Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha.
Observation yangu ndogo ya matendo...
Wakuu!
Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia.
Ila, Mbususu...
Habari JF
Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi morogoro na najitegemea nilikuwa naomba ushauri juu ya mwanamke wa aina gani naweza kuwa nae akanipa furaha na hata kufika malengo yetu.
Ahsanteni sana 🙏
Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani.
Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha...
Wasalaam, bila shaka muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya usiku hapo kitandani. Bila shaka wengi wetu tuna mahusiano ya kimapenzi na watu ambao kutokana na mihangaiko ya maisha wamesambaa mikoa mbalimbali. Binafsi nnao kama watano ktk mikoa tofauti. Na kwa sasa nimeoa na kujaliwa watoto...
Wakuu habari za muda huu.
Wakati wa nyuma kipindi cha hayati John Pombe, kulikua na vichwa viwili vilivyokua havikosi kuleteana maneno ya hapa na pale kwenye Instagram, yupo aliyempigania hayati na mwingine anaponda utawala wa hayati. Yupo Mange kimambi na mwenzake Le mutuzi mobimba, hawa watu...
Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana.
Sasa kuna mazee mafisi...
Kuna Jamaa yangu alikuja kwangu kunipa taarifa kuwa ataoa muda si mrefu na akaniambia ameshamchunguza mwenza wake vya kutosha. Nikamuuliza kwani umemchunguza kwa muda gani jamaa anadai ni miezi 4 sasa nikapigwa na butwaa kidogo maana miezi minne tuu!
Sasa jamaa akahamaki kweli akaniuliza kwani...
Habari za wakati huu nimepata kitu ningependa kushiriki nanyi wapendwa..
1)Mahusiano ni magumu na kila uhusiano ni tofauti kikubwa fuata hisia zako tu.
2)Subiri umri sahihi ufike usichekewe sana wala usiwahi sana. Umri sahihi ni ule ambao unaona wewe unaweza kuhimili majukumu na changamoto za...
Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini ndiyo usiseme. Mbali na utandawazi ambao umechangia sana ngono zembe ni hali mbaya ya uchumi...
Habari humu ndani?
Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF
Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu.
Ipo hivi, nimekua kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 9 na huyu mwenzangu...
Za jumapili?
Mfano unaenda sehemu na mtu ya kunywa, hajui hata anataka nini anasema nipe tu soda yoyote. Yaani yeye hajui hata anataka nini.
Kwenye chakula hivo hivo, hawezi kuagiza anachotaka anaanza kuuliza "kuna chakula gani na gani?. Hawezi kusema nataka chakula hiki au hiki. Kama hamna...
Kuna stori moja niliileta hapa, kuhusu dada mmoja alikuwa mpenzi wangu (mchepuko), alifumaniwa na mumewe kwa njia ya simu akiwa faragha na jamaa mwingine. Ambapo, alipokuwa faragha simu yake kutoka kwa mumewe iliita, na katika zile harakati za kushika simu ikawa imejipokea, na mumewe kusikia...
Amani kwenu Wakuu.
Elimu ya mahusiano ni kubwa na watu wengi wamekuwa wakielezea mambo kadha wa kadha, kwa upande wangu naomba kujikita katika muktadha tofauti kidogo kwa namna yake japo kwa ujumla wake mambo yanaweza kuwa yaleyale kama ambavyo huelezwa na watu wengine.
Bila shaka utakubaliana...
Mtunzi na mwimbaji mashuhur wa nyimbo za taarabu kutoka Zanzibar Khadija Omar Kopa amepasua mbarika kuhusu uhusiano wa bintiye Zuhura Othman Soud almaarufu kama Zuchu na bosi wa WCB Diamond Platnumz.
Hii ni kufuatia uvumi unaoenezwa kuwa nyota hao wawili wa Bongo wanachumbiana baada yao...
Kama umedumu kwenye mahusiano, iwe ndoa au hata familia, jinsi unayoishi na mwenza au watoto wako. Tuambie unayo yajua leo ambayo yamesaidia kuboresha upendo, heshima na amani ndani ya nyumba yako. Mambo ambayo ungeyajua juzi na jana yangekusaidia zaidi.
Kwa kufanya Hivi tunaweza kuboresha...
Nilikutana na dada mmoja nilisoma nae ameolewa na kuachika mara nne na sasa yuko kwenye ndoa ya tano!
Shida ilianza pale nilipo muuliza mumewe mzima! yeye naye aliniuliza yupi ninayemzungumzia
Inawezekanaje mwanamke akaolewa na kuachika zaidi ya mara tano lakini wenzake hawajapata bahati hata...
Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21
Dodoma. Mahusiano ya kimapenzi kati ya baadhi ya walimu na wanafunzi umetajwa kuwa miongoni mwa mambo matano yaliyowatesa walimu kipindi cha 2020/21.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Dk Willy...
Tukiwa tunaelekea kuimaliza 2021 ni changamoto gani ya kimahusiano ambayo ulikutana nayo hasa katika marafiki zako na katika mapenzi na ulikabiliana nayo vipi?
Na je vipi kuhusu mwaka 2022 umejipangaje kimahusiano ili usikutane na changamoto kama za 2021. Binafsi 2021 nilikuwa na rafiki yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.