marekani

  1. U

    Nimenusurika kupigwa nimetukanwa na rafiki yangu kwenye kijiwe cha kahawa leo kisa kuishabikia Marekani

    Wadau ni kisa cha kweli kabisa kimetokea Leo mida ya jioni kabisa. Kadai kuwa marekani ni ibilisi kaishambulia iran ili kueneza ushoga halafu mimi nashabikia. Sikujua kumbe jamaa ni msimamo mkali imebidi niwe mpole sana kuleta amani.
  2. Rais Samia: Tumuombe Mungu Marekani na Iran wazungumze misukosuko iishe, dunia irudi katika hali ya kawaida

    Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati. Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya...
  3. R

    Maneno ya Askofu Suguye kuhusu vita ya Marekani, Israel na Iran asisitiza siyo vita ya Kidini

    Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran, Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu...
  4. Rwanda yaikosoa Marekani kuhusu vikwazo dhidi ya maafisa wake wa kijeshi

    Rwanda imekosoa vikwazo vilivyowekwa na Marekani, ikiviita hatua hizo kuwa zisizo za haki na zenye upande mmoja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Vikwazo hivyo vinalenga Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na maafisa wakuu wa...
  5. Kwa wapenda Amani na wanaovijua vichwa vya US na Israel ni bora Iran ipigwe chapchap maisha yaendelee

    Ukweli ni kwamba US na Israel hawakubali kuaibika, hawakubali kushindwa. Hakuna sheria inayowazuia kufanya lolote hata kutumia Nyuklia kuangamiza Tehran yote ili waonekane washindi Kuna taarifa zilivuja kwa dakika chache kuonyesha Meli la kivita Abraham likiwa limevurugwa vibaya huko...
  6. Ubalozi wa Marekani Saudi Arabia washambuliwa na ndege 2 zisizo na rubani

    Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh, umeshambuliwa na ndege mbili zisizo na rubani na kusababisha moto mdogo katika eneo la makazi ya kidiplomasia, kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia. Shambulio hilo lililotokea mapema Jumanne pia lilisababisha uharibifu mdogo...
  7. Marekani Yaipiga Rwanda Vikwazo Vizito: Maafisa wa RDF Matatani kwa Kuchochea Vita DRC

    Serikali ya Marekani, kupitia Idara ya Hazina (OFAC), imetangaza vikwazo vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) pamoja na maafisa wake wakuu wanne. Hatua hii imekuja baada ya Rwanda kudaiwa kukiuka Makubaliano ya Amani ya Washington (Washington Peace Accords) kwa kuendelea kuliunga...
  8. Duh! Bei ya mafuta yapanda nchini Marekani!

    Safari hii yawezekana kabisa kuwa Trump kayakanyaga. Hii vita inaanza kuonekana kwenda vile labda ambavyo hawakutarajia. Tayari wanajeshi wa Marekani washakufa na huenda wakaendelea kufa. Marekani ishapoteza ndege kadhaa. Wao Marekani wanadai zimetunguliwa na Kuwait kwa bahati mbaya lakini...
  9. W

    Ndege tatu za Marekani zatunguliwa kimakosa na Kuwait

    Kamandi la Jeshi la Marekani (CENTCOM) imesema Machi 2, 2026 kuwa mfumo wa ulinzi wa anga wa Kuwait kwa bahati mbaya ulitungua ndege tatu za kivita za Marekani ikiwa vita dhidi ya Iran na Israel na Marekani ikiendelea. Kwenye taarifa yao, CENTCOM imesema: "Saa 5:03 usiku Machi 1, 2026 ndege...
  10. Marekani ipo harakati ya kuitengeneza Libya Nyengine Mashariki ya Kati.

