Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.
KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA NISHATI NA MADINI YAPONGEZA MPANGO WA UUNGANISHAJI UMEME KWA WANANCHI KATI YA TANESCO NA BENKI YA CRDB.
📌Yasema utachochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wananchi.
📌Yasisitiza utekelezaji wa mpango huo kuleta matokeo Chanya kwa wananchi.
Kamati ya Kudumu ya...
Utajiri wa madini lazima ulete mabadiliko chanya katika maisha ya wananchi kupitia ajira, viwanda, uwezeshaji wa kiuchumi na fursa za biashara kwa Watanzania.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢
🗓️ Novemba 20, 2026
📍 Dar es Salaam, Tanzania
—————————————————
Amesema hayo wakati...
ajira
chanya
katika
kupitia
lazima
mabadiliko
mabadiliko chanya
madini
maisha
mkuu
utajiri
utajiri wa madini
uwezeshaji
viwanda
wananchi
waziri
waziri mkuu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, anamwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026). Mkutano huo unafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2026...
Watafiti wamefanya kazi sasa hakuna haja ya kumsubiria mungu akuletee madini ya dhahabu na makaa ya mawe sasa yanaweza kutengenezwa kwa ajili ya vizazi vijavyo...
Kwa kuwa yanaisha kama chokaa sasa hayata isha
Drc Congo waliingia mkataba na Trump ya kwamba wakabidhi madini yao ya Dhahabu, Copper, zinc,lithium, manganese, cobalt nk na taaarifa yeyote ya madini yajayo yatakayo gundulika wapewe wao
Kwa mbadala ya kuwalinda na kuwaondoa waasi na kumpiga mkwara kagame,mwisho wa siku ni kagame bado...
Siongelei mererani eneo linalochimbwa madini hapana naongelea eneo nje ya ukuta ambalo halichimbwi madini ambalo ndo wanaishi watu
Mererani ni eneo ambalo linachimbwa madini zaidi ya miaka 50 ila maajabu ya mererani hakuna mipango miji mizuri ni kama upo kuzimu kubaya kupita maelezo...
Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi.
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢
🗓️ Novemba 11, 2026
📍 Segese...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
elimu
madini
masomo
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
sababu
uchimbaji
uchimbaji madini
watoto
watoto wetu
waziri
waziri mkuu
▪ Ataka wenye mashamba, leseni na wawekezaji wanufaike
▪ Aonya matumizi mabaya ya amri za mahakama katika kudai madeni
▪ Aagiza maandalizi ya jengo la dharura Hospitali ya Kahama
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka maafisa madini kusimamia utaratibu unaozingatia masilahi ya wananchi...
Tunashukuru sana JamiiForums kwa kutuwezesha kulipwa stahiki zetu, sisi ni wale wachimbaji wadogo ambao tulitumia Jukwaa la Fichua Uovu kuelezea suala letu la kutolipwa fedha tuluzochanga kwa ajili ya safari ya Canada lakini haikuwezekana kwawengi wetu.
𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐰𝐚 𝐒𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐥𝐚 𝐯𝐲𝐚𝐦𝐚 𝐯𝐲𝐚...
Katika ulimwengu wa siasa na utawala bora, misingi ya demokrasia imara inasimama juu ya mhimili mkuu mmoja: uhuru kamili wa mahakama. Mahakama inayojitegemea haipo tu kwa ajili ya kutatua migogoro ya kisheria kati ya raia na raia, bali ndiyo ngao kuu inayozuia mamlaka ya serikali na viongozi...
Ninaandika kama mwananchi wa Kijiji cha Nkerege, Wilaya ya Tarime, kueleza masikitiko yangu kuhusu namna zoezi la upimaji wa madini lilivyotekelezwa katika kijiji chetu na utaratibu uliotumika kugawa fidia kwa Wananchi walioathirika.
Kabla ya zoezi kuanza, kulikuwa na makubaliano kwamba...
Bara linalouza madini ghafi kisha kununua tena betri zilizotengenezwa kutokana na madini hayo litaendelea kuwa maskini, bila kujali idadi ya mikutano ya kilele litakayohudhuria - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema hayo Oktoba 28, 2026...
Yakiendeshwa na ukuaji wa haraka wa nishati mpya na utengenezaji wa hali ya juu, madini kama vile madini adimu, lithiamu, na kobalti yamekuwa karata muhimu katika ushindani wa kimataifa. Bara la Afrika lenye utajiri wa madini linaonyesha hali tata: nchi zenye uchumi mkubwa zinaimarisha msimamo...
Mheshimiwa Waziri wa Madini,
Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA).
Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma katika sekta hiyo linakadiriwa kufikia takriban TSh trilioni 5.1 kwa mwaka, lengo ni kuhakikisha hadi...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
katika
kutumia
madini
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
shughuli
taratibu
uchimbaji
uchimbaji wa madini
umuhimu
ushirikiano
waziri
waziri mkuu
VIwanja vya Sabasaba iwe ni eneo ambako bidhaa za madini yetu kama mikufu, heleni, bangili na pete vinavyotokana na madini yetu vinauzwa kwa wingi na kwa bei nafuu.
Kama tutafanya hivyo tutakuwa tumefanya mapinduzi kwenye madini yetu badala ya hali ilivyo sasa ya kuuza madini ghafi na...
Naomba kupaza sauti kuhusu suala linalotukabili baadhi ya wachimbaji walioshiriki katika mchakato wa safari ya Canada kupitia Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA) kwa lengo la kwenda kujifunza, wamekula fedha zetu na hawataki kuzirejesha.
Washiriki tulitoa fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.