marekani

  1. bless on

    Huwezi kushindana na Marekani, itatawala Dunia milele

    Watu wengi wanapenda kuzungumzia jinsi BRICS inavyojiandaa kuchukua uongozi wa dunia kutoka kwa Magharibi. Lakini ukivua maneno matamu ya kwenye mikutano na kutazama uhalisia, utagundua ukweli mchungu: kambi inayopinga Marekani imegawanyika, ina utegemezi mkubwa, na imejaa unafiki kiasi cha...
  2. Traxtion

    Mtu akizaliwa Tanzania halafu akahamia Marekani, birthday yake inafuata muda wa nchi gani?"

    Hivi kama ukizaliwa Dar es Salaam saa 6 na dakika moja usiku tarehe moja mwezi wa kwanza 2010, na wakati huu Los Angeles ni tarehe 31 mwezi wa 12, mwaka 2009 saa 7 na dakika moja mchana Then wazazi wakahamia Los Angeles ukaenda kukulia huko. Bado utaendelea kutumia birthday ileile ya Tanzania...
  3. Echolima1

    Marekani nayo yazindua kombola lake la Hypersonic( Dark Eagle )

    Jeshi la Marekani limethibitisha kwamba betri yake ya kwanza ya kombora la Eagle Mweusi yenye uwezo wa kushambulia kwa kasi kubwa ina vifaa kamili na iko tayari kwa matumizi ya kawaida, ikiashiria hatua muhimu baada ya kuchelewa kwa karibu miaka 3. Silaha ya Hypersonic ya Masafa Marefu (LRHW)...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Mafuriko na dhoruba kubwa vyasababisha kukatika kwa umeme kwa wateja 600,000 Marekani

    Dhoruba kubwa ya sikukuu ya Shukrani (Thanksgiving), inayoanzia jimbo la Illinois hadi New York nchini Marekani, imesababisha kukatika kwa umeme kwa zaidi ya wateja 600,000, mafuriko katika maeneo ya pwani pamoja na kufungwa kwa baadhi ya madaraja na barabara katika pwani ya Mashariki mwa...
  5. Mhaya

    Neuralink Yapata Kibali cha FDA Kuanzisha Majaribio ya kifaa cha kuunganisha Ubongo na Kompyuta

    Idhini imetolewa na Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) kwa kampuni ya Neuralink kuanza majaribio ya kitabibu ya LINK, ambayo yanatajwa kuwa majaribio ya kwanza ya hatua muhimu (Pivotal Trial) kwa teknolojia ya kifaa kinachopandikizwa ndani ya ubongo na kuwezesha mawasiliano kati ya...
  6. I

    Kampuni ya teknolojia ya Marekani "NVIDIA" inavyotegemea teknolojia ya Israel katika uendeshaji wake

    Wakati fulani Huang aliutaja Israeli kama "nyumba ya pili" ya Nvidia, na Netanyahu aliunga mkono hisia hiyo alipoandika kwenye mtandao wa X: "Ushirikiano wa Nvidia na sekta ya teknolojia ya Israeli umeleta thamani kubwa kwa kampuni hiyo na kwa uchumi wa uvumbuzi wa Israeli." "Kuendelea kwa...
  7. leroy

    Je, Dola ya Marekani Itawahi Kuanguka? Takwimu za 2026 Zinasema Nini na Inamaanisha Nini kwa Afrika?

    Kila kukicha tunasikia mijadala ya De-dollarisation, BRICS, na tetesi kuwa utawala wa Dola ya Marekani unakaribia mwisho. Lakini ukiangalia takwimu halisi za mwaka 2026, swali la "Je, Dola itaanguka?" limebeba maswali mawili tofauti kabisa: https://youtu.be/wCG8bXF3wrk Thamani ya ubadilishaji...
  8. Traxtion

    Marekani ni nchi tajiri sana. Kwa nini hawatatui tatizo la homelessness na drug addiction nchini kwao?

    Huwa nikiangalia matatizo ya huku kwetu Africa, ni kwamba nchi za Kiafrika ni masikini na kuna matatizo kama makazi nk ni ngumu kusolve kwa sababu nchi za Kiafrika hazina hela Lakini Marekani wamerithishwa nchi tajiri na hadi leo inaendelea kuwa nchi tajiri kwa nini wanashindwa kupata solution...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Watu sita wafariki dunia baada ya ndege kuanguka Kisiwa cha Horn Marekani

    Watu sita wamefariki dunia baada ya ndege kuanguka katika eneo la bahari karibu na Kisiwa cha Horn, Mississippi, kwa mujibu wa Jeshi la Walinzi wa Pwani la Marekani (U.S. Coast Guard). Mwandishi wa ABC News, Perry Russom, anaripoti taarifa za hivi punde huku uchunguzi wa chanzo cha ajali hiyo...
  10. mirindimo

    Kesi ya raia mwanajeshi wa marekani alie kamatwa na mabomu imefikia wapi?

