Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
Kidemeni ni miongoni mwa vijiji vinavyopatikana katika Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, wananchi wake wana kilio cha kutokuwepo kwa barabara ya uhakika, hivyo kudai inachangia kudumaza maendeleo yao.
Kwa miaka kadhaa sasa, Zanzibar imeendelea kushuhudia mabadiliko makubwa ya...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo wananchi.
Kihongosi amesema kuwa watu wanaodai kuwa...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akiwa katika Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, amekaririwa akisema kuwa “Kwa mujibu wa sheria, mradi wa ubia ni mali ya umma kabla, wakati na hata baada ya utekelezaji wake. Lengo kuu ni...
Waumini hawamchangii mwanadamu, wanamchangia Mungu na huduma yake.
Mwanadamu akizila na kununulia kobasi na kuongeza wanawake, sisi hatuhusiki.
RITA naomba muende na Minaaninii mingine kufanya ukaguzi.
Na Cde Shaka Hamdu Shaka
Jumatano, Agosti 26, 2026 ilikuwa siku ya kihistoria. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ilifanya maamuzi magumu yenye kubeba maslahi mapana ya Taifa letu. Maamuzi hayo yakapata baraka na kukamilika Jumamosi, Agosti 29, 2026 - siku ambayo vizazi vijavyo vitaisoma kwenye...
Wakati mwingine tunaweza kuona maendeleo yetu kuwa ni madogo kwa sababu tunaangalia sana watu walioko mbele yetu.
Unaweza kujiuliza:
“Bado sijafika kule ninapotaka, kwa hiyo kuna maendeleo kweli?”
Jibu ni NDIYO.
Maendeleo hayamaanishi lazima uwe umefika mwisho. Maendeleo yanaanza pale...
Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Mpanda - Katavi.
🗓️ Agosti 30, 2026.
————————————————...
askofu
baba
baba askofu
kanisa
kuanzia
maendeleomaendeleo ya nchi
mchango
mkuu
mpaka
mwanzo
nchi
nchi yetu
serikali
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu nchemba
••Kwenye uwazi na ukweli ndipo tunapokosea,
••Mambo ya siri,mikataba ya siri ndilo tatizo kubwa.
••Wakati taifa letu likielekea kwenye uchumi mkubwa the way ndipo tunapojiongezea maadau wengi zaidi wa kiuchumi,maadui hawa wengi ni miongoni mwetu sisi wenyewe kwa kutumika na walio nje wenye...
Samia Amkosha, Mbowe JNHPP!
JNHPP ni mradi wa kihistoria na fahari ya Tanzania. Ni hatua kubwa itakayoongeza fursa za uzalishaji, uwekezaji na ajira kwa Watanzania.
“Ndoto imetimia,” Rais Samia amesema, akisisitiza umuhimu wa mradi huu katika kuchochea maendeleo ya Taifa.
Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa...
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza Diploma (Level 6) mwaka huu katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Tengeru, Arusha.
Matokeo ya mitihani yetu yalitolewa tangu tarehe 12 Agosti 2026, lakini hadi sasa chuo hakijayawasilisha NACTVET ili tuweze kupata AVN Number. Namba hiyo ni muhimu kwa...
Waharakati wa Lamu wameitaka Serikali kuhakikisha wakazi wanaoweza kuathiriwa na mradi unaopendekezwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote wanalindwa na maslahi yao kuzingatiwa.
Waharakati hao wanasema maendeleo ya kiuchumi hayafai kuja kwa gharama ya kupoteza ardhi, mazingira na riziki...
Baada ya msafara wa Linda Mwananchi kuingia Homa Bay jana, hali ya barabara katika baadhi ya maeneo ya Suba imeibua mjadala mkubwa mitandaoni.
Msafara huo ulilazimika kutumia njia mbadala zenye vumbi na mashimo, baada ya barabara kadhaa kuu kuzuiwa kwa mawe na kuchomwa kwa matairi wakati wa...
*
Kizimkazi Festival 2026 imeendelea kuthibitisha kwamba tamasha linaweza kuwa zaidi ya burudani. Ni jukwaa la kuunganisha utamaduni, utalii, uwekezaji, biashara na maendeleo ya wananchi. Likibeba kaulimbiu “Kizimkazi Kumenoga!”, tamasha la mwaka huu limekuja katika wakati muhimu wa kuonyesha...
RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI
"Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi wa Kizimkazi, Zanzibar leo Agosti 13, 2026, wakati akizindua rasmi Mradi wa Maji wa Kizimkazi, amesisitiza wananchi kulinda amani ili kuwepo maendeleo.
"Na vile vile nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza...
Wana JF.
Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi.
Facts:
1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali
2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya...
Ukarabati unaoendelea kwenye Barabara ya Kasarani–Mwiki umeibua maoni tofauti kutoka kwa wakazi, huku wengi wakitaka serikali kuweka kipaumbele katika kutengeneza barabara yenyewe kabla ya kuwekeza katika miundombinu mingine. Wakazi wanasema licha ya kazi za ujenzi kuendelea, changamoto kuu...
Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa.
Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini.
Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.