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni Operation ya Marekani dhidi ya Iran katika harakati za kuondosha serikali inayoita ya Mkono wa Chuma,ambapo kwa taarifa imesema kuwa imefanikiwa pakubwa kwa wauwa viongozi wa juu(Maamuzi). Lakini binafsi naona hakutakuwa na Mshikamano ndani ya Irani endapo Wairani...
  11. F

    Iran imepanic; Hadi sasa hakuna ndege ya Israel wala meli ya Marekani iliyoshambuliwa

    Iran amepanic balaa.. hadi sasa hajaweza kudondosha hata ndege moja ya israel kati ya ndege nyingi zinazofanya mashambulizi kwenye anga lake. Hadi sasa hajaweza kuzamisha hata meli moja ya marekani kama alivokua akijitapa mwanzo kwamba kadiri meli hizo zinavomsogelea basi kombora lake moja tuu...
  12. M

    Ili kuitwa mwanaume, si lazima upigane vita na Marekani na Israel

    Juzi kati hapo sisi Tanzania, tuliwaita wazungu Who are you! Siyo kwamba tunaweza kabisa kabisa kuwadunda, la sivyo, ila wajue tu kwamba, na sisi ni wanaume, na wakija juu watake kutupiga, tunazo meza kibao za mazungumzo ili tu tubaki kwenye uanaume wetu! Inatosha kuwa mwanaume hata...
  13. Watu nane wafa kwenye maandamano karibu na ubalozi wa Marekani kule Pakistan

    Hawa wahindi walijiingiza kwenye dini ya muaabu hadi akili zikawahama, sasa wanaandamana na kufia karibu na ubalozi wa Marekani kisa vita ambavyo vipo mbali sana na wao, utakuta hapo hamna hata amewahi kutoka nje ya nchi. Nasubiri nione wa huku uswahilini na wao wakiliamsha. ===================...
  14. Wa Iran wa Tanzania kufanya dua leo ya kumuombea kiongozi wa iran aliyeuwawa na marekani.

    Kwa maana hiyo, mtag muiran unayemjua hapa jf kua asogee sehemu tajwa hapo juu akaomboleze na wenzake asiishie tuu kubishana huku jf.
  15. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu au kufanya haya popote duniani

    1. Kamwe Marekani haiwezi kuruhusu nchi yoyote duniani iwe na uwezo wa kuunda silaha ambazo mwisho wa siku zikirushwa zinaweza kufika au kutua ndani ya ardhi ya Marekani na hatimae kuleta madhara kwa wamarekani ndani ya marekani. Na ndio maana nchi zilizojaribu kutengeneza silaha za maangamizi...
  16. Hivi kwanini Putin kashindwa kufanya kwa Zelenskyalichofanyiwa Ayatollah wa Iran na Marekani?

  17. Je, Putin anajifunza kitu kutoka kwa Marekani na Israel? Hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Vitendo

    Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa 1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi. 1. Assad 2. Maduro 3. Khamenei Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa...
  18. O

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinaripoti kwamba binti wa Khamenei ameuawawa.

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa kutokea kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kulenga makazi yake. Hata hivyo, maelezo...
  19. O

    Rais wa Marekani, Donald Trump Amethibitisha Kifo cha Khamenei

    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, baada ya mashambulizi ya anga ya pamoja ya Marekani na Israel kulenga makazi yake siku ya Jumamosi. Trump alisema kuwa Khamenei na maafisa wengine wa Iran “hawakuweza kukwepa ujasusi wa Marekani na mifumo...
  20. M

    Kisa tu kutokuipenda Marekani au Israel au sababu za kidini, ni sawa kuisapoti serikali ya Iran iliyozima internet na kuua wananchi zaidi ya elf 30?

    Wakati Serikali ya Iran ilipozima intaneti na kuanza kuwamiminia risasi wananchi wa Iran waliokuwa wakidai haki zao, tukio hili halkupewa uzito, waliofyatliwa risasi walilaaniwa na hata kusingiziwa ni raia wa kigeni kutoka Israel na Marekani, wakachukuliwa kama wahaini wa taifa, wakati wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…