Inashangaza sana Raisi hataki ku-deal na kiiini cha matatizo yote ya nchi hii matatizo ambayo chanzo chake kikubwa ni mikataba mibovu na badala yake kila siku utamsikia kaibua hili na kesho kaibua lile na yanakoishia yote haya wengine hata wala hatuelewi.
Raisi angekuwa na dhamira ya kweli ya...