Nina Girlfriend wangu, nampenda sana. Naye ananipenda sana (kwa mujibu wa anavyodai). Nimeshakutana naye kimapenzi zaidi ya mara 2. Huwa najitahd kumfanyia kila kizuri
Ofisi yangu inapatikana karibu na nyumbani kwao, ila kinachonishangaza, huwa haji kama Girlfriend wangu, anakuja kama mteja...
1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa marafiki.
2️⃣ Si marafiki wote wanatoa ushauri mzuri. Wengine wanakupa maoni kutoka kwenye uzoefu wao...
Hello jamiiforums
Hakuna ambaye hajawahi kupokea ugeni,hakuna ambaye hajawahi kuwa mgeni wa mtu,safari zipo iwe kikazi misiba ,sherehe au kuamua kutembelea ndugu zako hususani mwishoni mwa mwaka.
Unaweza ukawa na shughuli fulani mkoani,ama utoke mkoani uje Jiji hili la Dar es salaam,ukawaambia...
Wanaume,
Anataka usahau kuhusu maisha yake ya nyuma, lakini hataki kaka yake aoe mwanamke mwenye historia kama yake.
Anataka utumie pesa zako kwake kwa wingi, lakini hataki kaka yake afanye hivyo kwa mpenzi wake.
Anataka uwe mwanaume halisi, mtu mzuri, au mpenzi anayeelewa, lakini hataki kaka...
Nipeni uzoefu ndugu zangu, mimi kijana wenu hapa 23 years old man, but look as young as 16 or 17, and handsome.
Nimechoka kuwa single, Nataka kuingia kwenye mahusiano lakini sioni mlango wa kuingilia, yaani sijui nianzie wapi, nikisema nianze kutongoza hata marafiki wachache wakike nilonao...
Salaam jamiiforum
Mimi ni mtu mzima sasa, Baba wa familia,naweza kuwa sipo sawa Kwa mambo mengi,ila nimeruhusu kukosolewa na kuimarisha uhusiano na jamii kiujumla.
Threads zangu nyingi zinamlenga kijana wa kiume,si kwamba nimemuacha mtoto wa kike,la hasha.
Nimeanza na shina kwanza...
Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini......
Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa kujenga maisha na wewe......
Limekuwa jambo la kubahatisha kwa kuwa wakati mwingine waongo na wa...
Wazazi wakiafrika ni kama mmezubaa sana, mfumo wa uchumi ni zaidi ya kumsomesha mtoto na angojee ajira!.
Kuna jitihada fulani lazima zifanyike pia ndani ya familia kuhusu watoto wako na maswala ya uchumi.
kutokupata elimu ya uchumi walau kwa uchache inapelekea vijana waingie kwenye vitu vya...
Sijui kama huu Uzi utabaki hapa, ila lengo kuu mjifunze kitu
Mnaweza msinielewe kabisa, na kujua lengo la thread hii ni Nini ok??
Hii Dunia imekwishwa wakuu, mpaka naandika hichi kitu natokwa na machozi kuanzia moyoni mpaka machoni.
Imebidi niaze na neno mahusiano, ili huu Uzi uwe hapa ili...
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba.
Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma...
Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu.
Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa mchangamfu kweli, tulipiga stori za hapa na pale mpaka alipofika anaposhukia, alikuwa anashukia...
Habari Wakuu , Natumai Mko poa .
Moja Kwa Moja kwenye Mada . Kwenye Harakati za Maisha yetu ya kila Siku Unfortunately Jana Nikakutana na Ex Wangu . Actually Nilifurahi Kumuona coz Ukiachana na Kua Mpenzi wangu Hapo zamani Ila Alikua rafiki angu sana kwenye Mambo Mengine ya kimaisha ...
Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu.
Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani.
Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond.
Umegombana na wadada wa mjini na...
Ndugu zangu salaam
Huu ni uzi maalum kwa wale waliokosea kuoa na kuolewa pia kw wale waliokosea kuwa kwenye mahusiano.
Tuambieni ni nini ulikiona kwa mwanamke wako au mwanaume wako ukagundua hapa ulikosea kuoa au kuolewa nae.
Pia kwa wale wengine tuambieni ni nini mlikiona kwa wapenzi wenu...
Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...!
Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko mmoja akawa boss ambapo utakapokosea kwenye vikao vya nidhamu na kuwajibishana... Mke/mume wako...
Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe..
Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana..
Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU, nikitaka mahusiano ya kudumu hawataki.
Inanichanganya sana, na wengine wanakuchana live,kwamba...
Habari za wakati huu jamani. Mimi ninachangamoto moja ninapendwa na mwanamke ambae tayali kwao amesha tolewa posa na huyo mwanamke hataki kuniacha.
Naombeni ushauri wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.