marekani

  1. Korea Kaskazini na Israel Vita ya Iran na Marekani

    https://youtu.be/wu3ckYK_5Lo?si=A_gsYUQXj2EmpFdT
  2. L

    Ndege ya kijeshi ya Marekani ikiwa na Mkuu wa CIA yatua Moscow

    Ndege ya Jeshi la Marekani ikiwa na ujumbe mzito ukiongozwa na Mkuu wa shirika la ujasusi la Marekani CIA yatua Moscow Urusi. Kwa mujibu wa taarifa za shirika la BBC na CBS, John Ratcliffe ambaye ni Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA),, amesafiri hadi Moscow kwa mazungumzo ambayo...
  3. Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
  4. R

    Marekani: Jaji atengua sera ya Trump ya kuzuia visa nchi 75 ikiwemo Tanzania

    Jaji Jeannette Vargas wa Mahakama ya Wilaya ya Kusini mwa New York ametengua sera ya utawala wa Trump iliyosimamisha utoaji wa visa za wahamiaji kwa nchi 75, zikiwemo nchi 26 za Afrika. Jeannette amesema sera hiyo ilikuwa “kinyume cha sheria waziwazi” na kwamba ilivuka mamlaka ya Waziri wa Mambo...
  5. Vita Vya Iran na Marekani: Iran Ikipigwa Nuclear Israel Nayo Haitabakia Salama

    https://youtu.be/4YyvrbX5M2E?si=vnZtckww3BwohwpF
  6. WAAJEMI WAMEFANYA ASKARI WA MAREKANI KUWEUKA NA KUKENGEUKA

    The deployment has reportedly been plagued by supply and maintenance issues, including shortages of food and basic supplies, a lack of hot and potable water, and plumbing problems. Crew members’ families have raised alarm over what they described as collapsing morale, burnout, and mental health...
  7. Kesi ya Serikali na Lissu ni kama vita vya Marekani na Iran

    Hii kesi ya Serikali na Lissu inafanana sana na vita vya Marekani vilivyovianzishwa na Trump dhidi ya Iran. Marekani ni superpower kijeshi na anatumia silaha kubwa sana na assets za kila aina kumpiga Iran ila Iran bado imekeza tu japo inaumia haswa kweli. Marekani ina uwezo mkubwa wa kijeshi na...
  8. L

    Marekani Yakunjua Makucha Yake.Yawawekea Vikwazo Vikali Maafisa Mbalimbali Wa ICC . Yaapa Kupambana Na Mahakama Hiyo Hadi Kieleweke.

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa Maafisa wake wa kuendelea kuaminika mbele ya Macho na jicho la kisheria katika kutoa Haki. Ni...
  9. Raia fake wa Marekani wajazana huko Turmus Ayya huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi)!!!!

    Uchunguzi mpya uliofanywa na harakati ya Regavim unaelezea jinsi mkusanyiko mkubwa usio wa kawaida wa raia wa Marekani katika kijiji cha Kiarabu cha Turmus Ayya huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi) umekuwa utaratibu wa kusababisha shinikizo la kisiasa na kidiplomasia kwa Israeli. Takriban...
  10. Mazoezi ya kijeshi ya marekani na korea kusini yapunguzwa kwa siku sita

    Uchaguzi wa kijeshi wa kila mwaka wa Korea Kusini na Marekani umepunguzwa kwa siku sita kwa ombi la Washington, Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza. Seoul imesema kuwa “muda na ukubwa” wa zoezi la kijeshi la Ulchi Freedom Shield 2026 umebadilishwa kufuatia “pendekezo kutoka upande wa...
  11. L

    Kwa Nguvu Na Ushawishi Alionao Rais Samia Kwa Sasa Ipo Siku Marekani Atakuja Kulalamika kuwa Tanzania Imeingilia Uchaguzi wao na Kupanga Matokeo .

    Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi. Tanzania...
  12. Trump aagiza kupunguzwa kwa Mazoezi ya Kijeshi ya Marekani na Korea Kusini, akitaja uhusiano wake na Kim Jong Un

    Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani itapunguza kwa kiasi kikubwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Korea Kusini, akitaja uhusiano wake mzuri sana na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un. Trump pia alisema kwenye mtandao wake wa Truth Social kwamba Korea Kusini hivi karibuni...
  13. Gazeti jipya "CELEBRITY" laipindua jarida la "FOX" Marekani.

    Gazeti hili huandaliwa na C-C Digital Pro na kuhaririwa na Civilian-Coin. Hutoka Kila baada ya siku Moja.
  14. X

    Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani 🇺🇸 au China 🇨🇳 — Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  15. Kamanda wa CENTCOM wa Marekani Adm. Brad Cooper akiwa na Benjamin Netanyahu

    Kamanda wa CENTCOM wa Marekani Adm. Brad Cooper anasukuma mashambulizi mapya kati ya Marekani na Israeli dhidi ya Iran, ikiwa ni pamoja na miundombinu ya mafuta, gesi, na umeme. Aliwaambia maafisa wakuu wa IDF kwamba mashambulizi kama hayo yanaweza kuilazimisha Iran kubadilisha msimamo wake.
  16. M

    Trump anatishia nyau kutangaza eneo la Hormuz kuwa 'eneo la Marekani'

    Aisee Hili zee pumbavu limeshachanganyikiwa Kilichobaki ni kubwabwaja na kulialia kama toto dogo Donald Trump ametishia kutangaza mlangobahari wa Hormuz kama "eneo la Marekani" huku utawala wake ukipambana kumaliza vita na Iran. Wakati wa hotuba katika chuo cha polisi huko Long Island, New...
  17. R

    Trump apiga ban wanaokwenda kujifungulia Marekani ili kupata uraia

    Utawala wa Trump umeunda kikosi kazi cha kimataifa kinacholenga kupambana na biashara ya kinachoitwa "utalii wa uzazi" (birth tourism), kikilenga watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya visa za Marekani kusafiri nchini humo kwa ajili ya kujifungua. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza...
  18. Vikwazo dhidi ya teknolojia ya AI ya China vyapingwa na mashirika ya Marekani

    Baadhi ya wanasiasa wa Marekani hivi karibuni walidai kuwekea vikwazo dhidi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) ya China, lakini wamekumbana na upinzani mkali kwanza kutoka kwa makampuni mapya karibu 200 ya Silicon Valley nchini humo, yakishirikiana na makampuni makubwa yakiwemo Meta, Nvidia, na...
  19. Baada ya Irani kuanza vita rasimi Marekani wamekimbia

    Mara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam Ila hili shambulio la mwisho la US la kupiga miundombinu Yani reli za mwendokasi, Madaraja ...
  20. H

    Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati

    Tanzania na Marekani zimeendelea kusisitiza umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika sekta mbalimbali zikiwemo madini adimu, nishati, afya, uwekezaji na maendeleo ya kiuchumi, pamoja na dhamira ya kuendeleza mazungumzo na ushirikiano wa kitaalamu kwa manufaa ya nchi hizo mbili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…