    Pia soma: Tunahoji: Yule ‘Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu’ alifikishwa mahakamani?
  11. Echolima1

    Rais wa Marekani Trump aseme Neno kuhusu Iran

    Rais wa Marekani Trump kuhusu Iran: Nina mwelekeo wa kuanzisha tena mashambulizi dhidi ya Iran baada ya kuanza kwa mwaka mpya, iwapo hakuna makubaliano yatakayofikiwa. Natumai meli za mafuta za Iran zitajaribu kupinga mzingiro huo. Zote zitajikuta zikiwa chini ya bahari, kama ilivyo kwa Jeshi...
  12. Waterloo

    Meli ya mafuta ya Iran "line-breaker' imeanza safari kupita kizuizi cha jeshi la marekani

    Iran imetangaza kuwa hii ndo itakuwa "the last confrontation against imperialism " . Meli ya Iran VLCC iliyobeba mafuta imeanza safari kupita mlango bahari wa hormoz na kutumia nguvu kupita katika kizuizi Cha jeshi la marekani . Iran imetangaza endapo meli hiyo itashambuliwa na jeshi la marekani...
  13. GenuineMan

    Trump Ayasifia Majiji ya China na Kuyaponda ya Marekani.

    Jana Tarehe 20/11/2026. Trump alikuwa anaongea na na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengi . Huyu mzee aliyasifia majiji ya China kwamba ni MASAFI na YAMEPANGIKA vizuri tofauti na Majiji mengi ya marekani kwamba ni machafu na yako ovyo, akasisitiza hasa yale ya "Blue" akimaanisha yaliyo...
  14. Alexido jz instagram

    Mziki ukiniendea vizuri nawapeleka Marekani, Ulaya bure kabisa bila kutoa hata Mia, just exposure wakuu

    Mziki ukiniendea vizuri nampango kuwa chukua member wa jamii forum walau idadi saba saba tu twende ulaya, marekani gharama zote tagharamia ili tufurahi, tujifunze vitu, nk hii ni ahadi naiweka mtanikumbusha wakuu, tutakua tunaenda kwa awamu. Nb hii sio kwa wote bali wale amabao hawajawahi...
  15. Chizi Maarifa

    China wazidi kupambana kuufuta Uislamu kwao. Waislamu wasema ni afadhali na Marekani

    Hawa jamaa hawachekeshi hata kidogo. Wao hizi Dini mbili hawana mpango nazo kabisa. Misikiti inaharibiwa kila mara huko China. https://www.facebook.com/share/p/1G6Zip52nq/
  16. C

    Marekani: Mchungaji akutwa na hatia mauaji ya Rais Moise

    Mchungaji mmoja kutoka jimbo la Florida nchini Marekani amepatikana na hatia ya makosa kadhaa yanayohusiana na mauaji ya aliyekuwa Rais wa Haiti, Jovenel Moïse. Christian Emmanuel Sanon, raia mwenye uraia wa Marekani na Haiti, amekutwa na hatia ya mashtaka yote manane yaliyokuwa yakimkabili...
  17. Echolima1

    Rais wa Marekani Donald Trump aliwasili China.

    Rais wa Marekani Donald Trump aliwasili China, ambapo alikaribishwa kibinafsi na Xi Jinping. Rais wa China alimsubiri chini ya ndege kwenye zulia jekundu.
  18. 6 Pack

    Marekani yatuma ndege ya kubeba mizoga Middle East.

    Niaje waungwana Ule msemo wa "Mficha maradhi kifo humuumbua" umeanza kufanya kazi baada ya serikali ya Marekani kushindwa kuficha vifo vya askari wao waliouwawa kutokana na mashambulizi mfululizo yanayofanywa na Iran katika kambi na maeneo wanayojifichia askari wa Marekani huko Bahrain...
  19. K

    Nini sisi kama Watanzania tumejifunza kwa wenzetu wa Marekani kuhusu uchaguzi wa wazi na jinsi ya kufuata sheria za uchaguzi

    Nini sisi kama Watanzania tumejifunza kwa wenzetu wa Marekani kuhusu uchaguzi wa wazi na jinsi ya kufuata sheria za uchaguzi. Marekani imemaliza uchaguzi wake wa katikati (midterm) tarehe 3 Novemba mwaka huu, kwa Chama cha Democratic kushinda udhibiti wa mabunge yote mawili ya Marekani (Seneti...
  20. S

    Dr Congo wamegawa madini kwa Marekani bure, Tshekedi atapeliwa na Trump

    Drc Congo waliingia mkataba na Trump ya kwamba wakabidhi madini yao ya Dhahabu, Copper, zinc,lithium, manganese, cobalt nk na taaarifa yeyote ya madini yajayo yatakayo gundulika wapewe wao Kwa mbadala ya kuwalinda na kuwaondoa waasi na kumpiga mkwara kagame,mwisho wa siku ni kagame bado...
Back
Top Bottom