ajira sasa hivi kila kona ushindwe mwenyewe. Jpm aliharibu nchi kiasi graduates wanaambiw awawe machinga lakini sasa hivi hakuna graduate machinga wala bodaboda nchii imekuwa tamu
Pemba, kwa miaka na miaka imekuwa ikiongoza kwa haya mambo ya kizandiki.kishetani. huko ndo nyumbani kwake.
https://www.instagram.com/reel/DgCTtUxtJ91/?bqrl=djJmejd5dGpmaTF5
NINAPOCHOKOZWA SERIKALI INAKAA KIMYA. NIKIJIBU NAONEKANA MBAYA. MNASHIRIKIANA AMA!
Anaandika: Robert Heriel
Mtibeli.
Sijui mnanitaka nini nyie watu. Sawa, tutafikishana mnapotaka.
Mimi nilikuwa nimekaa zangu, sina hili wala lile. Ghafla huko mitandaoni nikakutana na video za mtu anayejiita...
Nimekuwa nikitumia Stendi Kuu ya Mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza kwa miaka kadhaa, nina kero kuhusu hali mbaya ya miundombinu ya vyoo katika kituo hicho.
Stendi hii ambayo ilianza rasmi kutoa huduma Juni 5, 2023, inakabiliwa na changamoto ya kutokuwa na huduma bora za vyoo.
Mabomba ya kunawia...
Nawasikiliza watoa elimu za kifedha [Certified financial educators] wanashauri watu wanunue hati fungani za serikali.
Jamaa mmoja wa BOT kwenye semina aliwahi kuhakikishia ukumbi mzima haijawahi kutokea serikali ikashindwa kumlipa mtu aliyewekeza huko. Na inaonekana sio bongo tu ni karibu...
Jana Nilikuwa Napiga Stori na Rafiki Yangu Mmoja hivii, Akaniuliza Sasa Mwanangu Umemaliza Chuo Una Mipango Gani !? Nikamwambia January Tunaenda internship Hivyo Mpaka tunamaliza Nitahakikisha Nimekusanya Laki 5 ya Mtaji wa Chips.
kusikia hivyo jamaa Aka'panic Akaanza kusema "Chips Mtaji wake...
Kwa mfano unamdai mtu 500K lakini akawa hapokei simu yako wala sms hajibu. Kwa miezi mitatu sasa anakuzungusha.
Alipoona unamsumbua sana akaamua kukublock. Ukakaa kimya kama wiki mbili. Siku moja ukaamua kutumia namba mpya kumpigia.
Hakupokea. Akaingia kwenye app ya kutuma pesa ajaribu...
Stand kuu ya mabasi msamvu vyoo vyake vinatoa harufu mbaya sna upande wa mabasi yanayoelekea dsm huwezi kukaa kwa sababu ya harufu inayotoka mule usimamizi wa stand tunaomba mmwage dawa ya kukata harufu abiria tunateseka
Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Msamvu vinatoa harufu kali na mbaya kiasi cha kuwafanya abiria washindwe kukaa kwa amani katika eneo la mabasi yanayoelekea Dar es Salaam.
Hali hiyo inasababisha usumbufu mkubwa kwa abiria wanaosubiri usafiri, kwani harufu inayotoka kwenye vyoo hivyo imeenea hadi...
Ebwana eeeh, najua nyuzi za kuhusu kesi na hukumu ya Tundu Lissu zipo nyingi ila hili jambo bado linashtua, linasikitisha na kushangaza sana.
Nimesikiliza mahojiano fulani Jambo TV na mawakili wawili, mmoja ni wakili kanjanja ila mwingine nondo zake aisee ukiorodhesha makosa na mapungufu...
Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza.
Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
gani
hali
hata
kamwe
kilio
kujikomboa
kujikwamua
kulia
kuomba
kusaga
kusaga meno
kutoka
kutumia
kwenda
mbaya
meno
mlango
msaada
mtakuja
mtego
nchi
vijana
Hakuna laptop nzuri au mbaya,
Na kama hukujua ni hivi unaweza ukanunua laptop ambayo unasema ni "Nzuri"
Lakini baadae ukaona ni mbaya kwa sababu tu sio laptop ambayo inakufaa,
Uzuri ni jambo moja,
Muhimu zaidi ni kukufaa wewe,
Je ni kwa ajiki ya kazi gani?
Ili kufanya kazi hiyo kwa ubora...
Kuna wale waliobahatika kukuta mifereji kwenye familia zao.
Nimeona watu wakipata kazi wako chuo mwaka wa kwanza, wengine mwaka wa pili na wengine wanasubiriwa tu wamalize chuo waanze kazi bila kujali matokeo wala nini .
Wengine wanashindwa waende wapi, baba ana kituo cha Afya , serikalini kaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.